Quantcast
Channel: ShaffihDauda
Browsing all 9000 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ticket za Simba Vs Yanga zinazwa kwenye vituo hivi na gharama zake.

Tiketi za mchezo wa watani wa jadi wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania (VPL) kati ya Yanga SC dhidi ya Simba SC Jumamosi, Februari 20, 2016 zimeanza kuuzwa leo Ijumaa saa 2 asubuhi leo asubuhi katika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAPE NNAUYE ATUMBUA JIPU BMT

Nape Nnauye-Waziri wa Habari, Utamaduni, Wasanii na Michezo Waziri wa Habari, Utamaduni, Wasanii na Michezo Mh. Nape Nnauye February 19 ametembelea Baraza la Michezo Tanzania (BMT) kujua namna ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KUELEKEA YANGA VS SIMBA, ANGALIA PICHA ZA MUONEKANO WA JIJI LA DAR

Hapa jezi pale tiketi, unatoka kununua tiketi unanuna jezi kesho unaingia kwenye game umependeza Jumamosi ya February 22 2016 utapigwa mchezo wa Dar es Salaam Derby (Yanga vs Simba) kwenye uwanja wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JE WEWE NI SHABIKI WA MAN UNITED? HAYA NI MANENO YA VAN GAAL KWAKO

Kocha wa Manchester United Louis Van Gaal akishangaa baada ta timu yake kufungwa mabao 2-1 dhidi ya Midtjylland Louis van Gaal amekiri kwamba mashabiki wa Manchester United walikuwa sahihi kuwatolea...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGULI ACHA KULIA, KOMAA UFANYE KAZI YAKO

Elias Maguri (kushoto) mchezaji wa Stand United ya Shinyanga Na Baraka Mbolembole Straika wa timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) Elius Maguli alianza msimu huu kwa kasi kubwa katika ufungaji lakini...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rekodi 20 za Champions League Ambazo Messi na Ronaldo bado hawajazivunja

Katika kipindi cha miaka 10 iliyopita, Lionel Messi na Cristiano Ronaldo wamekuwa na ushindani mkubwa ambao umepelekea wawili hao kujitengenezea nafasi katika listi ya wachezaji bora kabisa kuwahi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JE, MWISHO WA CHELSEA LIGI YA MABINGWA UMEISHIA PARIS?

Juzi tarehe 16/02/2016 Chelsea ilikuwa ugenini ikiivaa PSG kwenye uwanja wake wa nyumbani ‘Parc des Princes’ ikiwa mbele ya mashabiki wao wapatao 70,000. PSG tunayoizungumzia hapa ni ile ambayo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HAPPY BIRTHDAY ‘LEGEND’ PETER MANYIKA

Kila ifikapo February 19 ya kila mwaka golikipa wa zamani aliyetamba akiwa Yanga na timu ya taifa ya Tanzania Peter Manyika anaadhimisha siku yake ya kuzaliwa ‘birthday’ ambayo ni muhimu kwa kila mtu....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TP MAZEMBE KANISANI KUELEKEA SUPER CUP, ULIMWENGU KAMA KAWA

Kesho February 20 utapigwa mchezo wa Super Cup kati ya TP Mazembe dhidi ya Etoile du Sahel ya Tunisia, unapolitaja jina la TP Mazembe lazima ukutane na jina la mtanzania Thomas Ulimwengu akiipeperusha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NI AIBU! MCHEZAJI WA MAN UNITED AAMUAKUCHEZA GAME YA FIFA KULIKO KUITAZAMA...

