Quantcast
Channel: ShaffihDauda
Viewing all articles
Browse latest Browse all 9000

CHOVE: HATUTAFANYA TENA MAKOSA…

$
0
0

Jackson Chove

Na Baraka Mbolembole

Mlinda mlango wa Ndanda FC, Jackson Chove amesisitiza kuwa hawatafanya tena makosa katika mchezo wao wa leo dhidi ya Coastal Union baada ya kusalazimishwa sare ya kufungana goli 1-1 na JKT Mgambo mwishoni mwa wiki iliyopita katika mchezo wa ufunguzi wa msimu wa ligi kuu bara.

“Tulifanya makosa wenzetu wakayatumia ndio mpira ulivyo sidhani kama kwa sasa tunaweza kusema tunaamanisha nini kwakua kila timu imejiandaa kupambana nakushinda pia mimi nataka kusema tulichelewa maandalizi ya pre session na timu ni mpya karibia nusu na robo  ya wachezaji” amesema Chove.

“Lazima tupate tabu game ya kwanza ila zinazofata tutakuwa tumeshajua tunapaswa kufanya nini na tutakuwa tumejuana kama fulani anacheza vipi mazoezi na mechi ni vitu tofauti”.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 9000

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>