BAADA YA USHINDI KWENYE MECHI YA UEFA, MOURINHO ATEMA CHECHE HIZI…
Baada ya jana usiku kuwafunga Maccabi Tel Aviv, goli 4-0 katika michuano ya klabu bingwa Ulaya, kocha wa Chelsea Jose Mourinho ametamba kwamba yeye ni moja kati ya makocha bora zaidi ulimwenguni....
View ArticleWAKONGWE WAMPONDA WENGER KUHUSU JAMBO LILELILE LA KILASIKU
Wakiongozwa na legendari Ian Wright ambaye alikua akiuchambua mchezo kati ya timu yake ya Arsenal dhidi ya Dinamo Zagreb katika usiku wa UEFA, wadau mbalimbali wameshangazwa na usanii wa Arsene Wenger...
View ArticleARSENE WENGER ASEMA MBOVU JUU YA REFA WA MECHI YAO DHIDI YA DINAMO ZAGREB
Jana usiku kwenye mechi ya UEFA ambapo vijana wa Arsene Wenger walilala mbele ya Dinamo Zagreb, kuna mambo mengi yanazungumziwa hivi sasa. Lawama kwa Wenger ni kawaida kutoka mashabiki na wadau wa...
View ArticleIJUE HASHTAG YA #WENGEROUT INAYOENDESHWA NA MASHABIKI WA ARSENAL DUNIA NZIMA
Kama ulikua hujui ni kwamba Arsene Wenger ameweka rekodi mbaya usiku wa jana kwa kuwa kocha wa kwanza kufungwa kwenye mechi 50 za Champions League kwenye main tournament. Ukizitoa mechi ya kuwania...
View ArticleTAARIFA RASMI : HAWA WACHEZAJI WA CHELSEA HAWATACHEZA KWENYE MECHI DHIDI YA...
Jana usiku hatimaye mashabiki wa Chelsea wamepata tena smile baada ya muda kidogo kupitia mambo ambayo ni magumu kwao kama mashabiki wa club hiyo. Baada ya ushindi wa 4-0 dhidi ya Maccabi Tel Aviv,...
View ArticleTOFAUTI YA LIVEROOL YA SASA NA ILE YA ENZI HIZO, HAYA NDIO INAKOSA TIMU YA SASA…
Nicasius Coutinho Suso Riise, blocked by Cafu, into is Gerraaarrrrd. Hello hello here we go, Steven Gerrard puts a grain of doubts in the back of Milan minds and gives hope to all of many thousands of...
View ArticleMINZIRO: “UMAKINI MDOGO NDIO TATIZO JKT RUVU”
Kocha mkuu wa JKT Ruvu Fred Felix Minziro Na Baraka Mbolembole, Dar es Salaam Mwishoni mwa wiki hii watawakabili mabingwa watetezi wa ligi kuu bara, Yanga SC, mwalimu mkuu wa timu ya JKT Ruvu ya...
View ArticleMWAMBUSI: TUNAJENGA TIMU MPYA
Juma Mwambusi Kocha wa Mbeya City FC ya jijini Mbeya Na Baraka Mbolembole, Dar es Salaam Mkufunzi mkuu wa klabu ya Mbeya City FC, Juma Mwambsi amefurahishwa na kiwango cha wachezaji wake mara baada ya...
View ArticleHABARI YA UPASUAJI WA LUKE SHAW IKO HIVI…
Luke Shaw (kushoto) wakati alipokutana na Hector Moreno kwenye tukio lilipelekea kuvunjika mguu wake wa kulia Klabu ya Man Utd imethibitisha taarifa za Luke Shaw kufanyia upasuaji akiwa nchini Uholanzi...
View ArticleARSENE WENGER KAULIZWA KUHUSU KU-SHAKE HAND NA MOURINHO..AMEJIBU HIVI
Ni kawaida kwa makocha kupeana mikono kabla na baada ya mechi kwenye soka duniani. Sasa imekua tofauti kwa Wenger na Mourinho ambao waliwai kutofautia hadi kushikana mashati kwenye moja ya mechi zao....
