Quantcast
Channel: ShaffihDauda
Browsing all 9000 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAUZU FC YATINGA FAINALI, JUMAPILI KUKIPIGA NA FARU JEURI KUTAFUTA BINGWA WA...

Emanuel Memba (kulia) wa Kauzu FC akiwania mpira na beki wa Friends Rangers Mgaya Juma wa Friends Rangers wakati wa mchezo wa nusu fainali ya Ndondo Cup Timu ya Kauzu FC ‘Wauza mitumba wa Tandika’ leo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

VODACOM YAZING’ARISHA TIMU ZA LIGI KUU BARA

Na Bertha Lumala, Dar es Salam Mdhamini Mkuu wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania bara (VPL), Kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom Tanzania, leo imezing’arisha timu zote 16 zinazoshiriki ligi hiyo msimu huu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BAADA YA KUKATALIWA KUUZWA, BERAHINO AKATAA KUICHEZEA TENA WBA

Mshambuliaji mwingereza mwenye asili ya Burundi Saido Berahino amejikuta katika ugomvi mkubwa na mwenyekiti wa klabu yake ya West Bromwich Albion na ndugu Jeremy Peace baada ya kugomewa kuuzwa na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HIVI NDIVYO MAMBO YALIVYOKUA WAKATI WA NUSU FAINALI YA NDONDO CUP KAUZU FC VS...

Mchezaji wa Kauzu FC Bakari Kessy akikokota mpira mbele ya Clif Anton wa Friends Rangers Kikosi cha Kauzu FC kilichoanza kwenye mchezo wa jana dhidi ya Friends Rangers Kikosi cha Friends Rangers...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JOHN BOCCO: “TUTAPIGANA KUISHINDA NIGERIA JUMAMOSI”

John Bocco ‘Adebayor’ mshambuliaji wa timu ya Taifa ‘Taifa Stars’ na Azam FC Na Baraka Mbolembole, Dar es Salaam  Mshambulizi wa Taifa Stars, John Bocco amesema wachezaji wote wapo tayari kwa gemu ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

FRANK DOMAYO: “WATANZANIA WAJE KWA WINGI UWANJANI”

Frank Domayo, kiungo wa timu ya Taifa ‘Taifa Stars’ na Azam FC Na Baraka Mbolembole, Dar es Salaam Kiungo wa timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’, Frank Domayo amesema, wanafahamu kuhusu ubora wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MBWANA SAMATTA: SILAHA MUHIMU STARS…

Mwana Samatta, mshambuliaji wa kimataifa wa timu ya Taifa ‘Taifa Stars’ na timu ya TP Mazembe ya Congo DRC Na Baraka Mbolembole, Dar es Salaam  Alifunga magoli 16 katika ligi daraja la kwanza Tanzania...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MASHABIKI WAPAGAWISHA, KAUZU FC IKITINGA FAINALI YA NDONDO CUP

Mashabiki wa Friend Rangers walikuja uwanjani na ugali dagaa maaufu kama kauzu ambalo ni jina la timu ya Kauzu FC Mashabiki wa Kauzu wakionesha staili malimbali za uchezaji wakati wakiishangilia timu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

JEREMIA: “PENATI HAZINA MWENYEWE, HATA SISI TULIKUWA NA NAFASI YA KUSHINDA”

Nahodha wa Friends Rangers Dan Jeremia wakati akihojiwa na Azam tv baada ya kumalizika kwa mchezo wa nusu fainali Baada ya kupoteza mchezo wa nusu fainali dhidi ya Kauzu FC nahodha wa Friends Rangers....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

‘OSTADH’ ATOBOA SIRI YA KUTOONEKANA KWENYE KIKOSI CHA USHANGILIAJI CHA KAUZU...

