Quantcast
Channel: ShaffihDauda
Viewing all articles
Browse latest Browse all 9000

Mchongo wa fasta kutoka Azam FC kwa mashabiki wake.

$
0
0

aza2m


Azam FC imetoa mchongo wa fasta kwa mashabiki wake ambao wanaipenda. Zawadi utkayopata ni jezi original ya Azam FC.

Unachotakiwa kufanya ni ku-like page yao ya Facebook na ukiwa mtu wa 300,000 utashinda jezi hiyo. Mshindi sio mmoja kwasababu wanasema kuna jezi tano kwa ajili yen.

Hadi post hii inaenda online page yao ilikua na 299,937 ambapo zimebaki like chache ili kufikia. Nenda Facebook search Azam FC utengee mchongo huu.

azam


Viewing all articles
Browse latest Browse all 9000

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>