Quantcast
Channel: ShaffihDauda
Viewing all articles
Browse latest Browse all 9000

Takwimu : Luis Van Gaal ndiye kocha mbovu wa Manchester United tangu miaka 35 iliyopita.

$
0
0

covr

Mechi ya jana usiku imemchafua kocha LVG kwenye historia yake ya kufundisha mashetani wekundu. Kwa muda wa miaka 35 club ya Manchester haijawahi kuwa na kocha mbovu kama yeye kutokana na vigezo vya takwimu hizi.

Kwa miaka 35 iliyopita hakuna kocha ambae amewai kupoteza michezo zaidi ya nusu ya alikuwepo kama kocha, LVG ndio wa kwanza. Mechi ya jana usiku imekua ni ya 83 tangu awe kocha wa united na ameshindwa kushinda angalau nusu ya michezo yake.

LVG ameshinda mechi 41, ametoa draw mechi 22 na amepoteza mechi 20. Mechi 41 alizoshinda hazijafikia nusu ya idadi ya mechi alizoshida kwasababu 41 mara mbili yake ni 82 wakati ana mechi 83.

Kwa hiyo mechi ya jana usiku ambayo ilikua ni ya 83 imemfanya kuwa kocha wa kwanza kuwa na takwimu hii kwa miaka 35 iliyopita ya Machester United.

Kwa kigezo hiki Moyes ni bora zaidi ya LVG hata Giggs aliyesimamia mechi 4.

UTD_TABLE2_2698649a


Viewing all articles
Browse latest Browse all 9000

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>