Quantcast
Channel: ShaffihDauda

“Simba IMEFANIKIWA”-Amri Kiemba

Mchezaji wa zamani wa Simba Amri Kiemba anaitakia kila la heri timu yake kwenye game ya leo ya mwisho ya hatua ya makundi ya ligi ya mabingwa Afrika dhidi ya AS Vita. Endapo Simba itashinda mchezo huo,...

View Article


This is Simba brother

Hongera Simba Sport club, kwa kupata ushindi muhimu dhidi ya As Vita, katika uwanja wa nyumbani jijin Dar es salaam, na kwenda hatua ya robo fainali kwenye michuano ya klabu Bingwa Barani Afrika....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Simba yaandika historia mpya ligi ya mabingwa Afrika

Kwa mara ya kwanza tangu mwaka 1994, klabu ya Tanzania inafika hatua ya robo fainali ya Ubingwa wa Afrika (Klabu Bingwa/Ligi ya Mabingwa). Timu ya mwisho kufanya hivyo ilikuwa Simba, lakini ilitolewa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MEZA YA MAKUMBUSHO: Samatta tunakudai

Mbwana Samatta wewe nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania. Unacheza Genk na ni kinara wa mabao huko kwa wazungu, wazungu siku hizi wanakuimba lakini hapa kwetu Chama anaimbwa zaidi kwa siku za hivi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Huyu ndio Zana Coulibaly!

Baada ya kuonesha kiwango kizuri na kuwashika mashabiki wa Simba, wakala wa Zana Coulibaly Faustino Mukandila amefunguka mambo kibao ikiwa ni pamoja na sababu za mchezaji wake kuanza kwa kusuasua...

View Article


Maajabu ya Chama dakika za usiku

Chama alifunga goli vs Nkana dakika ya 88, Simba ikafuzu kucheza hatua ya makundi ya CAF Champions League. Chama amefunga goli vs AS Vita dakika ya 89, Simba imefuzu robo fainali ya CAF Champions...

View Article

Article 3

#SportsRoundUp AMRI KIEMBA AISHAURI SIMBA Mchezaji wa zamani wa klabu ya Simba Amri Kiemba ameishauri mambo kadhaa klabu yake mara baada ya kufanikiwa kuifunga AS Vita na kufuzu robo fainali ya ligi ya...

View Article

Walichofanyiwa AS Vita cha mtoto!

Timu ya AS Vita haikuingia kwenye vyumba vya kubadilishia nguo wakidai kumepulizwa dawa ya kuwanyong’onyeza wachezaji kabla ya mechi yao vs Simba ya hatua ya makundi ya klabu bingwa Afrika. Sasa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ushindi wa Simba ni ushindi wa Tanzania”-Joseph Kusaga

Mkurugenzi wa Clouds Media Joseph Kusaga amesema ushindi iliopata Simba ni wa taifa zima kwa sababu walikuwa wanawakilisha nchi kwenye mashindano ya Afrika na kufanikiwa kuingia robo fainali ya ligi ya...

View Article


Kusaga katoa tiketi 100 kuishuhudia Taifa Stars

Katika kuhakikisha mashabiki wanaujaza uwanja wa taifa kuishangilia Taifa Stars itakapocheza dhidi ya Uganda Jumapili ijayo, Mkurugenzi Mtendaji wa Clouds Media Joseph Kusaga ameahidi kutoa tiketi 100...

View Article

Ruvu Shooting mikononi mwa Simba

Simba baada ya kufanya yake Jumamosi iliyopita kwenye michuano ya ligi ya mabingwa Afrika, leo inarudi kupambania kombe la ligi kuu Tanzania bara kwa kucheza na Ruvu Shooting palepale kwenye uwanja wa...

View Article

“Tanzania inakwenda AFCON”-Amunike

Taifa Stars inaendelea na maandalizi ya mchezo wa kufuzu fainali za mataifa ya Afrika AFCON 2019 dhidi ya Uganda mchezo ambao umepangwa kufanyika siku ya Jumapili March 24, 2019 kwenye uwanja wa Taifa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Takwimu za Simba na TP Mazembe hatua ya makundi

Draw ya ligi ya mabingwa Afrika hatua ya robo fainali imepangwa, watu wengi walikuwa wanataka kujua nani anakutana na nani hatimaye wameshajua. Mnyama anarudi tena Congo DR baada ya kupangwa na TP...

View Article


Makocha waliokimbia/kutimuliwa ligi kuu

Msimu wa ligi kuu Tanzania bara 2018/19 ukiwa unaelekea ukingoni kuna vilabu vingi havipo tena na makocha ambao walianzanao msimu huu kutokana na sababu mbalimbali. Waliotimuliwa Mohamed Abdallah Bares...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kumbe wachezaji wa Singida walikuwa wanapigwa!!

Mkurugenzi wa Singida United amesema miongoni mwa sababu za kuachana na aliyekuwa kocha wao Dragan Popadic ni pamoja na kocha huyo kuwapa vichapo wachezaji wakiwa mazoezini. “Kukosekana mahusiano...

View Article


Mbao yamdondosha Salum Mayanga

Uongozi wa Mbao FC umefikia makubaliano na Salum Mayanga kuwa kocha wao mkuu kuchukua nafasi ya Ally Bushiri ‘Benitez’ ambaye amesitishiwa mkataba kutokana na mwendelezo wa matokeo mabovu ya klabu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Gyan “Mimi ni chui, waandishi hawanitishi”

Nahodha wa timu ya taifa ya Ghana Asamoah Gyan ameviomba vyombo vya habari vya Ghana kuwa vitumie muda kuhamasisha timu yao ya taifa na mashabiki kwa ujumla katika safari yao ya Misri kuliko kuwekeza...

View Article


Mchezaji apoteza maisha kwenye ajali ya gari

Kiungo wa klabu ya Free State ya nchini Afrika Kusini, Sinethemba Jantjies amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 30. Sinethemba amepata ajali ya gari wakati gari lake lilipogongana na gari lingine...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mashindano ya Copa Coca-Cola UMISSETA yazinduliwa rasmi Manyara

Mashindano ya mwaka 2019 ya Copa Coca-Cola UMISSETA yamezinduliwa rasmi mkoani Manyara leo ikiendeleza juhudi za Kampuni ya Coca-Cola kuunga mkono michezo mashuleni hapa nchini. Uzinduzi huo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Abdi Banda Mwamba wa Chuma usiotingishwa na kutu

:: Tarehe kama ya leo Abdi Banda “Mwamba wa Chuma” alizaliwa. Ni mmoja kati ya mabeki wenye uwezo wa hali ya juu. Katika mambo makubwa aliyojaliwa ni uwezo wake wa kucheza nafasi tofauti uwanjani. Ana...

View Article


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>