HII NDIO TOP 20 YA WANASOKA WENYE THAMANI ZAIDI DUNIANI 2016
Paul Dybala $68.28m Haishangazi kumuona kinda huyu mwenye kipaji katika orodha ya wachezaji 20 wenye thamani kubwa zaidi hivi sasa, Juventus inajivunia kijana huyu na hawapo tayari kumuuza hivi sasa...
View ArticleSTORY MPYA KUHUSU SAMATTA NA TP MAZEMBE
Baada ya dili la uhamisho wa mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania Mbwana Samatta kusuasua kutoka klabu yake ya TP Mazembe kwenda klabu ya Genk ya Ubeligiji, star huyo ameamua kurejea kwenye klabu...
View ArticleTAMBWE AIBUKA SHUJAA YANGA IKIISAMBARATISHA MAJIMAJI
Amis Tambwe ameibuka shujaa kwenye mchezo wa Yanga vs Majimaji baada ya kutupia kambani goli tatu (hat-trick) wakati Yanga ikiibuka na ushindi wa bao 5-0 na kupaa tena hadi kileleni mwa ligi kuu ya...
View ArticleHAYA NDIYO MAAMUZI YA TFF BAADA YA DRFA KUWASIMAMISHA VIONGOZI WA TEFA
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) linapenda kutoa taarifa kuhusu uamuzi Kamati ya Maadili ya Chama cha Mpira wa Miguu cha Mkoa wa Dar es Salaam (DRFA) wa kuwasimamisha kwa muda wa miaka...
View ArticleLIVERPOOL YAHAHA KUMNASA MSHAMBULIAJI WA BRAZIL
Liverpool wanataka kumsajili mshambuliaji wa Shakhtar Donetsk Alex Teixeira mwenye asili ya kibrazil na kama dili hilo litafanikiwa huo utakuwa ni usajili mkubwa wa kwanza kufanywa na kocha Jurgen...
View ArticleHII NI STORY MPYA KUHUSU MANCHESTER UNITED NA PEP GUADIOLA
Manchester United wamekanusha kwamba walikutana na boss wa Bayern Munich Pep Guardiola kuhusu uwezekano wa kuchukua mikoba ya bosi sasa Louis van Gaal, baada ya soka Ufaransa kusema kuwa mkutano...
View ArticleTUSIMWAMINI MUONGO HATA AKIONGEA UKWELI
Na Athumani Adam Msanii wa mtindo wa Hip Hop hapa nchini Tanzania, kwenye moja ya nyimbo zake aliwahi kutumia maneno yasemayo “Hupaswi kumuamini muongo hata kama akiongea ukweli”, FID Q alitumia...
View ArticleTAMBWE APEWA MPIRA WA ‘KICHINA’
Amisi Tambwe akikabidhiwa mpira ambao haukuwa miongoni mwa ile iliyotumika kwenye mchezo wa Yanga vs Majimaji baada ya mschezaji huyo kufunga magoli matatu kwenye mechi hiyo Katika hali isiyo ya...
View ArticleNIYONZIMA AANZA RASMI MAKAMUZI YANGA, HII NDIYO KAULI YAKE YA KWANZA
Haruna Niyozima wakati akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kumaliza mazoezi na klabu yake Kiungo wa Yanga Haruna Niyonzima ambaye mkataba wake na klabu hiyo ulivunjwa kutokana na makosa ya...
View ArticleYANGA ISITARAJIE MTEREMKO-RANGERS
Uongozi wa klabu ya Friends Rangers, umesema klabu ya Yanga isitarajie mteremko katika mchezo wao wa kutania kombe la FA, utakaofanyika kesho kutwa kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam. Ofisa habari...
View ArticleFA CUP MAMBO YAMEIVA, YANGA, SIMBA, VIWANJANI WEEKEND HII
Mzunguko wa tatu wa michuano wa Kombe la Shirikisho (Azam Sports Federation Cup) unatarajiwa kuendelea wikiendi hii mpaka katikati ya juma lijalo kwa michezo 13 kuchezwa katika viwanja mbalimbali...
View ArticleTFF YAMLILIA HASSAN MLILO
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Jamal Malinzi ametuma salamu za rambi rambi kwa klabu ya Tanzania Prisons inayoshiriki Ligi Kuu ya Vodacom kufuatia kifo cha Mwenyekiti wake Hassan...
View ArticleCOASTAL UNION HAPAKALIKI, WANACHAMA WASHINIKIZA UONGOZI KUCHUKUA UAMUZI MGUMU
Said Karsandas Pandram, Tanga Kutokana na matoke omabayo yanayoikumba klabu ya Coastal Union ya Tanga, wanachama wa klabu hiyo wameutaka uongozi wa timu hiyo kujiuzulu kwa kuwa wameshindwa kuiendesha...
View ArticleMAJIBU YA PASCAL WAWA KUHUSU KUCHEZA KLABU NYINGINE YA VPL
BEKI kisiki wa Azam FC, Pascal Wawa, ameweka wazi kuwa hakuna timu nyingine atakayoichezea Tanzania zaidi ya klabu hiyo Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, anayokipiga kwa sasa. Akifanya mahojiano...
View ArticleFABREGAS AMFUKUZISHA KAZI MFANYAKAZI WA CHELSEA
Uongozi wa klabu ya Chelsea umemfukuza kazi mfanyakazi wa uwanja wao baada ya mfanyakazi huyo kumkejeli nahodha wa zamani wa klabu ya Arsenal Cesc Fabregas kwa kumwita ‘snake’. Video ya tukio hilo...
View ArticleKAMUSOKO AKIWA NA FAMILIA YAKE ANAUJUMBE HUU KWAKO WEEKEND HII
Kiungo wa Yanga Thabani Kamusoko akiwa na familia yake Kikungo wa Yanga mzimbabwe Thabani Kamusoko ni miongoni mwa wachezaji wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara ambao wako active sana kwenye mitandao...
View ArticleKIMENUKA YANGA, KATIBU MKUU ABWAGA MANYANGA
Katibu Mkuu wa klabu ya Yanga Dr. Jonas Tiboroha ametangaza kujiuzulu wadhifa wake ndani ya klabu hiyo ya Jangwani kutokana na fukuto kubwa lililopo kwenye uongozi wa juu wa klabu hiyo. Mtandao huu...
View ArticleDR. TIBOROHA AZUA ‘TIMBWILI’ YANGA
Wanachama wa klabu ya Yanga wameibuka makao makuu ya klabu yao kupinga kujiuzulu kwa aliyekuwa katibu mkuu wa klabu hiyo Dr. Jonas Tiboroha ambaye inaelezwa amechukua uamuzi huo kutokana na shinikizo...
View ArticleACACIA YAMWAGA MAMILIONI YA PESA KWA TIMU YA DARAJA LA PILI
Meneja wa Buzwagi Assa Mwaipopo (kushoto) akimpa hundi katibu wa Ambasador Na. Philipo Chimi, Kahama Timu ya Ambasador FC kutoka wilayani Kahama mkoani Shinyanga inayoshiriki lig daraja la pili ngazi...
View Article‘UJANJA-UJANJA’ WAIPONZA ASHANTI UNITED FA CUP
Kikao cha Kamati ya Mashindano ya Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF) kilichoketi jana na kupitia taarifa mbalimbali za michezo ya Kombe la Shirikisho (Azam Sports Federation Cup) mzunguko wa...
View Article