RASMI: YANGA YAMREJESHA NIYONZIMA KUNDINI KUJIUNGA NA KIKOSI
Kiungo wa Yanga Haruna Niyonzima (kulia) akizungumza na waandishi wa habari makaomakuu ya klabu hiyo, kushoto ni afisa habari wa Yanga Jerry Muro Kiungo wa kutumainiwa wa Yanga na timu ya taifa ya...
View ArticleGOLIKIPA WA VPL ALIYEHITIMU MASTERS AWASHAURI WACHEZAJI WA BONGO
Jana Jaunuary 16, 2016 inawezekana ilikuwa ni siku ya furaha na ya kukumbukwa na mlinda mlango wa Toto Africans ya jijini Mwanza Erick Ngwegwe kutokana na goalie huyo kuhitimu shahada ya pili...
View ArticleAaron Ramsey to Barcelona?
Hakuna hata shabiki mmoja wa Arsenal ambae angependa kuona Aron Ramsey anaiacha club hiyo na kuhamia Barcelona. Lakini kitu hicho kimeshaanza kunukia sasa hivi na Barcelona wanafanya juhudi kubwa. Kwa...
View ArticleYONDANI AIWEKA YAKA KILELENI VPL
Kelvin Yondani (jezi namba 5) akipongezwa na wachezaji wenzake wa Yanga baada ya kuukwamisha mkwaju wa penati kambani kuipa timu yake ushindi dhidi ya Ndanda FC Kikosi cha Yanga SC kimerejea kileleni...
View ArticleCANNAVARO: SIJAJIUZULU KWASABABU SAMATTA KAPEWA UNAHODHA, KILICHONIUDHI NI...
Aliyekuwa nahodha wa Taifa Stars Nadir Haroub ‘Cannavaro’ leo amepeleka barua TFF ya kutangaza kustaafu kuichezea timu ya taifa ya Tanzania kutokana kunyang’anywa unahodha bila utaratibu maalum na...
View ArticleUshindi wa 6-0 Wamfanya Raisi wa Barca Aombe Adhabu Hii Ifutwe
Athletic Bilbao walilazimika kucheza dakika 85 za mchezo wao wa jana usiku dhidi ya FC Barcelona na kuepelekea kupata kipigo cha 6-0. Pamoja na ushindi mzito iliopata timu yake ya Barcelona, Raisi wa...
View ArticleAC Milan inampeleka mchezaji huyu mahakamani kwa kuwaongopea umri.
Wachezaji wa Africa mara nyingi huwa wanajikuta kwenye tatizo la kudanganya umri wakiwa wanataka kucheza Ulaya. Yusupha Yaffa ni mchezaji wa Gambia ambae alifanikiwa kuiongopea club kubwa AC Milan...
View ArticleBarcelona wametoa maelezo haya kuhusu injury ya Messi.
Leo club ya FC Barcelona imetoa maelezo kuhusu afya ya mchezaji wao Lionel Messi ambae alitolewa nje baada ya kupata maumivu wakati wa mechi dhidi ya Athletic Bilbao. Kwenye mechi hiyo Messi alitolewa...
View ArticlePICHA: SEKTA YA MICHEZO YAJIVUNIA KUPATA WASOMI WA ELIMU YA JUU
Mwandi wa habari za michezo kutoka kampuni ya The Guardian Limited Lasteck Alfred (kushoto) pamoja na golikipa wa Toto Africans Erick Ngwegwe kwenye mahafali ya kumaliza masters degree zao kwenye chuo...
View ArticleAnthony Martial awaacha njia panda mashabiki wa Man United.
Baada ya ushindi muhimu wa goli moja dhidi ya Liverpool, Martial ali-post picha kwenye instagram na kuwaambia watu wote wanaom-follow kwamba “A suprise will come very soon”. Post hiyo iliwafanya...
View ArticleMURO: NI HABARI NJEMA KUMPOKEA TENA NAHODHA WETU
Matokeo ya vipimo yameonesha Nadir Haroub amepona majeraha yake,hakuchelewa moja kwa moja akaenda klabuni kuchukua vifaa vyake vya mazoezi tayari kuanza mazoezi hapo kesho. “Ni habari njema kumpokea...
View ArticleMario Balotelli atoa boko jingine.
Mchezaji Mario Balotelli kutoa maboko ni kawaida yake au unaweza kusema yeye ni mtu wa vituko mara nyingi sana. Sasa kwa nia njema lakini hapo hapo anatoa boko bila kujijua, Mario Baloteli amejisahau...
View ArticleMkosi wa Stoke City: Man UTD na City Zisahau Ubingwa, Arsena au Leceister...
Vilabu vya ARSENAL, Leicester au Tottenham – moja ya kati ya vilabu hivi inaweza kuwa bingwa wa ligi kuu ya England kama historia itakuwa ina namna ya kujirudia. Tangu Stoke City walipowasili kwenye...
View ArticleRAIS WA AFC AWASILI TANZANIA KUZUNGUMZA NA MALINZI
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu barani Asia (AFC) na Makamu wa Rais wa FIFA, Sheikh Salman Bin Ebrahim Al Khalifa amewasili nchini leo mchana na kupokelewa na Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu...
View ArticleChelsea ipo kwenye hatua za mwisho kumsajili huyu
Tupo kwenye wakati wa usajili na Chelsea inatumia muda huu kuimarisha kikosi chake. Hadi sasa taarifa zinasema kwamba Chelsea wanataka kumrudisha Pato wa Brazil barani Ulaya. Pato ana miaka 26 na...
View ArticleLIVERPOOL YASONGA MBELE FA CUP, HIZI NI REKODI 4 UNAZOHITAJI KUZIFAHAMU
Usiku wa January 20 klabu ya Liverpool ilifanikiwa kusonga mvbele kwenye michuano ya FC Cup baada ya kuivurumisha klabu ya Exeter kwa bao 3-0 na kufanikiwa kutinga raundi ya nne ya michuano hiyo....
View ArticleSPURS YAENDELEZA REKODI BAADA YA KUIADABISHA LEICESTER CITY
Mabao yaliyofungwa na Son Heung-min pamoja na Necer Chadli kwa upande wa Tottenham yameipeleka timu yao kwenye raundi ya nne ya michuano ya FA Cup na kuitupa nje ya michuano hiyo klabua ya Leicester...
View ArticleNEYMAR AIBEBA BARCELONA BILA MESSI NA SUAREZ
Neymar amekiongoza kikosi cha Barcelona kuibuka na ushindi wa bao 2-1 dhidi ya Athletic Bilbao kwenye mchezo wa kwanza wa robo fainali ya Copa del Rey wakiwa ugenini kwenye dimba la San Mames Stadium....
View ArticleMAJIBU YA MKWASA KUHUSU CANNAVARO KUSTAAFU KUICHEZEA TAIFA STARS
Charles Boniface Mkwasa, Kocha mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania Siku kadhaa baada ya nahodha wa muda mrefu wa Stars Nadir Haroub ‘Cannavaro’ kutangaza kustaafu kuichezea timu ya taifa ‘Taifa Stars’,...
View ArticleBAADA YA KUVUNJA MKABA NA INTER MILAN, KLABU YA EPL YAMFUKUZIA NEMANJA VIDIC
Klabu ya Aston Villa ya England imetoa offer kwa Nemanja Vidic kumsaini kama mchezaji huru baada ya nyota huyo wa zamani wa Manchester United kuvunja mkataba na klabu yake ya Inter Milan inayoshiriki...
View Article