Quantcast
Channel: ShaffihDauda
Viewing all articles
Browse latest Browse all 9000

Pluijm ameishuhudia Yanga ikilazwa na JKU

$
0
0

img_0156

Mkurugenzi wa Ufundi wa klabu ya Yanga Hans van der Pluijm alikuwa jukwaani akiishuhudia klabu yake ikipoteza mchezo wa kirafiki dhidi ya JKU ya Zanzibar.

Pambano hilo lilisukumwa kwenye uwanja wa Uhuru, kwa mara ya kwanza Pluijm alikuwa nje ya benchi la ufundi tangu alipobadilishiwa majukumu yake.

Hans ambaye aliipa Yanga mafanikio wakati akiwa kocha mkuu wa timu hiyo alionekana mara kadhaa kuwa makini kufatilia mchezo huo ambao ulikuwa nimuhimu kuelekea duru la pili la ligi kuu Tanzania bara msimu wa 2016-17.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 9000

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>