Mchezaji wa kimataifa wa Belgium alisepa Stamford bridge miaka 2 iliyopita lakini kwa sasa amerudi kwenye wachezaji ambao wanahitajika sana na Chelsea hasa baada ya kuwa na poor title defence.
Mmiliki wa Chelsea anabaki kiwa shabiki wa Likaku na yupo tayari kulipa mara mbili ya £28million,ili arudi Chelsea.Technical director wa Chelsea Michael Emanalo amekua akifanya juhudi za kumrudisha Lukaku tena baada ya kuruhusu kuondoka.
Chelsea wanajaribu kuongeza nguvu kwenye kikosi chao baada ya kuwa na msimu mbovu wa kutetea taji lao la EPL. Siku chache zijazo tunategemea kupata taarifa ya kuwa na kocha mpya kama mambo yakienda kama ilivyoripitiwa. Mabariko haya ni ya lazima ikiwa Chelsea jana tu imetoka suluhu ya 1-1 dhidi ya Stoke City.Hivi sasa wapo nafasi ya 10 na points 40.