MKONGWE WA ARSENAL ATAJA MBADALA WA WENGER
Baada ya mashabiki wa Arsenal kulalamika sana kuhusu kocha wao na watu mbalimbali bado wanajaribu kutoa maoni yao nani anaweza kuwa kocha mpya.Robert Pires ametoa maoni yake juu ya nani anadhani...
View ArticleRAFAEL BENITEZ AMJIBU STEVEN GERRARD BAADA YA KUSEMWA VIBAYA NA MCHEZAJI HUYO
Kitu kipya kutoka kwa Steven Gerrard hivi sasa ni kitabu chake ambacho kinaelezea kuhusu maisha yake ya soka. Kwenye hicho kitabu Gerrard ameandika mambo mengi na moja ambalo linachukua headline sana...
View ArticleWACHEZAJI WA CHELSEA WAINGIWA NA HOFU
Hofu imezidi kutanda miongoni mwa mastaa pamoja na benchi la ufundi la Chelsea kutokana na kuanza vibaya msimu huku wakionesha wasiwasi wao juu ya kuziba pengo la points baina yao na kiongozi wa ligi...
View ArticleFORBES WANASEMA HIZI NDIZO TIMU ZA MICHEZO ZENYE THAMANI DUNIANI
Source mbalimbali huwa Zinatoa tathmini yao baada ya uchunguzi tofauti tofauti. Hivi sasa mtandao maarufu ambao huwa unatoa list mbalimbali, umetoa list ya timu za Sport ambazo zina thamani kubwa....
View ArticleROONEY NJE KLABU BINGWA ULAYA LEO
Klabu ya Manchester United leo itaingia uwanjani kumenyana na PSV Eindhoven ya Uholanzi bila ya mshambuliaji na nahodha wake Wayne Rooney katika michuano ya klabu bingwa Ulaya. Wayne ambaye aliukosa...
View ArticleJE, MEMPHIS DEPAY ATASHAGILIA AKIIFUNGA CLUB YAKE YA ZAMANI PSV USIKU LEO?...
Memphis Depay anakubali kwamba bado ana mambo mengi ya kujifunza kwenye EPL, ameyasema hayo akiwa kwenye mkutano na waandishi wa habari kabla mechi ya leo usiku dhidi ya PSV. Depay anasema kwamba “Ni...
View ArticleMJUE NAISMITH MKALI ALIYEWEKA REKODI KWA CHELSEA YA MOURINHO
Na Salym Juma Wiki iliyopita Jose Mourinho aliumia kwa mara nyingine ila kipindi hiki aliumizwa kwa staili ya aina yake baada ya mwanaume mmoja ambaye ukimtazama kwa haraka haraka unaweza kudhani jamaa...
View ArticleKUELEKEA UEFA…AGUERO NJE YA KIKOSI CHA MAN CITY
Vinara wa EPL Manchester City ya, leo wanatarajia kushuka dimbani kucheza mechi yake ya kwanza ya hatua ya makundi ya klabu Bingwa barani Ulaya, dhidi ya ‘Kibibi kizee cha Turin’, Juventus ya Italia,...
View ArticleUSIKU WA UEFA, HII NDIO RATIBA KAMILI YA MECHI ZOTE ZA LEO
Michuano ya Ligi ya Mbingwa barani Ulaya (UEFA), leo inatarajia kuanza rasmi katika hatua ya makundi. Ratiba ya mechi zote hii hapa kwa siku ya leo. Kundi A Paris Saint Germain Vs Malmoe F Real Madrid...
View ArticleMASIKINI..! LUKE SHAW SASA KUKAA NJE YA UWANJA KWA MUDA HUU
Hii ni habari mbaya kwa mashabiki wa soka wa Manchester United na England kwa ujumla kutokana na kuumia kwa mchezaji wao chipukizi mlinzi wa kushoto, Luke Shaw katika mchezo wa klabu bingwa Ulaya...
