FERDINAND AMPA MAKAVU RONALDO
Rio Ferdinand amemjibu Cristiano Ronaldo baada ya kudai kuwa wakati wa kinyang’anyiro cha kuwania na hatimaye kuchukua UEFA mwaka 2008 hakuwa akiongea na mchezaji yeyote wa timu hiyo pindi alipokuwa...
View ArticleUEFA inataka kumpa adhabu mchezaji baada ya kuvaa T shirt ya Vladimir Putin...
Mchezaji wa Lokomotiv Moscow anaitwa Dmitri Tarasov anaweza kupewa adhabu na UEFA kutokana na kuvaa T shirt ambayo ina maandishi ya ki-russia yenye maana ya “The Most Polite President” na picha ya...
View ArticleTwenzetu Hispania tukaangalie La Liga Hispania…Kila kitu utalipiwa na Azam TV.
Azamtv na Tigo Pesa kwa kushirikiana na La Liga tunakuletea promosheni kabambe ya kwenda kushuhudia Mtanange wa Deportivo la Coruna na Barcelona huko Spain!!!! Promotion hii itaanza rasmi tarehe 17...
View ArticleNAIOMBA JERSEY ‘NUMBER30’ YA SIMBA SC
Katika msimu ambao Simba SC ilishinda ubingwa wake wa mwisho wa ligi kuu Tanzania Bara (2011/12) mambo mengi ya kupendeza yalitokea kwa msimu mzima. Katika michuano ya kimataifa wakiwa wawakilishi wa...
View ArticleTaarifa kuhusu uamuzi wa matokeo ya kundi C kwenye ligi daraja la kwanza.
Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi ya Ligi (Kamati ya Saa 72) imekutana jana (Februari 16, 2016) kupitia taarifa za mechi mbili za Kundi C la Ligi Daraja la Kwanza ya StarTimes kati ya JKT Kanembwa na...
View ArticleMATUKIO YALIYOJIRI NYUMA YA PAZIA PENATI YA MESSI DHIDI YA CELTA VIGO (Video)
Sasa ni dhahiri kwamba Neymar ndiye aliyepaswa kupiga pasi ya penati kutoka kwa Messi badala ya Luis Suarez katika mchezo dhidi ya Celta Vigo uliopigwa katika dimba Nou Camp. Pengine kitu...
View ArticleJE CHELSEA WATAWEZA KUWATOA PSG DARAJANI?
Chelsea na PSG walioneshana kazi katika pambano la kwanza la hatua ya mtoano wa Ligi ya Mabingwa barani Ulaya lakini ni wenyeji PSG ambao walitoka kifua mbele kwa ushindi wa bao 2-1. Shukrani...
View ArticleUNAJUA RONALDO ALIFANYA NINI KABLA YA KUITUNGUA ROMA?
Lilikuwa ni tukio kubwa kutoka kwa superstar wa kireno na haipaswi kubeza kitu alichokifanya Ronaldo ukizingatia kila tukio analofanya linarekodiwa na mamia ya camera kila sekunde ya siku. Ronaldo...
View ArticleMESSI AWEKA REKODI MPYA LA LIGA (Video)
Jumapili usiku, Lionel Messi alipata nafasi ya kufunga goli la 300 kwenye ligi ya Hispania ‘La Liga’, lakini alimpasia Luis Suarez penati ambayo imekua maarufu sana duniani kwa kupindi hiki. Jumatano...
View ArticleHII NDIYO VIDEO AMBAYO OLUNGA ALIMTUMIA ARSENE WENGER AKIMUOMBA AMSAJILI
Amini usiamini kuna watu wanajiongeza kwenye huu ulimwengu hasa pale wanapotafuta namna ya kutimiza malengo na ndoto zao katika maisha. Michael Olunga alirekodi video akimwomba kocha wa Arsenal mzee...
View ArticleCOASTAL YATANGULIZA VIPIGO VYA YANGA SC, AZAM FC, YAIFUATA MWADUI FC
Na Baraka Mbolembole Mabingwa wa zamani wa kandanda Tanzania bara, Coastal Union ya Tanga imeondoka Tanga Alhamis kuelekea mkoani Shinyanga kucheza na timu ya Mwadui FC ambayo imepoteza michezo miwili...
View ArticleUREJEO WA KIM POULSEN, HIVI HATUWEZI KUMUONDOA MALINZI KWA KURA YA KUTOKUWA...
Na Baraka Mbolembole Imefikia hatua sasa hadi Waziri Mkuu wa nchi, Mh. Kassim Majaliwa kuhoji hadharani kwanini TFF imempa tena kazi ya ukufunzi, Mdenmark, Kim Poulren wakati alionekana hafai!...
View ArticleRoy Keane : Kama ningekua nacheza Chelsea na Hazard, ningempa kipondo.
Star wa zamani wa EPL Roy Keane ambae alipata mafanikio na club ya Manchester United, havutiwi kabisa na attitude ambayo Hazard anaionyesha ndani ya Chelsea. Hazard anahusishwa sana na habari za...
View ArticleMchongo wa fasta kutoka Azam FC kwa mashabiki wake.
Azam FC imetoa mchongo wa fasta kwa mashabiki wake ambao wanaipenda. Zawadi utkayopata ni jezi original ya Azam FC. Unachotakiwa kufanya ni ku-like page yao ya Facebook na ukiwa mtu wa 300,000...
View ArticleZlatan Ibrahimovic kujiunga na Manchester United?
Moja ya top stories mwishoni mwa msimu huu ni Ibrahimovic atasaini na club gani?. Mchezaji huyu tegemezi kwenye club ya PSG anamaliza mkataba wake mwishoni mwa msimu huu na bado hajasaini mkataba mpya...
View ArticleKUELEKEA FEBRUARY 20 YANGA VS SIMBA, HAYA NI MATUKIO MUHIMU YA TIMU HIZO...
February 20 Yanga itakuwa mwenyeji kwenye pambano la marejeano dhidi ya Simba baada ya timu hizo kukutana mara kwanza kwenye ligi msimu huu September 26 mwaka huu na Yanga kufanikiwa kuitandika Simba...
View ArticleMkataba wa tangazo na CR7 umevuja..hizi ndizo pesa alizolipwa kwa kazi hii.
Mkataba wa kazi huwa ni siri kubwa kati ya pande mbili ambazo zinafanya kazi pamoja. Sasa kuna mkataba umevuja ambao unamhusu Cristiano Ronaldo na kampuni ya MIM ambayo ni agency ya kampuni ya kutoa...
View ArticleFC Midtjylland 2-1 Man Utd: Imetosha Sasa – Van Gaal Aondoke – Kazi Ameishindwa
Wamiliki wa Manchester United ‘The Glazers’ na CEO wa klabu hiyo Mr Ed Woodward hawapaswi kuendelea kuvumilia kifo cha taratibu cha klabu hii pendwa inayoendelea kubomoka kila wiki. Sifa ya Louis van...
View ArticleTakwimu : Luis Van Gaal ndiye kocha mbovu wa Manchester United tangu miaka 35...
Mechi ya jana usiku imemchafua kocha LVG kwenye historia yake ya kufundisha mashetani wekundu. Kwa muda wa miaka 35 club ya Manchester haijawahi kuwa na kocha mbovu kama yeye kutokana na vigezo vya...
View ArticleConnection mpya ya Paul Pogba na Manchester City.
Uhusiano kati ya kocha na mchezaji unachangia sana mchezaji kufurahia maisha ya kwenye club husika. Pia unachangia hata ku-influence mchezaji huyo kujiunga na club ambayo kuna kocha ambae ana uhusiano...
View Article