UBAGUZI WA RANGI WAAHIRISHA MECHI SERIE A
Mechi ya Serie A kati ya Lazio dhidi ya Napoli iliahirishwa baada ya kutokea vitendo vya ubaguzi wa rangi vlivyokuwa vikifanywa na mashabiki wa Lazio kwa beki wa kati wa Napoli half Kalidou Koulibaly....
View ArticleJULIO: HATA TUNGECHEZA DAKIKA 600 TUSINGESHINDA
Kocha wa Mwadui FC ya mkoani Shinyanga Jamhuri Kihwelu ‘Julio’ amewageukia waamuzi wa mchezo wa African Sports vs Mwadui FC na kuwatuppia mzigo wa lawama mara baada ya timu yake kukalishwa kwa bao 1-0...
View ArticleSIJIUZULU NG’O-NEVILLE
Baada ya kupokea kipigo cha mbwa mwizi cha goli 7-0 kutoka kwa FC Barcelona kocha wa Valencia Garry Neville amewaambia waandishi wa Habari kuwa hafikirii kujiuzuru na ataendelea kuwa kocha wa Valencia...
View ArticleLIGI YA CHINA TISHIO KWA VILABU VIKUBWA BARANI ULAYA
Kutokana na wimbi la mastaa wengi barani Ulaya kukimbnilia ligi kuu ya nchini China haili hiyo inaonesha kutishia mustakabali wa vilabu vikubwa barani Ulaya kutokana na wachezaji wengi kuvutiwa na...
View ArticleHUYU NDIYE STAR MWINGINE ANAYEONDOKA CHELSEA
Inaelezwa kuwa huenda mshambuliaji wa Chelsea Diego Costa akaondoka mwishoni mwa msimu huu kuelekea Atletico Madrid mara baada ya klabu hiyo ya nchini Hispania, kumuuza mshambuliaji wao Jackson...
View ArticleWENGER ASALIMU AMRI
Kocha wa Arsenal Mfaransa Arsene Wenger amekubali kuwa klabu yake ipo katika wakati mgumu katika mbio za kunyakua ubingwa wa England. Kwa mujibu wa mahojiano aliyofanya na gazeti la Daily mail la...
View ArticleHII NDIYO KAULI YA GARY NEVILLE INAYOMUHUKUMU MWENYEWE
Garry Neville ambaye ni kocha wa timu ya Valencia yuko katika wakati mgumu baada ya timu yake kupokea kipigo cha magoli 7-0 kwa kutoka kwa Barcelona, katika mchezo wa kuwania kombe mfalme almaarufu...
View ArticleSIMBA YATUA ‘MJENGONI’ KUTOA 5 KWA WABUNGE
Simba imesimama kwa muda mjini Dodoma na kuzungumza na baadhi ya wabunge wakiwemo Azzan Zungu, Juma Nkamia na wengine wenye mapenzi na kikosi cha Mnyama. Simba ilisimama kwa muda ikiwa njiani kwenda...
View ArticleHIDDINK ANAIBORESHA CHELSEA LAKINI…
Kocha wa muda wa Chelsea Mholanzi Guss Hiddink anafanya kazi ya kipekee tangu achukue mikoba ya Mreno Jose Mourinho aliyetimuliwa mnamo Desemba mwaka jana ambapo mpaka Mourinho anaondoka tayari klabu...
View ArticleSTORY MPYA KUHUSU CHANONGO NA UBWA NDANI YA TP MAZEMBE
Kimya kimetanda tangu wachezaji wa Stand United Haruna Chanongo na Abuu Ubwa walipokwenda kufanya majaribio kwenye klabu ya TP Mazembe ya nchini Congo DR na hatimaye kurejea nchini kimyakimya bila...
View ArticleUNAJUA KINACHOMUWEKA BENCHI MAGURI? MWENYEKITI WA STAND ATUMBUA JIPU
Elius Maguri, amejikuta akichezea mkeka ndani ya kikosi cha Stand United licha ya kuwa kwenye kiwango bora kwa sasa Mshambuliaji wa Stand United Elius Maguli siku za hivi karibuni amekuwa haonekani...
View ArticleEXCLUSIVE: JUMA MGUNDA MFUNGAJI ALIYESAHAULIKA AKAWAJERUHI YANGA
Ukimsifia anayekimbia usiache kumsifia anayemkimbiza, sasahivi mambo yamekuwa matamu kwenye mchuano wa kuwania ufungaji bora kwenye ligi ya Vodacom Tanzania bara kwasababu mbiyo zimepamba moto hasa...
View ArticleBABA WA NEYMAR AFICHUA DAU LILILOTENGWA NA MAN UTD KWA AJILI YA MWANAE
Baba mzazi wa mchezaji wa Barcelona, Neymar Jr wiki hii amefichua siri juu pesa ya ambayo klabu ya Manchester United waliyoitenga msimu uliopita kutaka kumsajili mtoto wake kutoka Barcelona, huku...
View ArticlePEP GUARDIOLA YUPO CITY KWENYE MBUYU WAKE
Na Athumani Adam Ni hulka ya binadamu kuhama kutoka sehemu moja kwenda nyingine kwenye maisha. Ndiyo kitu ambacho kimetokea kwa kocha mkuu wa Bayern Munich anayelamalizia mkataba wake pale Allianz...
View ArticleRONALDO ASHEREKEA BIRTHDAY KWA STYLE YA AINA YAKE
Ronaldo alitupia picha kwenye account yake ya instagram kuonesha alivyoitumia sikuyake ya kuzaliwa kwa kuamua kufanya mazoezi ya boxing na motto wake Cristiano Jnr. Real Madrid pia kupitia account ya...
View ArticleTFF YATANGAZA VITA NA WAPANGA MATOKEO
Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF) limewaonya viongozi wa vilabu, wachezaji, waamuzi na wasimamizi wa mchezo kutojihusisha na upangaji wa matokeo (Match fixing) katika michezo inayoendelea sasa...
View ArticleSTORY NYINGINE KUHUSU MOURINHO KUTUA OLD TRAFFORD
Habari kuhusiana na Jose Mourinho kujiunga na Manchester United zimeibuka tena wiki hii ambapo baadhi ya vyombo vya habari vya Ureno na Hispania vimekuwa vikikaririwa vikiripoti kwamba Mourinho tayari...
View ArticleTONI KROOS NI MCHEZAJI WA 3 KUVUTA MKWANJA MREFU MADRID, NANI ANAKAMATA NAMBA...
Taarifa zimevuja juu ya mshahara anaokunja kiungo wa Real Madrid Toni Kroos lakini yeye akiwa ni mchezaji wa tatu kuvuta kitita kirefu cha mkwanja ndani ya Madrid akitanguliwa na mastaa wengine...
View ArticleMAN CITY VS LEICESTER NI VITA YA UBINGWA EPL, ANGALIA REKODI NA DONDOO MUHIMU
Manchester City leo wapo nyumbani wakiwakaribisha vinara wa Ligi Leicester City, ikiwa ni fursa pekee kwao kwenda kileleni endapo wataibuka na ushindi katika mchezo huo. Wakati huohuo, ni nafasi kwa...
View ArticleBAADA YA KIPIGO CHA BAO 7-0 TOKA BARCA, WENGER AMSHAURI JAMBO NEVILLE
Arsene Wenger amemshauri Gary Neville kupigania nafasi yake kunako klabu ya Valencia kwa sababu bado hana uzoefu mkubwa hivyo watu kukosa imani naye kama kocha. Beki huyo wa zamani wa Manchester...
View Article