LIVERPOOL YAPATA POINTI 3 UGENINI, LAKINI YAKIONA CHA MOTO
Adam Lalana amewatoa Liverpool kimasomaso baada ya kuifungia timu hiyo bao la ushindi dakika za lala salama kwenye mechi ya ligi kuu England kati ya Norwich City dhidi ya Liverpool iliyomalizika kwa...
View ArticleSIMBA YAUNGURUMA MOROGORO
Wekundu wa Msimbazi Simba wameunguruma Mkoani Morogoro kwa kuitungua timu ya Burkina Faso kwa bao 3-0 kwenye mchezo wa Azam Sports Federation Cup (FA) mchezo uliochezwa kwenye uwanja wa Jamhuri mjini...
View ArticleMAN UTD YAKWAMA TENA OLD TRAFFORD
Klabu ya Manchester United imeshindwa kutamba kwenye uwanja wake wa nyumbani baada ya kujikuta ikigaragazwa kwa bao 1-0 dhidi ya Southampton kwenye mchezo wa ligi kuu England uliochezwa kwenye uwanja...
View ArticleTANZIA: KOCHA WA VPL AFIWA NA MKEWE
Bi. Fatuma Juma aliyekuwa mke wa kocha wa timu ya Mbeya City Meja mstaafu Abdul Mingange Kocha mkuu wa Mbeya City FC Meja mstaafu Abdul Mingange amefiwa na mkewe Bi. Fatuma Juma mapema leo, mazishi...
View ArticleMOURINHO AIANDIKIA BARUA BODI YA MAN UNITED
Gazeti la Independent la nchini England Jumapili hii limeripoti kuwa kocha Jose Mourinho ameiandikia barua bodi ya klabu ya Manchester United kuelezea mipango yake na jinsi atakavyofanya kama atapata...
View ArticleKLOPP AVUNJA MIWANI AKISHANGILIA USHINDI WA LIVERPOOL
Kocha Jurgen Klopp wa Liverpool jana alijikuta akiharibu miwani yake mara baada ya kujumuika pamoja na wachezaji wake kushangilia goli la ushindi katika dakika za mwisho za mchezo wao dhidi ya Norwich...
View ArticleMADEE: ARSENAL IKIFUNGWA NA CHELSEA, GARI YANGU MOJA NAICHOMA MOTO
Kama ulikuwa hujui basi leo nakufanya ujue kwamba mbali na masuala ya music, msanii Madee ni shabiki wa kutupwa wa Arsenal The Gunners wale watoto wa jiji la London pale England. Leo Arsenal watakuwa...
View ArticleYANGA YAIFUATA SIMBA FA CUP
Simon Msuva wakishangilia na Paul Nonga moja ya magoli ya leo dhidi ya Friends Rangers Yanga imefanikiwa kutinga raundi ya 16 bora ya michuano ya Azam Sports Federation Cup kufuatia ushindi wa goli 3-0...
View ArticleBaada ya Mtoto wa Jorge Mendes – Ronaldo sasa Ahusishwa kutoka na Mdogo wake...
Takribani mwaka mmoja tangu kuachana na girlfriend wake, mwanamitindo wa kirusi Irina Shayk – Cristiano Ronaldo ameendelea kuhusishwa na mahusiano na wasichana mbalimbali duniani. Baada ya kuhusishwa...
View ArticleBAADA YA CHELSEA KUILIZA ARSENAL, HIZI NDIYO REKODI MPYA ZILIZOWEKWA
Arsena ikiwa na wachezaji 10 imeshindwa kukaa kileleni mwa ligi kuu ya England baada ya Diego Costa kufunga goli na kuipa ushindi Chelsea kwenye dimba la Emirates. Beki wa kutumainiwa wa The Gunners...
View ArticleWayne Rooney Apiga Hat Trick – Hili Ndio Jina Alilompa Mtoto Wake Mpya
Wanandoa Coleen na Wayne Rooney wametangaza kupata mtoto wao wa 3 leo jumapili. Rooney na Coleen kwa pamoja walitumia akaunti zao za mtandao wa Twitter kuwaambia mashabiki wao juu ya taarifa hiyo,...
View ArticleMANJI ATAJA SABABU ZILIZOMNG’OA DR. TIBOROHA JANGWANI
Yusuf Manji-Mwenyekiti Yanga SC Baada ya Katibu Mkuu wa Klabu ya Yanga Dr. Jonas Tiboroha kujiuzulu, yaliibuka mambo mengi na mijadala mingi ikihoji ni kwanini mtendaji huyo mkuu wa Jangwani ameamua...
View ArticleHii Ndio Rekodi Muhimu ya Flamini Iliyovunjwa na Diego Costa
Mathieu Flamini alikuwa ni mmoja ya wachezaji waliochezea Arsenal leo wakati Gunners walipofungwa 1-0 na Chelsea katika mchezo wa raundi ya pili ya English Premier League katika dimba la Emirates....
View Article‘PANGA-PANGUA’ YAPITA YANGA, DR. TIBOROHA APATA MRITHI
Baraka Deusdedit anashikilia nafasi ya Katibu-Yanga SC Uongozi wa klabu ya Yanga umefanya mabadiliko ya nafasi za uongozi kwenye klabu hiyo mara baada ya aliyekuwa Katibu Mkuu wa Yanga kubwaga...
View ArticleGOLI LA MATHEO ANTHONY LAWEKA RECORD MPYA YANGA
Matheo Anthony (kushto) akipongezwa na beki wa timu hiyo Pato Ngonyani (kulia) baada ya kufunga goli lake la kwanza Yanga Mshambuliaji wa Yanga Matheo Anthony ajana aliandika rekodi mpya kwenye klabu...
View ArticleMAJIBU YA MADEE KUHUSU KUCHOMA GARI BAADA YA ARSENAL KUTULIZWA NA CHELSEA
Star wa Bongo Flavor Madee jana aliahidi kuchoma moja ya gari lake endapo timu ya Chelsea ingeifunga Arsenal kwenye mchezo wa Premier League jana January 24 kwenye uwanja wa Emirates. Mchezo huo...
View ArticleTETESI: DR. TIBOROHA ANUKIA TFF
Taarifa za ndani kutoka TFF zinasema kwamba aliyekuwa Katibu Mkuu wa Yanga Dr. Jonas Tiboroha anasubiri kuchukua nafasi ya Katibu Mkuu wa sasa wa TFF Mwesigwa Selestine. Chanzo hicho kimesema kwamba,...
View ArticleWARAKA WA KERR WAIBUA MAZITO YALIYOFICHIKA SIMBA
Baada ya kuwa kimya kwa muda mrefu tangu alipotimuliwa, aliyekuwa kocha mkuu wa Simba Dylan Kerr ameandika barua kwa mashabiki akiwaeleza mambo kadhaa ambayo ylikuwa yamefichika nyuma ya pazia wakati...
View ArticleWENGER ALICHEMKA KUMTOA GIROUD DHIDI YA CHELSEA?
Kocha Arsene Wenger alimtoa mshambuliaji wake Oliver Giroud katika dakika ya 22 ya mchezo na kumuingiza beki Gabriel Paulista ili kuziba nafasi sehemu iliyoachwa wazi na beki Paul Mertesacker ambaye...
View ArticleVan Gaal Aripotiwa Kutaka Kujiuzulu – Aondoka England, Mazoezi Yasimamishwa
LOUIS VAN GAAL anaripotiwa kuwa karibuni kujiuzulu kuitumikia Manchester United baada ya kukiri kwamba amewaangusha mashabiki zake. Kocha huyo wa kidachi alizmewa sana katika dimba la Old Trafford...
View Article