Quantcast
Channel: ShaffihDauda
Browsing all 9000 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MSIMAMO WA VPL BAADA YA MECHI ZA JUMAMOSI NA JUMAPILI

Ligi kuu ya soka Tanzania bara imeendelea leo kwa mchezo mmoja kati ya Kagera Sugar waliokuwa wenyeji wa Mbeya City katika uwanja wa Kambarage mkoani Shinyanga mchezo uliomalizika kwa sare ya bila...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BACCA AANZA NA HAT-TRICK SERIE A

Mshabuliaji Carlos Bacca amefunga hat-trick kwenye mechi ya kwanza ya AC Milan katika ufunguzi wa msimu mpya wa Serie A dhidi ya Torino. Nyota huyo mwenye miaka 29 aliyehusishwa kujiunga na West Ham,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MADRID YAANZA LA LIGA KWA PONTI 3 BILA RONALDO

Kikosi cha Real Madrid kimeanza vizuri msimu mpya wa La Liga baada ya kupata ushindi wa ugenini wa magoli 3-0 dhidi ya Real Sociedad na kuchukua pointi tatu za kwanza. Gareth Bale ambaye alifunga...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UNAJUA KINACHOMCHELEWESHA FARID KUKIPIGA HISPANIA?

Baada ya ligi kadhaa kuanza barani Ulaya, yameanza kuibuka maswali kuhusu uwepo wa Farid Musa nchini ikiwa awali iliarufiwa kwamba kinda huyo wa Azam FC amefanikiwa kufuzu majaribio yake kwenye klabu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WENGER ATOA MATUMAINI MAPYA KWA ARSENAL JUU YA USAJILI WA MUSTAFI

Arsene Wenger anaamini Arsenal watakamilisha usajili wa beki wa Valencia Shkodran Mustafi kabla ya dirisha kufungwa rasmi. Kwa muda mrefu Arsenal wamekuwa wakihusishwa na usajili wa beki huyo wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BOLT ATWANGA RAHA NA ‘MTOTO’ WA KIBRAZIL BAADA YA KUMALIZA SHUGHULI YA OLIMPIKI

Mwanafunzi mmoja nchini Brazil ameshea picha mbalimbali akiwa kitandani na Usain Bolt. Jardy Duarte, 20, alipost picha kwenye group la WhatsApp akiwa na nguli huyo wa riadha wakipena mabusu na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Jicho la 3: MAVUGO ‘AMEKUWA STERINGI’ VS NDANDA SC…

Na Baraka Mbolembole ‘Picha limeanza, na tayari, Laudit Mavugo ameteuliwa kuwa steringi!’ Labda ndicho kinachopaswa kusemwa baada ya raia huyo wa Burundi kufunga katika mchezo wake wa kwanza tu wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MECHI 15 MFULULIZO PASIPO KUPOTEZA, RUVU SHOOTING WANAWEZA KUSHANGAZA MSIMU HUU?

Na Baraka Mbolembole KABLA ya mechi yao ya ufunguzi dhidi ya Mtibwa Sugar huko Manungu Complex, Turiani, Morogoro, ofisa habari wa timu ya Ruvu Shooting ya Pwani, Masau Bwire alipost picha katika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HISTORIA YA TUKUYU STARS ‘ILIYOTIKISA SOKA LA TANZANIA’– Part I

Na Bashiru Madodi MWANZO WA TUKUYU STAR Timu ya Tukuyu Stars ni timu ya mpira wa miguu iliyoanzishwa mwanzoni mwa mwaka 1982 na makao makuu yake yalikuwa katika eneo la Bagamoyo mjini Tukuyu. Timu ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

PICHA 12: YANGA ILIVYOKAMILISHA MAZOEZI KUIKABILI MAZEMBE

Kikosi cha Yanga kimefanya mazoezi yake ya mwisho mwenye uwanja wa TP Mazembe tayari kwa ajili ya mchezo wao wa mwisho kwenye Kundi A dhidi ya TP Mazembe ikiwa ni mchezo wa kombe la shirikisho barani...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TFF YAPIGA PINI WACHEZAJI WALIOSAJILIWA ‘KIMAGUMASHI’

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), linapenda kutoa tahadhali kwa timu tano za Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) juu ya kuwatumia wachezaji ambao imewasajili, lakini imebainika mbele ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mfanyakazi wa Arsenal ajiuzulu ili mshahara wake utumike kwenye usajili wa...

​Mfanyakazi mmoja wa Arsenal ameamua kuacha kazi katika klabu hiyo, akimtupia maneno Arsene Wenger juu ya kushindwa kufanya manunuzi ya wachezaji katika barua yake ya kujiuzulu.    Wenger alizidisha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MALINZI AWEKWA KATI NA BMT

Baraza la Michezo Tanzania (BMT) lipo katika mchakato wa kutaka kujiridhisha juu ya tukio la Rais wa TFF Jamal Malinzi kuamua kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa chama cha soka mkoa wa Kagera wakati...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

LIST YA MAGOLIKIPA 10 WANAOLIPWA MKWANJA MREFU DUNIANI-2016

Unapozungumzia wanasoka wanaolipwa mishahara minono zaidi wengi wetu tunajua ni washambuliaji na viungo wenye majina makubwa ndio wanaongoza kwenye orodha. Lakini kwenye soka la leo, hata magolikipa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

YANGA USO KWA USO NA MAZEMBE LEO BILA NYOTA WAKE KADHAA

YANGA SC leo ipo dimbani jijini Lubumbashi, Congo DR kucheza mchezo wao wa kukamilisha ratiba wa kundi A kwenye Kombe la Shirikisho Afrika, watakapovaana na miamba TP Mazembe ambao tayari wana tiketi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAULI YA WAZIRI NAPE, NA SAKATA LA STAND UNITED KUJITOA VPL 2016/17 

Nape Nnauye-Waziri wa Habari, Utamaduni, Wasanii na Michezo Na Baraka Mbolembole ‘PANDE’ mojawapo kati ya zile mbili zinazopigania ‘madaraka’ katika klabu ya Stand United ya Shinyanga inakaribia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MCHEZAJI VPL NJE MWEZI MMOJA

Beki wa kulia wa Ndanda FC Aziz Sibo amefungwa Plaster of Paris (P.O.P) baada ya kuumia kifundo cha mguu wake wa kushoto wakati wa mchezo dhidi ya Simba Jumamosi iliyopita kwenye uwanja wa taifa. Sibo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIKOSI CHA YANGA VS TP MAZEMBE

Wawakilishi wa Tanzania kwenye michuano ya kombe la shirikisho Afrika timu ya Yanga, jioni ya leo itashuka uwanjani kupambana na TP Mazembe kwenye mchezo wa mwisho wa Kundi A katika michuno hiy....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAZEMBE YAICHAPA YANGA 3-1 NA KUONGOZA KUNDI A

Mchezo wa mwisho wa Kundi A michuano ya kombe la Shirikisho Afrika kati ya TP Mazembe dhidi ya Yanga umemalizika kwa Yanga kukubali kichapo cha magoli 3-1 ikiwa ugenini na kuendeleza rekodi yake ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RATIBA YA HATUA YA MAKUNDI YA UEFA CHAMPIONS LEAGUE

Ratiba kamaili ya hatua ya makundi ya Uefa champions League imetoka. Timu za Uingereza zinaonekana kuwa na ahueni kwenye hatua hii kutokana na kutokuwa kwenye makundi ya vifo huku Leicester wakiwa...

View Article
Browsing all 9000 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>