Quantcast
Channel: ShaffihDauda
Viewing all articles
Browse latest Browse all 9000

PICHA: SIMBA YAITULIZA MTIBWA SUGAR NA KUNG’ANG’ANIA NAFASI YA TATU

$
0
0
Mchezaji wa Simba akipata hug la nguvu kwa kocha wa Mtibwa baada ya mechi yao kumalizika
Mchezaji wa Simba akipata hug la nguvu kwa kocha wa Mtibwa baada ya mechi yao kumalizika

Jumamosi ya January 16, 2016 ulipigwa mchewzo wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara kati ya Simba SC ambao walikuwa wenyeji wa mchezo huo dhidi ya Mibwa Sugar watoto wa Manungu-Turiani, Morogoro mchezo ambao ulimalizika kwa Simba kufanikiwa kulipa kisasi kwa Mtibwa Sugar kwa kuitungua bao 1-0 bao ambalo Simba walifungwa kwenye michuano ya Mapinzuzi na kutupwa nje ya michuano hiyo wiki iliyopita kwenye visiwa vya marashi ya Karafuu Zanzibar.

Bao hilo likaipa Simba fursa ya kuendelea kusalia katika nafasi ya tatu ya msimamo wa ligi nyuma ya watani zao Yanga ambao wako nafasi ya pili kuhu leo wakishuka dimbani kutafuta pointi tatu muhimu wakati vinara wa ligi hiyo Azam FC wenyewe jana walibabwa koo na vibonde African Sports na kulazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 kwenye mchezo uliochezwa usiku kwenye uwanja wa Azam Complex Chamazi.

Hapa kuna picha kadhaa ambazo zinakupa fursa wewe msomaji wa shaffihdauda.co.tz kuangalia baadhi ya matukio muhimu yaliyojiri kwenye game ya Simba vs Mtibwa.

DSCF1374

Ajib na Baba Ubaya wakiwania mpira
Ajib na Baba Ubaya wakiwania mpira
Kocha wa Mtibwa Sugar Mecky Maxime akimpa mpira beki wa kulia wa Simba Emiry Nimuboma
Kocha wa Mtibwa Sugar Mecky Maxime akimpa mpira beki wa kulia wa Simba Emiry Nimuboma
Kocha mkuu wa Mtibwa Sugar akisikiliza kwa makini maswali kutoka kwa waandishi wa habari kwenye mkutano baada ya mechi kumalizika
Kocha mkuu wa Mtibwa Sugar akisikiliza kwa makini maswali kutoka kwa waandishi wa habari kwenye mkutano baada ya mechi kumalizika

Simba-Mtibwa

Kocha wa Simba Jackson Mayanja akifurahia jambo na Maxime kwenye mkutano na waandishi wa habari baada ya mchezo wao kumalizika
Kocha wa Simba Jackson Mayanja akifurahia jambo na Maxime kwenye mkutano na waandishi wa habari baada ya mchezo wao kumalizika
Ajib na Baba Ubaya wakiwania mpira
Ajib na Baba Ubaya wakiwania mpira
Wachezaji wa Simba Amis Kiiza (kushoto), Peter Mwalyanzi (katikati) na Ibrahim Ajib (kulia) wakishangil;ia bao lilipachikwa wavuni na Kiiza
Wachezaji wa Simba Amis Kiiza (kushoto), Peter Mwalyanzi (katikati) na Ibrahim Ajib (kulia) wakishangil;ia bao lilipachikwa wavuni na Kiiza

Viewing all articles
Browse latest Browse all 9000

Trending Articles

<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>