Matokeo ya vipimo yameonesha Nadir Haroub amepona majeraha yake,hakuchelewa moja kwa moja akaenda klabuni kuchukua vifaa vyake vya mazoezi tayari kuanza mazoezi hapo kesho.
“Ni habari njema kumpokea tena Nahodha wetu, Cannavaro ambaye alikuwa nje kwa muda mrefu kutokana na majeruhi. Tunatarajia kesho ataanza mazoezi mepesi,”amesema Muro.
Chanzo: Naipenda Yanga facebook fan page