Shabiki na kiongozi wa kikundi cha ushangiliaji cha timu ya Kauzu FC maarufu kwa jina la ‘Ostadh’ Shabiki namba moja wa Kauzu FC na kiongozi wa kikundi cha ushangiliaji cha timu hiyo maarufu kwa jina...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BEKI SIMBA ATAMBA KUIBEBA UGADA KWA COMORO JUMAMOSI

Beki wa Simba na timu ya Taif ya Uganda ‘The Cranes’ Juuko Murshid (kulia) na Ibrahim Ajib Na Bertha Lumala, Dar es Salaam  BEKI wa kati wa Simba, Juuko Murshid ametamba atafanya kweli kuhakikisha timu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANZANIA YAGANDA VIWANGO VYA FIFA

Na Bertha Lumala, Dar es Salaam  WAKATI Tanzania imeendelea kuganda nafasi ya 140 katika viwango vya kila mwezi vya ubora wa soka, wapinzani wao wa mechi ya kesho, Nigeria wameganda nafasi ya 53...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TFF YAMTOSA ZITTO KABWE MECHI YA STARS VS NIGERIA

Na Bertha Lumala, Dar es Salaam  WAKATI kiongozi wa Chama cha ACT Wazendo, Zitto Kabwe, ameomba Watanzania waruhusiwe kuingia bure uwanjani kuishangilia Taifa Stars dhidi ya Nigeria keshokutwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

PICHA: STARS YAPAA KUELEKEA CONGO BRAZZAVILLE

Timu ya Taifa ya soka la wanawake ‘Twiga Stars’ leo imeondoka kwenda nchini Congo Brazzaville kwa ajili ya mihuano ya Afrika (All Africa Games) ambapo wakiwa huko, mechi ya kwanza watacheza na timu ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KOCHA WA TWIGA STARS AOMBA DUA ZA WATANZANIA

Edna Lema, Kocha msaidizti wa timu ya Taifa ya soka la wanawake ‘Twiga Stars’ Timu ya soka ya wanawake ‘Twiga Stars’ imeondoka leo kwenda Congo Brazzaville kwa ajili ya michuano ya Afrika (All Africa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SAMATTA, ULIMWENGU, NGASSA, WAUNGANA NA KIKOSI CHA STARS KUIVAA NIGERIA

Mbwana Samatta (kushoto) pamoja na Thomas Ulimwengu (kulia) Wachezaji watatu wa kimataifa wa Tanzania wanaocheza soka la kulipwa nje ya nchi, Mrisho Ngasa (Free State – Afrika Kusini) Thomas Ulimwengu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TFF YATANGAZA BEI ZA VIINGILIO MCHEZO WA STARS VS NIGERIA, TIKETI KUANZA...

Baraka Kizuguto, Afisa habari wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) akitangaza bei za viingilio vya mechi kati ya Tanzania dhdi ya Nigeria Maandalizi ya mchezo kati ya Tanzania (Taifa Stars) dhidi ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NDONDO CUP: FRIENDS RANGERS, MAKUMBA FC, KUWANIA NAFASI YA TATU LEO UWANJA WA...

Mhezaji wa Kauzu FC Bakari Kessy akikokota mpira mbele ya Clif Anton wa Friends Rangers Michuano ya Sports Xtra Ndondo Cup chini ya udhamini wa Dr. Mwaka na Bakhresa Food Products inaendelea tena leo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MTIHANI WA KWANZA KWA SUNDAY OLISEH DHIDI YA TANZANIA

Kocha mpya wa Nigeria Sunday Oliseh (katikati) wakti akitambulishwa rasmi kama kocha mkuu wa ‘Super Eagles’ Na Simon Chimbo Mara baada ya kurithi mikoba ya kocha Stephen Keshi kukinoa kikosi cha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BALE AFANYA KWELI, WALES YACHUNGULIA MICHUANO YA ULAYA

Bale akipiga kichwa kuifungia Wales goli dhidi ya Cyprus kwenye mchezo wa kuwania kufuzu kucheza michuano ya mataifa ya Ulaya uliochezwa Alhamisi usiku Gareth Bale amethibitisha kuwa Wales bado...

View Article
Browsing all 9000 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>