VICTOR COSTA AMEITAJA SABABU YA YEYE KUITWA ‘NYUMBA’
Victor Costa ‘Nyumba’ ni jina ambalo lilikuwa maarufu sana mwanzoni mwa miaka ya 2000 kutokana na uwezo aliokuwanao beki huyo wa Simba SC na timu ya taifa ya Tanzania. Uwezo mkubwa na kujiamini kwa...
View ArticleTOP 10 YA MATUKIO YA KUKUMBUKWA MAPINDUZI CUP 2016
Wachezaji wa URA FC wakishangilia ubingwa wao Baada ya michuano ya Mapinduzi Cup kumalizika January 13, 2016 na kushuhudia timu ya URA kutoka Uganda ikitwaa taji hilo, mtandao huu umekuja na ‘count...
View ArticleHivyo Ndivyo Real Madrid Wanavypanga Kupangua Kifungo cha Kusajili cha FIFA
Real Madrid wametangaza kwamba watakata rufaa juu ya kifungo cha kusajili katika vipindi viwili vijavyo vya usajili walichopewa na FIFA jana Alhamisi, kutokana na kusajili wachezaji walio chini ya...
View ArticleKOCHA WA ZAMANI WA STARS AREJEA NCHINI, AFANYA MAZUNGUMZO NA TFF MUDA UTAAMUA...
Kocha wa zamani wa timu za taifa za Tanzania Kim Poulsen (kushoto) alipokutana na kuzungumza na Rais wa TFF Jamal Malinzi Kocha aliyewahi kuzifundisha timu za taifa za Tanzania Kim Poulsen ameonekana...
View ArticleKILICHOANDIKWA TANZANIA, KIKACHAPWA ABUJA KIKASOMWA TENA TANZANIA
Samatta akiwa ameishikilia tuzo yake vizuri kutoa nafasi kwa waandishi kupiga picha za kumbukumbu JANA ilikuwepo ndiyo, lakini inasimama kuwa ni kumbukumbu yetu ya leo huku kesho ikiwa ni ndoto yetu ya...
View ArticleHaya ni mawazo ya Ali Kiba kuhusu siku 100 za Jurgen Klopp ndani yaLiverpool.
Kocha wa Liverpool ametimiza siku 100 tangu aanze kuifundisha club ya Liverpool. Mwanamuziki Ali Kiba Mwana Dar es salaam ambae ni shabiki maarufu wa club ya Liverpool ametoa maoni yake kuhusu siku...
View ArticleKMKM WASAINI KINDA, BUSHIR AMFANANISHA NA BEKI WA YANGA
Adam Abdallah mchezaji aliyesajiliwa na KMKM huku akifananishwa na beki wa kushoto wa Yanga Haji Mwinyi kutokana na uwezo wake mkubwa aliokuwa nao wa kucheza soka Na Abubakar Khatib ‘Kisandu’, Zanzibar...
View ArticleHIVI NDIVYO KATUMBI ANAVYOPAMBANA KUMZUIA SAMATTA KWENDA KUKIPIGA BELGIUM
Mmiliki wa klabu ya TP Mazembe Moise Katumbi amegeuka wakala baada ya kuweka majukumu yake pembeni na kuanza kumtafutia timu nyota wa timu hiyo Mbwana Samatta ili akacheze kwenye timu ambayo anataka...
View ArticleMambo 6 Ambayo Real na Atletico Madrid Wanaruhusiwa Kufanya na Kutokufanya...
VILABU mahasimu wa jiji la Madrid, nchini Hispania – Real Madrid and Atlético Madrid wamekumbana na adhabu ya kufungiwa kusajili wachezaji wapya kwa kipindi cha vipindi viwili vijavyo vya dirisha la...
View ArticleEl Chapo alitaka kuinunua Chelsea kabla ya Roman Abramovich
Gazeti moja la udakuzi wa habari za ndani za Sport wametoka na habari mpya baada muuza unga maarufu duniani Guzman El Chapo kukamatwa tena. Gazeti hilo limetoa habari kwamba jamaa huyo alitaka...
