
Mchezo wa Simba vs Yanga hushuhudiwa na mashabiki lukuki Tanzania, Afrika Mashariki na Kati lakini katika mchezo wa leo (Jumamosi February 20, 2016) kuna watu wenye majina makubwa bongo walikuwepo kushuhudia mchezo huo.
Wapo ambao waliweka mapenzi yao wazi kwa kuvaa jezi za timu wanazozishabikia lakini wapo pia ambao hawakutaka kuonekana wako upande upi kati ya timu hizo mbili.
Angalia picha za baadhi ya ma-star hao walioibuka uwanja wa taifa kujionea wenyewe live game ya Dar es Salaam Derby.





