Quantcast
Channel: ShaffihDauda
Viewing all articles
Browse latest Browse all 9000

Adam Johnson anaendelea kukutana na habari mbaya. Hii ni mpya.

$
0
0

cofff

Adam Johnson baada ya kesi yake ya kujihusisha kimapenzi na mtoto wa miaka 15, hatimaye anajianndaa kupata hukumu karibia ya miaka 10 jela.

Sasa baada ya club yake ya Sunderland kumtoa kwenye kikosi na kuvunja nae mkataba. Kitu kipya kimetoka kwenye ulimwengu wa video game.

Kampuni ya FIFA EA ambayo ndiyo inayoongoza kwa kuuza copy nyingi za video games kwenye soka wametangaza kwamba watamtoa Adam kwenye list ya Sunderland na England ndani ya game yao.

EA wametoa statement na kusema,“Adam Johnson ametolewa kwenye active roster ya Sunderland na England kwenye FIFA 16. Tunafanyia kazi kumtoa kwenye kila mode ndani ya game yetu haraka iwezekanavyo.”

Mwaka jana game ya FIFA 16 iliunza zaidi ya copy 2.5 million UK peke yake. Kila wiki EA wanatoa updates za game ya FIFA kutokana perfromance ya ukweli uwanjani na mabadiriko tofauti kama hivi. Hivyo kwenye next update wenye games zao waki updates wanaweza wasimuone tena Adam Johnson.

joh


Viewing all articles
Browse latest Browse all 9000

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>