$ 0 0 Timu ya Taifa ya soka la wanawake ‘Twiga Stars’ leo imeondoka kwenda nchini Congo Brazzaville kwa ajili ya mihuano ya Afrika (All Africa Games) ambapo wakiwa huko, mechi ya kwanza watacheza na timu ya taifa ya Ivory Coast September 6 mwaka huu.