Quantcast
Channel: ShaffihDauda
Viewing all articles
Browse latest Browse all 9000

ARSENE WENGER KAULIZWA KUHUSU KU-SHAKE HAND NA MOURINHO..AMEJIBU HIVI

$
0
0

BEN

Ni kawaida kwa makocha kupeana mikono kabla na baada ya mechi kwenye soka duniani. Sasa imekua tofauti kwa Wenger na Mourinho ambao waliwai kutofautia hadi kushikana mashati kwenye moja ya mechi zao.

Sasa kesho watakutana tena kwenye mechi na kama kawaida imefanyika press conference kwa ajili ya mechi hiyo. Waandishi wakamuuliza kama anaweza ku-shake hand na kocha mwenzake, Wenger akagoma kuzungumzia na kusema kwamba hana comment juu ya hilo swala.

Tukizungumzia kuhusu mechi, baadhi ya watu hawakukubaliana na jinsi ya kikosi cha Wenger kwenye mechi ya UEFA , lakini Wenger akielekea kwenye mechi ya kesho alikitetea hivi, “Kwa ujumla tulikua wazuri tu kuanzia wakati tupo 11 kwa 11. Hata tulivyokua 10 kwa 11 tulikua na nafasi lakini ilikua ngumu sana. Lakini bado nasimama kwa ajili ya uchaguzi wangu na bado nakubali majukumu juu ya kikosi kile, lakini naamini ninaweza kurekebisha chochote kilichotokea. Tupo kwenye nafasi nzuri kwenye mbio za EPL na tunatakiwa ku-focus hapo.”


Viewing all articles
Browse latest Browse all 9000

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>