Quantcast
Channel: ShaffihDauda
Viewing all articles
Browse latest Browse all 9000

RONALDO ASHEREKEA BIRTHDAY KWA STYLE YA AINA YAKE

$
0
0

Ronaldo-birthday

Ronaldo alitupia picha kwenye account yake ya instagram kuonesha alivyoitumia sikuyake ya kuzaliwa kwa kuamua kufanya mazoezi ya boxing na motto wake Cristiano Jnr.

Real Madrid pia kupitia account ya klabu hiyo walitupia ujumbe kumtakia star wao happy birthday wakati klabu ya Manchester United wao walitupia video ya goli la kwanza la Ronaldo alilofunga akiwa Manchester United enzi hizo akiwa bado kinda.

Ronaldo-birthday 1

Ronaldo atakutana na Granada kwenye ligi ya La Liga siku ya Jumapili wakati miamba hiyo ya Hispania itakapokuwa ikijaribu kuikimbiza Barcelona ambayo ipo kileleni mwa ligi pamoja na Atletico Madrid ambayo inakamatia nafasi ya pili.

Barcelona nao hawakuacha kumtakia happy birthday Neymar kupitia account yao ya twiter.

Ronaldo 31b


Viewing all articles
Browse latest Browse all 9000

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>