Quantcast
Channel: ShaffihDauda
Browsing all 9000 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAMBO MATANO KWANINI BORUSSIA DORTMUND VS BAYERN MUNICH NI 50% VS 50%

Na Athumani Adam Zimesalia mechi takribani kumi kwenye ligi ya bunsesliga, leo tutaona mchezo mgumu ambao unakutanisha timu mbili ambazo zipo juu ya msimamo wa ligi. Borussia Dortmund chini Kocha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Haya ndio magoli yote ya Real Madrid 7-1, Ronaldo kapiga 4.

Kwanza kabla ya yote na kukumbusha kulipia king’amuzi chako cha Azam TV kwa kutumia Tigo pesa ambapo kuna punguzo la Tsh 8000 kwa kila kufurushi utakacholipia. Baada ya hapo unaingia kwenye draw ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Dauda TV : Tour ndani ya duka la club ya KRC Genk

Kwenye safari yangu ndani ya Belgium kama kawaida nimefanya ziara ndani ya duka la KRC Genk ambayo ndio timu anayochezea mtanzania Mbwana Samatta. Hii hapa ni video niliyoitengeneza kwa ajili yako...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAKWIMU ZINAIPA LEICESTER UBINGWA WA EPL BAADA YA ARSENAL NA SPURS KUKABANA KOO

Haikuwa mara ya kwanza kwa Leicester City msimu huu, Jumamosi ya March 5, 2016 ilikuwa ni super day kwa upande wao. Hiyo ni baada ya wapinzani wao katika mbio za ubingwa wa EPL kutoka sare ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Dauda TV : Haya ni magoli ya mechi ya Azam Vs Yanga

Leo umechezwa mchezo wa ligi kuu ya Vodacom na mechi imeisha kwa timu zote kupata point moja baada ya kutoka sare ya 2-2. Haya ni magoli ya mechi yenyewe.

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Dauda TV : Ilikupita kauli ya Presedent Jamal Malinzi baada ya uchaguzi wa FIFA?

Rais wa TFF tulikua naye kwenye uchaguzi wa FIFA akiwakilisha Tanzania na nilipata nafasi ya kuongea naye.Kama ilikupita kwenye Sports Bar basi hii hapa kwa ajili yako.

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kauli ya TFF kuhusu club za Tanzania kutumika kwenye betting.

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limepokea kwa mshtuko taarifa za kuwepo makundi ya watu na makampuni wanaochezesha michezo ya kubahatisha inayohusu mashindano mbalimbali yanayoandaliwa na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HIDDINK AVUNJA REKODI ILIYODUMU KWA MIAKA 21 EPL

Guus Hiddink ameweka rekodi mpyandani ya Premier League kufuatia sare iliyopata timu yake ya kufungana bao 1-1 na Stoke City siku ya Jumamosi. Bertrand Traore alianza kuifungia Chelsea bao la kuongoza...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SAMATTA AONJA MACHUNGU KWA MARA YA KWANZA AKIWA GENK

Nyota wa Tanzania Mbwana Samatta na klabu yake ya Genk walitoka vichwa chini baada ya timu yao kuchapwa bao 2-1 na klabu ya Standard Liege kwenye mchezo wa ligi kuu ya Belgium uliochezwa usiku wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Chelsea wanataka kumrudisha Lukaku kwa pesa ndefu.

Mchezaji wa kimataifa wa Belgium alisepa Stamford bridge miaka 2 iliyopita lakini kwa sasa amerudi kwenye wachezaji ambao wanahitajika sana na Chelsea hasa baada ya kuwa na poor title defence. Mmiliki...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Club hii ya EPL imetenga £70million kumsajili Aubameyang.

Sio swala ubishi kwamba club nyingi zinahitaji servise ya Aubameyang kutokana na uwezo ambao anaonyesha kwenye club yake ya Borussia. Kuna club kama Real MAdrid ambazo zinatabia ya kutaka kusajili...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Licha ya ushindi lakini Florentino Perez mambo yamuendea kombo.

Rais wa Real Madrid Florentino Perez hayupo kwenye hali nzuri na kiti chake kwa sababu mashabiki wanaonyesha wazi kwamba hawamtaki tena aongoze club hiyo. Mara nyingi uwanjani kuna mabango yanaonyesha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Hawa ni 20 female soccer stars wenye mvuto zaidi.

Hawa hapa ni wakina dada ambao uwanjani wana vitu vya kuonyesha na wakiwa nje ya uwanja wanavyo vingine vya kuonyesha. Wamejaaliwa kipaji cha soka na muonekano mzuri. Nani amekuvutia kwenye hii...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SIMBA YAITUNGUA MBEYA CITY KWA MARA YA KWANZA TAIFA NA KUREJEA KILELENI MWA VPL

Wachezaji wa Simba Awadh Juma (ushoto) na Ibrahim Ajib (kulia) wakishangilia goli la kwanza lilifungwa na Danny Lyanga Ushindi wa magoli 2-0 iliyoupata leo timu ya Simba SC dhidi ya Mbeya City kwenye...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BAO LA LYANGA LILIFUFUA MATUMAINI YA SIMBA MBELE YA MBEYA CITY (Video)

Awadh Juma akipongezana na Danny Lyanga baada ya Simba kufunga bao la kwanza Danny Lyanga akiingia kipindi cha pili kutoka benchi, aliifungia Simba bao la kwanza na la kuongoza katika mchezo dhidi ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HILI NDIYO BAO LA AJIB LILILOIMALIZA MBEYA CITY (Video)

Ibrahim Ajib (aliyepiga magoti) akishangilia bao lake pamoja na Awadh Juma (kushoto) na Danny Lyanga (kulia) Wakati mashabiki wengi wa soka wakiwa wanatoka nje ya uwanja wakiamini Simba imeshinda...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PHIRI: SIFIKIRII KAMA SIMBA WATASEMA WAMEPATA USHINDI MWEPESI TOKA KWETU

Kinnah Phiri-Kocha Mbeya City FC Kocha wa Mbeya City mmalawi Kinnah Phiri ametaja kasoro kadhaa zilizosababisha timu hyake ipoteze mchezo wa ugenini dhidi ya Simba kwa kukubali kufungwa mabao 2-0 kwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

VAN GAAL ASHUSHA LAWAMA KWA WACHEZAJI WAWILI BAADA KIPIGO CHA WEST BROM (Video)

Louis van Gaal alikuwa katika siku mbaya tena jana baada ya timu yake kuchezea kichapo cha bao 1-0 mbele ya West Brom. Van Gaal akaanza kutafuta namna ya kujitetea na ndipo akashusha zigo la lawama...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HATA KABLA YA GOLI LAKE DHIDI YA AZAM TAYARI JUMA ABDUL AMETHIBITISHA YEYE NI...

Juma Abdul akisikiliza maagizo kutoka kwa kocha wake Hans van Pluijm Na Baraka Mbolembole Mlinzi wa kulia wa Yanga SC, Juma Abdul, siku ya Jumamosi iliyopita alifunga goli la kusawazisha wakati timu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BAADA YA KUCHAPWA 3-0 NA MTIBWA, KOCHA WA COASTAL APONGEZA WAAMUZI

Na Baraka Mbolembole Kocha mkuu wa timu ya Coastal Union ya Tanga, Ally Jangalu amesema kwamba timu yake imepoteza mechi ya wikendi iliyopita baada ya kushindwa kutumia baadhi ya nafasi walizotengeza....

View Article
Browsing all 9000 articles
Browse latest View live