View ArticleKumbe Klopp alifanya kitu hiki kibaya Manchester kabla ya kwenda Liverpool.
Licha ya kumsifia sana Sir Alex Fergie ambae ni kocha mwenye mafanikio ndani ya Manchester united, lakini Klopp ametoa siri yake kubwa kwamba hakuwa na interest na Manchester united licha ya manager...
View ArticleKUELEKEA MCHEZO WA LIVERPOOL VS MAN U, HIVI NDIVYO ANAYOAMINI VAN GAAL KUHUSU...
Boss wa Manchester United Louis van Gaal hatarajii kwamba itachukua miaka 26 ili klabu yake kutwaa ubingwa kwa mara nyingine tena. United ilichukua miaka 26 kabla haijatwaa ubingwa wa ligi chini ya...
View ArticleMECHI 6 AMBAZO HUTAKIWI KUZIKOSA MICHUANO YA CHAN 2016
Zimebaki saa chache kabla ya michuano ya CHAN 2016 kuanza kutimua vumbi inchini Rwanda. Nchi wenyeji watafungua michuano hiyo dhidi ya Ivory Coast kwenye dimba la Amahoro uwanja mkubwa kuliko viwanja...
View ArticleADHABU YA MADRID YAVITESA VILABU VYA ENGLAND
Baada ya klabu ya soka ya Real Madrid kufungiwa na shirikisho la soka duniani FIFA, isisajili kwa kipindi cha miezi 18 kuanzia majira ya joto, klabu za soka za Manchester City, United na Chelsea...
View ArticlePicha 6 za Alexis Sanchez amerudi mazoezini.
Baada ya kukaa nje kwasababu ya majeraha aliyokua nayo Sanchez amefanya mazoezi na wachezaji wenzake leo wakijiandaa kucheza dhidi ya Stoke City. Pia kuna uwezekano akaweza kujumishwa kwenye kikosi...
View ArticlePICHA: SIMBA YAITULIZA MTIBWA SUGAR NA KUNG’ANG’ANIA NAFASI YA TATU
Mchezaji wa Simba akipata hug la nguvu kwa kocha wa Mtibwa baada ya mechi yao kumalizika Jumamosi ya January 16, 2016 ulipigwa mchewzo wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara kati ya Simba SC ambao...
View ArticleKIM POULSEN AZIDI KUZUA MASWALI VICHWANI MWA WADAU WA SOKA
Kim Poulsen (kushoto) akiwa na mtendaji mkuu wa bodi ya ligi Boniface Wambura (kulia) wakifatilia mchezo wa ligi kuu Tanzania bara kati ya Simba dhidi ya Mtibwa Sugar Kim Poulsen ameendelea kuonekana...
View ArticleJERRY MURO NA HUYU DADA VEPEEE??
Jerry Muro ni jina ambalo limejizolea umaarufu mkubwa na wa haraka kwenye soka la Bongo kutokana na mbwembwe pamoja na tambo nyingi hasa linapokuja suala la kuzungumaza kuhusu watani wao wa jadi...
View ArticleKLOPP: NILISHINDWA KUJIUNGA MAN UNITED
Katika kuelekea mchezo wa wapinzani wa jadi ‘derby’ kati ya timu mbili kubwa zenye historia nchini England, Liverpool na Manchester United, kocha wa Liverpool mjerumani Jurgen Klopp ameibuka na kutoa...
View ArticleHaya ni mambo unayotakiwa kuyajua kuhusu Liverpool Vs Manchester United.
Jumapili ya leo kwa wapenda soka wote lazima waimalize kwa kuangalia game ya Liverpool Vs Manchester united ambayo kwa hapa Tanzania tunaigalia kupitia Dstv pekee. Haya ni baadhi ya mambo ambayo...
View Article