View ArticleTEMEKE YATINGA FAINALI ARS
Mchezaji wa timu ya Ilala Tumaini Michael (kulia) akimtoka mchezaji wa timu ya Temeke Shamimu Hamis katika mchezo wa nusu fainali ya Airtel Rising Stars kwenye Uwanja wa Karume Temeke girls jana...
View ArticleFA IMAENZISHA UCHUNGUZI…MOURINHO ANAWEZA KUFUNGIWA MECHI 5
Chama kinachosimamia soka nchini Uingereza kimeanzisha uchunguzi juu ya manager wa Chelsea na akipatikana na makosa anaweza kufungiwa mechi 5. Tatizo ni lile ambalo lilitokea kwenye mechi ya ufunguzi...
View ArticleREAL MADRID IMEMKARIBISHA MKIMBIZI OSAMA ABDUL MOHSEN NDANI YA BERNABEU
Soka limetumika sana kusambaza upendo kwenye ishu ya wakimbizi wa Syria ambayo imetoka wiki chache zilizopita. Story ya mkimbizi huyu Osama Abdul Mohsen ambapo video yake ilisambaa akiwa amembeba...
View ArticleWAKALA WA OZIL ANASEMA MCHEZAJI WAKE ANAWEZA KUSEPA ARSENAL MWISHO WA MSIMU HUU
Dr Erkut Söğüt ambae ni wakala wa Mesut Ozil ametoa maneno ambayo yamewashtua watu wengi labda hasa mashabiki wa Arsenal. Wakala huyo akiongea na vyombo vya habari vya Uturuki alizungumzia uwezekano...
View ArticleBACARY SAGNA AMETOA SABABU YA KUNYOA RASTA ZAKE
Bacary Sagna alikua anatambulika kirahisi kwa rasta zake ambazo zilikua na rangi. Sasa akiwa kwenye mapumziko ya likizo baada ya msimu uliopita alinyoa rasta zake na picha yake kusambaa sana kwenye...
View ArticleRATIBA YA VPL WEEKEND HII
Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania bara inatarajiwa kuendelea wikiendi hii kwa michezo nane kuchezwa kwa siku za Jumamosi na Jumapili katika viwanja nane tofauti nchini ikiwa ni mzunguko wa tatu tangu kuanza...
View ArticleFDL KUTIMUA VUMBI KESHO
Ligi daraja la kwanza nchini (FDL) inatarajiwa kuanza kutimua vumbi kesho Jumamosi Septemba 19 kwa michezo 10 kuchezwa katika viwanja mbalimbali nchini, ambapo jumla ya timu 24 zinashirki ligi hiyo...
View ArticleJUVENTUS, MILAN,ROMA,NAPOLI UWANJANI TENA KUTAFUTA POINT 3 MUHIMU
Weekend imefika na baada michezo ya UEFA katikati ya wiki kama kawaida michezo ya ligi inaendelea. Ukizugumzia ligi kubwa barani Ulaya huwezi kuacha kuitaja ligi ya Serie A. Club kubwa za ligi hiyo...
View ArticleTAARIFA NZURI KWA WANAOFUATILIA LIGI YA VPL KUPITIA AZAM TV
Wadau, tunapenda kusahihisha baadhi ya taarifa zinazosambaa kuhusiana na urushaji wa mechi za VPL (Vodacom Premier League) na La Liga. Katika mkutano wetu na bodi ya Ligi kuu Tanzania (TPLB) tarehe 15...
View ArticleCHELSEA vs ARSENAL: GAME PREVIEW
Ligi kuu soka nchini England inaendelea tena Jumamosi hii katika viwanja mbalimbali huku Stamford Bridge kukiwa na mtanange wa kutokuukosa kati ya Chelsea ya Mourinho na Arsenal ya Arsene Wenger....
View Article