View ArticleMAMBO MUHIMU 5 YA KUJIFUNZA, MANCHESTER CITY vs JUVE
Na Simon Chimbo Bado jinamizi la kutofanya vizuri klabu bingwa ulaya limeendelea kuitafuna Manchester City. Wamefungwa goli 2-1 wakiwa nyumbani dhidi ya Juventus ambayo haijashinda mchezo hata mmoja...
View ArticleEL HADJI DIOUF: GERARD ANANIONEA WIVU
Mshambuliaji wa zamani wa Liverpool na timu ya taifa ya Senegal, El Hadj Diouf amemjibu nahodha wa zamani wa Liverpool, Steven Gerard kutokana na alichokiandika Gerard katika kitabu chake hivi...
View ArticleCHOVE: HATUTAFANYA TENA MAKOSA…
Na Baraka Mbolembole Mlinda mlango wa Ndanda FC, Jackson Chove amesisitiza kuwa hawatafanya tena makosa katika mchezo wao wa leo dhidi ya Coastal Union baada ya kusalazimishwa sare ya kufungana goli...
View ArticleWAZIRI AWAASA VIJANA KUPAMBANA MICHUANO YA AIRTEL
Naibu katibu mkuu wa wizara ya habari vijana utamaduni na michezo Prof Elisante Ole Gabriel akiongea wakati wa uzinduzi wa michuano ya Airtel Rising Stars katika ngazi ya taifa Waziri wa Habari,...
View ArticleGOLI 4 POINT 3…MSIMU HUU UTAMILIKIWA NA REAL MADRID AU?
Wanamchezaji ambae anafunga magoli 8 ndani ya mechi mbili na bado kuna wachezaji wengine ambao wana uwezo wa kufunga kama Karim Benzema. Jana usiku tulishuhudia Real Madrid ikiifunga Shakhtar Donetsk...
View ArticleKUMBE WAZAZI WA LUKE SHAW WALIKUA UWANJANI…HECTOR MORENO AMESEMA HIVI
Kumbe jana usiku wakati Luke Shaw anapata jeraha kubwa ambalo litamfanya akae nje ya uwanja angalau kwa miezi 6, wazazi wake walikuwepo uwanjani kumuangalia mtoto wao akicheza mechi ile. Bahati mbaya...
View ArticleVIKOSI VINAVYOANZA YANGA VS TANZANIA PRISONS UWANJA WA TAIFA
Kikosi cha Yanga kinachoanza 1. Ally Mustafa 6. Mbuyu Twite 20. Haji Mwinyi 23. Nadir Haroub 5. Kelvin Yondani 13. Thabani Kamusoko 27. Simon Msuva 8. Haruna Niyonzima 17. Amis Tambwe 11. Donald Ngoma...
View ArticleHAWA NDIO WACHEZAJI WANAONGOZA KWA KUTOA ASSISTS KWENYE BUNDESLIGA HADI SASA
Kwenye mpira kila mchezaji uwanjani ni muhimu kweye kazi yake. Lakini mara nyingi wanaopata sifa ni wale wanaotupia nyavuni au wanaozuia magoli. Watu makini huwa wanaangalia hadi wale wanaotoa assist...
View ArticleKAMA ULIPITWA NA MECHI YA AFRICANS vs SIMBA…HIGHLIGHTS ZIPO HAPA
Leo kuna mechi inaendelea lakini kuanzia hivi sasa nitakua nakupa highlights zote za ligi ya nyumbani. Usiwaze kupitwa na magoli yote ya Ligi ya Vodacom. Endelea kunifuatilia lakini kwa sasa angalia...
View ArticleEXCLUSIVE-LAURIAN MPALILE: “KUBADILISHA MAKOCHA KUNATUFANYA TUSHINDWE KUFANYA...
Laurian Mpalile, Nahodha wa kikosi cha Tanzania Prisons ‘Wajelajela’ Baada ya mchezo kati ya Yanga dhidi ya Tanzania Prisons kumalizika, mtandao huu ulimtafuta nahodha wa’ wajelajela’ Prisons ya Mbeya...
View Article