SAMATTA AIPELEKA GENK EUROPA LEAGUE
Leo May 29, Mbwana Samatta ameandika historia mpya kwenye maisha yake baada ya kuisaidia timu yake ya Genk kushinda mchezo wa fainali ya play off na hatimaye kufu kucheza michuano ya Ulaya (Europa...
View ArticleWANYAMA AINYIMA USHINDI STARS
Mchezo wa kirafiki wa kimataifa wa kujipima nguvu kati ya timu ya taifa ya Tanzania dhidi ya Kenya ‘Harambee Stars umemalizika kwa sare ya kufungana bao 1-1. Elias Maguli alianza kuipa Stars bao la...
View ArticleMATA NA TOURE WOTE MIKONO SHAVUNI, NANI WA KUMFUTA MACHOZI MWENZAKE?
Na Ayoub Hinjo Moyo unatumika kuficha siri nzito ambazo kwa macho hatuzioni. Wakati mwingine ni mbaya mno hadi inafikia hatua ya wengine kupata mshtuko wa moyo kwa kushindwa kuvumilia maumivu au...
View ArticleHIVI NDIVYO REAL MADRID WALIVYOSHANGILIA UBINGWA WAO.
Real Madrid wamenyanyua ndoo ya mabingwa Ulaya baada ya kushinda kwa matuta 5-3,lakini baada ya kukabidhiwa shangwe ilihamia mitaa mbalimbali ya jiji la madrid na hali ilikua kama inavyoonekana hapa.
View ArticleVideo: MCHEZAJI WA BOSNIA AWATEMBEZEA MAKOFI FABREGAS NA AZPILICUETA
Mchezo kati ya Uhispania na Bosnia uliopigwa jana ulikuwa ni wa kirafiki kama ilivyo kawaida kwa timu nyingi kwa sasa lakini, lakini ulikuwa tofauti kidogo kwa mchezaji wa Bosnia Emir Spahic....
View ArticleMOURINHO KUMPA RIO SHAVU JIPYA UNITED
Gazeti la Daily Mirror limeripoti kuwa kocha mpya wa Manchester United Jose Mourinho, anataka kumleta mchezaji wa zamani wa klabu hiyo Rio Ferdinand na kumfanya kuwa kocha wake msaidizi. Taarifa za...
View ArticleZINADE NI MTU SAHIHI MADRID LAKINI NI MUHIMU AZINGATIE HAYA ILI ADUMU
Na Mahmoud Rajab Kushinda taji la Champions League ni jambo kubwa sana kwa kocha yeyote barani Ulaya, ni jambo linaleta heshima kubwa na kujenga historia miongoni mwa makocha bora Ulaya. Lakini kwa...
View ArticleJUANFRAN KAANDIKA BARUA KUWAOMBA RADHI MASHABIKI WA ATLETICO
Beki wa kulia wa Atletico Madrid Juan Francisco Torres maarufu kama ‘Juanfran’ alifunga penati ya ushindi kwenye Champions League hatua ya 16 bora wakati timu hiyo ilipoitoa PSV Eindhoven lakini ni...
View ArticleTFF IMEMTANGAZA MCHEZAJI BORA VPL MWEZI MAY
Mshambuliaji Abdulrahman Musa wa JKT Ruvu ameibuka mchezaji bora wa Ligi Kuu ya Vodacom kwa mwezi Mei 2016. Musa katika kinganyiro hicho aliwapiku Donald Ngoma wa Yanga na Ali Nassoro wa Mgambo...
View ArticleNENO LA MKWASA KABLA YA KUIKABILI MISRI
Kocha Mkuu wa timu ya soka ya Tanzania, Charles Boniface Mkwasa amesema kwamba mchezo ujao kati ya Mapharao wa Misri na Taifa Stars, utakuwa ni fainali ya kuamua taifa litakalofuzu katika fainali za...
View ArticleBAADA YA SARE NA HARAMBEE STARS,KOCHA MKWASA ANENA HAYA.
Timu ya taifa ya Tanzania imerejea leo asubuhi kutoka nchini kenya walikokwenda kucheza mechi ya kirafiki dhidi ya Harambee Stars.Mchezo huo ambao uliisha kwa sare ya goli 1-1.Mchezo huo ulikua ni...
View ArticleTakwimu na rekodi 15 zilizowekwa baada ya fainali ya Champions League: Madrid...
Baada ya kukamilika kwa michuano ya UEFA Champions League leo nakuletea takwimu na rekodi mbalimbali zilizojitokeza baada ya mchezo wa fainali ya ligi ya mabingwa wa ulaya baina ya Real Madrid na...
View ArticleMAMBO 8 YALIYONG’ARISHA NYOTA YA RASHFORD
Kinda la Manchester United Marcus Rashford amesaini mkataba mpya wa kuendelea kusalia Old Trafford hadi June 2020 Alifunga mara mbili kwenye mechi yake ya kwanza alipoanza kwenye kikosi cha kwanza...
View ArticleVideo: GIROUD APIGA BONGE LA BAO UFARANSA IKIIUA CAMEROON 3-2
Olivier Giroud aliripotiwa kuzomewa na mashabiki wa Ufaransa kabla ya mchezo wao dhidi ya Cameroon uliopigwa leo. Wakati akipanda basi la timu, mashabiki walikuwa wakipiga kelele na kusema kwamba...
View ArticleMAJIBU YA AZAM FC KUHUSU KIPRE TCHETCHE KUTIMKIA UARABUNI
Mtendaji Mkuu wa klabu ya Azam FC Saad Kawemba amekanusha taarifa za nyota wao Kipre Tchetche kusaini kwenye klabu moja ya nchi za falme za Kiarabu lakini akasema, wapo tayari kuzungumza na klabu...
View ArticleCURRY NI CURRY, WARRIORS NI WARRIORS. OKC YAPIGWA FAINALI KIMAAJABU.
Klabu ya Golden State Warriors ilimaliza msimu ikiwa na rekodi ya kushinda michezo 73na kupoteza 9 hivyo kuvunja rekodi iliyokuwa inashikiliwa na klabu ya Chicago Bulls ya kushinda michezo 72-10.Hii...
View ArticleMessi alivyomchomea Baba yake kwenye kesi ya kodi
Lionel Messi amesema hafahamu jambo lolote kwejye mikataba anayosaibi kwa sababu huwa hana utaratibu wa kusoma. Kauli hii ya Lionel Messi inakuja wakati kesi yake ya ukwepaji kofi inatarajiwa kuendelea...
View ArticleSERIKALI YAPIGA MKWARA MZITO UCHAGUZI WA YANGA
Kizingumkuti cha uchaguzi mkuu wa yanga chaendelea baada ya zoezi la uchukuaji fomu za kugombea nafasi mbalimbali katika klabu ya Yanga kuwa na sintofahamu kubwa. Serikali ilitoa maelekezo ya kuelekea...
View Article