AZAM FC V YANGA ‘ATAKAYEFUNGWA AMEKWISHA’
Na Baraka Mbolembole Ligi kuu Tanzania Bara inaelekea mzunguko wake wa 21 mwishoni mwa wiki hii kwa timu zote 16 kupambana katika kusaka alama tatu muhimu. Hadi sasa si rahisi kufahamu ni timu gani...
View ArticleHawa ni mastaa wa muziki 13 na club soka wanazoshabikia.
Msanii Rihanna alisafiri hadi Brazil kwenda kuangalia fainali za kombe la dunia na baada ya Ujerumani kushinda aliungana nao kwenye sherehe za kushangilia ubingwa huo. Hili ni moja ya tukio ambalo...
View ArticleDanny Welbeck amzungumzia Marcus Rashford
Kama hujui njia aliyopitia Rashford na Welbeck hazitofautiani sana. Wote wawili wamepitia academy moja ya watoto ambayo baadae ikawapeleka Manchester United academy na kujiunga na timu ya wakubwa....
View ArticleHizi ni screenshot za ushahidi wa Adam Johnson alivyokua anamtongoza binti wa...
Baada ya jana kukutwa na kosa la kujihusisha na uhusiano na binti mwenye miaka 15, Adam Johnson anaweza kupata kifungo kisichopungua miaka 10. Hizi hapa ni screen shot za chat kati yake na huyo binti.
View ArticleTOP 6 YA NAMBA 10 BORA KUWAHI KUTOKEA DUNIANI KATIKA KIPINDI CHA MIAKA 20
Zinedine Zidane ameshika nafasi ya nne mbele ya Luis Figo na legend wa Juventus Del Piero huku nafasi ya tatu na ya pili ikishikiliwa na Messi pamoja na Ronaldinho. Hii inatokana na mafanikio...
View ArticleSamatta vs Karelis Nikolous: Hivi ndivyo namba 77 vs 7 zinavyoshindana nchini...
Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Samatta bado hajakuwa na wakati mgumu na Timu yake ya KRC GENK inayoshiriki ligi kuu Ubeligiji Pro League kama wanavyodhani watu wengi. Samatta anatokea...
View ArticleTWIGA STARS IKO FIT KUIKABILI ZIMBABWE
Kikosi cha timu ya Taifa ya Wanawake ya Mpira wa Miguu (Twiga Stars), leo kimefanya mazoezi ya mwisho tayari kwa kuwakabili timu ya Taifa ya Wanawake kutoka Zimbabwe (Mighty Warriors) katika mchezo wa...
View ArticleVPL: HII NDIYO MIPAMBANO MITANO KATIKA VITA YA KUTOSHUKA DARAJA
Mussa Juma (kulia) wa JKT Ruvu akichuana kuwania mpira na Yusuph Chuma wa Coastal Union Na Baraka Mbolembole Wakati ‘vigogo wa ligi’ Yanga SC, Simba SC na Azam FC wakitaraji kushuka uwanjani wikendi...
View ArticleTEGEMEA MABADILIKO 5 MAKUBWA EPL KAMA ITAKUWA NI KATI YA MOURINHO NA...
Upinzani kati ya Mourinho na Guardiola utaendelea Wote tunajua ni kwa kiasi gani upinzani ulivyo mkubwa kati ya Barcelona na Real Madrid ulivyokua hasa katika enzi za Mourinho na Guardiola wakiwa...
View ArticleMambo 5 ya Kufanya Kuiweka Real Madrid kwenye nafasi yake – Mojawapo Kumuuza...
1. Taasisi iwe katika mfumo unaoeleweka Moja makubwa ya uzembe yaliyowahi kutokea katika historia ya usajili kwenye soka ilikuwa ni usiku wa kuamkia September 1,2015, wakati Real Madrid waliposhindwa...
View ArticleKama umejiuliza Drogba anarudi Chelsea, hili ndilo tamko rasmi.
Didier Drogba ana heshima kubwa na club ya Chelsea kutokana na kucheza kwa muda mrefu na kupata mafanikio na club hiyo, Drogba kwenye mechi 381 alizocheza amefunga mara 164 kabla hajajiunga na...
View ArticleArsene Wenger amchana Thierry Henry
Thierry Henry ni mchezaji mwenye heshima kubwa kwenye historia ya Arsenal, baada ya mechi ya Swansea alitoa maoni yake ambayo mashabiki wa Arsenal lazima watampa support. Henry alisema,“Sijawahi kuona...
View ArticleAdam Johnson anaendelea kukutana na habari mbaya. Hii ni mpya.
Adam Johnson baada ya kesi yake ya kujihusisha kimapenzi na mtoto wa miaka 15, hatimaye anajianndaa kupata hukumu karibia ya miaka 10 jela. Sasa baada ya club yake ya Sunderland kumtoa kwenye kikosi...
View ArticleLewandowski amesema hataki kiatu cha dhahabu, anataka hiki.
Mfungaji anayeongoza kwa kutupia nyavuni mara nyingi kwenye ligi ya Bundesliga ana magoli 23 akiwa mbele kwa goli moja dhidi ya Aubamayeng. Lewandowski kwenye interview yake amesema kwamba yeye hataki...
View ArticleTetesi : Huyu ndiye kocha mpya wa Chelsea msimu ujao.
Unaambiwa hadi sasa mmiliki wa club ya Chelsea Roman Abramovich ameshawambia wafanyakazi wa karibu wa Chelsea kwamba kocha wao kwenye msimu ujao ni Antonio Conte. Hili sio official announcement lakini...
View ArticleROBO FAINALI KOMBE LA SHIRIKISHO RATIBA HADHARANI
Robo Fainali ya michuano ya Kombe la Shirikisho (Azam Sports Federation Cup) inatarajiwa kuchezwa wikiendi ya mwisho wa mwezi Machi mwaka huu, huku timu nane zikichuana kusaka nafasi ya kuingia hatua...
View ArticleBAADA YA TWIGA STARS KUCHAPWA NYUMBANI, KOCHA ATOA SABABU
Nasra Juma -kocha wa timu ya Taifa ya Wanawake ya Mpira wa Miguu (Twiga Stars) Kikosi cha timu ya Taifa ya Wanawake ya Mpira wa Miguu (Twiga Stars), leo kimekubali kichapo cha bao 2-1 kutoka kwa taifa...
View ArticleNani ataongeza namba ya magoli leo kati ya Aubameyang Vs Lewandowski?
Wanaingia uwanjani wote wana magoli 23 na 22 na wakiwa na jukumu la kufunga magoli ya ziada ili kuziwesha club zao kuendelea kufanya vizuri kwenye Bundesliga. Bayern wanasafiri kwenda Borussia kwa...
View ArticleAZAM, YANGA, ZAIPA SIMBA NAFASI YA KUONGOZA VPL
Ramadhani Singano ‘Messi’ akimkabili vilivyo beki wa Yanga Vicent Bussou Mchezo wa marudiano wa raundi ya pili wa ligi kuu kati ya Azam FC ambao ndiyo walikuwa wenyeji wa mchezo huo umemalizika kwa...
View ArticleWenger amempa lawama huyu kwa kutoka suluhu na Spurs.
Kocha Wenger amempa lawama mchezaji wake Francis Conquelin kwa kupata kadi nyekundu ambapo anasema alii-cost club yake. Kabla ya kadi nyekundu hiyo Arsenal walikua wanatawala mchezo na kuongoza kwa...
View Article