Jumapili usiku, Lionel Messi alipata nafasi ya kufunga goli la 300 kwenye ligi ya Hispania ‘La Liga’, lakini alimpasia Luis Suarez penati ambayo imekua maarufu sana duniani kwa kupindi hiki.
Jumatano February 17, Messi alifunga goli lake la 301 ndani ya La Liga baada ya kufunga magoli mawili kwenye mchezo wa La Liga wakati Barcelona inapata ushindi wa magoli 3-1 dhidi ya Sporting Gijon
Sasa Barcelona inaongoza ligi ya Hispania kwa tofauti ya pointi sita huku Messi akiwa kwenye kiwango cha hatari.
Angalia video hapa chini inayoonesha magoli bora tofauti ya Messi kwenye La Liga.