Quantcast
Channel: ShaffihDauda
Viewing all articles
Browse latest Browse all 9000

PICHA 5 ZA GARI ANAYO-PUSH IBRAHIM AJIB WA SIMBA SC

$
0
0
Ajib wakati anaondoka eneo la uwanja wa Karume baada ya kumalizika kwa mchezo kati Africa Lyon dhidi ya Azam FC
Ajib wakati anaondoka eneo la uwanja wa Karume baada ya kumalizika kwa mchezo kati ya Africa Lyon dhidi ya Azam FC

Leo katika pitapita za hapa na pale camera ya shaffihdauda.co.tz ‘Timu ya Ushindi’ imefanikiwa kudaka picha za Star wa Simba SC na timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ Ibrahim Aib akiwa ndani ya gari yake maeneo ya uwanja wa Karume.

Ajib 3

Ajib alikuwepo kwenye uwanja wa Karume kushuhudia pambano la Azam Sports Federation Cup kati ya Africa Lyon dhidi ya Azam FC mchezo uliomalizika kwa Azam kupata ushindi wa magoli 4-0.

Ajib 2

Baada ya mchezo huo kumalizika Ajib aliekea alikoegesha ndinga yake na kuchomoka akiwa na baadhi ya watu wake wa karibu ambao aliambatana nao kushuhudia game hiyo.

Ajib akisalimiana na Shomari Kapombe mchezaji wa Azam FC ambaye ameshawahi kucheza kwenye klabu ya Simba SC
Ajib akisalimiana na Shomari Kapombe mchezaji wa Azam FC ambaye ameshawahi kucheza kwenye klabu ya Simba SC miaka kadhaa iliyopita
Ramadhani Singano 'Messi' pia alionekana akipiga story kwa dakika kadhaa na Ajib kupitia disha la gari hiyo
Ramadhani Singano ‘Messi’ pia alionekana akipiga story kwa dakika kadhaa na Ajib kupitia dirishani
Mwonekano wa gari nzima ya Ibrahim Ajib
Mwonekano wa gari nzima ya Ibrahim Ajib

Viewing all articles
Browse latest Browse all 9000

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>