Quantcast
Channel: ShaffihDauda
Viewing all articles
Browse latest Browse all 9000

DIEGO COSTA: SIDHANI KAMA NASTAHILI SUPPORT YA MASHABIKI WA CHELSEA

$
0
0

1458

Diego Costa anasema kwamba hadhani  kama anastaili support kubwa ambayo anaipata kutoka kwa mashabiki wa Chelsea. Mchezaji huyu ambae hivi sasa jina lake lina trend sana kwenye social media kutokana na kuhusika kwenye kadi nyekundu ilisababisha Gabriel wa Arsenal na kutolewa nje.

Costa amesema,“Sidhani kama nastaili support kubwa kama hii ambayo mashabiki wananipa. Sioni kama nafanya kitu chochote ambacho kinawafanya mashabiki wanipe support kubwa kama hii ninayopata. Wananichulia vizuri sana na sijui kiasi gani nahitaji zaidi ya hivi. Support ni muhimu sana kwa mchezaji ili aweze kucheza na kujiskia kama ana watu nyuma yake “


Viewing all articles
Browse latest Browse all 9000

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>