Mchezajiwa Manchester United aliyepo kwa mkopo katika klabuya Hull City Nick Powell amesema aliamua kucheza game la FIFA kuliko kuangalia mechi ya United dhidi ya klabu ya Mitdjyland ya kule nchini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAMBO ZA MASHABIKI KUELEKEA PAMBANO LA YANGA VS SIMBA (Video)

Kelekea pambano la watani wa jadi Yanga vs Simba, Dauda TV ‘timu ya ushindi’ iliingia kwenye baadhi ya mitaa ya jiji la Dar kuangalia ari ya mashabiki ikoje kuelekea pambano hilo. Asikwambie mtu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

YANGA SC V SIMBA SC, MSHINDI HUYU HAPA

Na Baraka Mbolembole Thaban Kamusoko ndiye mchezaji bora zaidi kuelekea mchezo wa kesho Jumamosi kati ya ‘Watani wa Jadi’ na ‘ Wapinzani Wakuu’ wa kandanda la Tanzania. Yanga SC iliyo nafasi ya pili...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAWAZO YA GUUS HIDDINK KUHUSU TERRY, MIAZGA, HAZARD NA BABA RAHMAN

Kochawa Chelsea Guus Hiddink anatarajia kutopata huduma  ya mchezaji  kiongozi wake John Terry katika mechi ya Jumapili dhidi ya Manchester City, ingawa mholanzi huyo ana imani kubwa  ya kurejea  kwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BERLUSCONI, MIAKA 30 MILAN, PAUNI BILION 1 ZA USAJILI, MATAJI 5 YA ULAYA

Silvio Berlusconi ambaye ni Waziri Mkuu wa zamani wa Italia ameweka wazi kuwa ametumia pauni bilioni 1 katika kipindi chake cha urais katika klabu yake ya AC Milan ya Italia. “Kama nitajiwekea...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WACHEZAJI WA MAN UTD SASA WAMTAKA MOURINHO MAPEMA IWEZEKANAVYO

Baada ya Van Gaal kupoteza mchezo wake wa Europa League Alhamisi usiku dhidi ya Midtjylland kocha huyo amejiweka kwenye mazingira magumu ya kuendelea kuwa kocha wa Manchester United. Kocha huyo tayari...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

YANGA YATIBUA MIPANGO YA MAYANJA, MNYAMA ACHINJIWA BAHARINI

Wachezaji wa Yanga wakiongozwa na Simon Msuva (katikati) wakishangilia ushindi wao wa bao 2-0 dhidi ya Simba kwenye mchezo wa Dar Derby uliopigwa kwenye uwanja wa taifa February 20, 2016 Yanga imefuta...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Thomas Ulimwengu aweka rekodi mpya kwa wachezaji wa Tanzania.

TP Mazembe imechukua kwa mara ya tatu African Super Cup baada ya kuifunga Tunisian Red Devils “Etoile Du Sahel” kwa magoli 2-1. TP Mazembe imepata ushindi kutokana na magoli ya striker wa Ghana Daniel...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

PICHA 5 ZA MA-STAR WA BONGO WALIOSHUHUDIA GAME YA YANGA VS SIMBA

Star wa Bongo Movies Vicent Kigosi ‘Ray’ (aliyevaa kofia nyeusi) akifatilia kwa makini mchezo wa Yanga dhidi ya Simba. Ray ni shabiki mkubwa wa Yanga SC Mchezo wa Simba vs Yanga hushuhudiwa na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SUAREZ AENDELEA KUTISHIA AMANI LA LIGA KABLA YA KUIFATA ARSENAL

Barcelona wameendeleza rekodi yao ya kutopoteza mchezo kwenye ligi ya Hispania La Liga baada ya kuichapa Las Palmas kwa bao 2-1 na kuendelea kukaa kileleni mwa ligi hiyo kwa tofauti ya pointi tisa....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

THE GUNNERS YABANWA MBAVU NA TIMU YA DARAJA LA KWANZA

Arsenal imelazimishwa sare ya 0-0 kwenye uwanja wake wa nyumbani dhidi ya Hull  City timu inayoshiriki ligi daraja la kwanza England, mchuano huo uliopigwa Jumamosi February 20 ulikuwa ni mchezo wa FA...

View Article
Browsing all 9000 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>