Quantcast
Channel: ShaffihDauda
Browsing all 9000 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BENITEZ AMPA SOMO RONALDO

Kocha Rafael Benitez wa Real Madrid ya uhispania amesema Ronaldo ni mchezaji muhimu zaidi kikosini hapo lakini akamtaka kutumia kipaji chake kwa manufaa zaidi ya timu kuliko tuzo binafsi. Benitez...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

EXCLUSIVE-KASEJA: “NAJUA UMUHIMU WA DERBY…”

Juma Kaseja (wa kwanza kushoto) wakati akikabidhiwa jezi ya Mbeya City mara baara ya kusaini mkataba mfupi wa kuitumikia klabu hiyo mwaishoni mwa dirisha la usajili Leo utapigwa mchezo kati ya Mbeya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KITU CHA KUVUTIA VPL, HUTAKIWI KUKOSA KUJUA JAMBO HILI….

Patashika za ligi kuu Tanzania bara (VPL) zinaendelea tena mwisho wa juma hili kwa kuvikutanisha vilabu mbalimbali vinavyoshiriki ligi hiyo kwenye viwanja vya miji tofauti ya Tanzania. Kuna kitu kizuri...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PETR CECH AMERUDI KWA MARA YA KWANZA STANFORD BRIDGE…NINI KIMEMTOKEA?

Kuna wanaozomewa na kuna wanaoshangiliwa pale wanaporudi kwenye viwanja vya nyumbani kwao baada ya kuhama club hiyo. Petr Cech alihama Chelsea lakini hakutaka kuhama ilikua ni mipango ya timu. Petr...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DIEGO COSTA: SIDHANI KAMA NASTAHILI SUPPORT YA MASHABIKI WA CHELSEA

Diego Costa anasema kwamba hadhani  kama anastaili support kubwa ambayo anaipata kutoka kwa mashabiki wa Chelsea. Mchezaji huyu ambae hivi sasa jina lake lina trend sana kwenye social media kutokana...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

VIDEO: MCHEKI PETR CECH ANAJICHANGANYA KUINGIA CHUMBA CHA CHELSEA BADALA YA...

Mazoea hujenga tabia, msemo huu umejithibitisha kwa kipa Cech pale alipofika kwenye uwanja wa Stanford Bridge kwa mara ya kwanza tangu ahame club ya Chelsea. Kwa kawaida kwenye kila uwanja kuna vyumBa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HIZI UPADATES MPYA KUHUSU LUKE SHAW

Mchezaji wa Machester united Luke Shaw alipata injury kwenye mechi UEFA dhidi ya PSV na kukimbizwa hospitali ya karibu na uwanja uliokua unafanyika mechi ile. Baada ya kupata matibabu kwenye hospital...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HAWA WATOTO WA STAR GANI ANAYECHEZA LIGI YA EPL?

Usijiulize tena hili swali, jibu ni kwamba hawa ni watoto mapacha wa Mikel Obi na girlfriend wake raia wa Russia Olga Allegra. Watoto hawa ni mapacha wanaitwa Mia na Ava ambao ndio wanaambulika kuwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAMBWE APIGA MBILI, YANGA IKIITUNGUA JKT RUVU TAIFA

Mshambuliaji wa Yanga Amis Tambwe akishangilia moja ya goli lake alilofunga kwenye mchezo dhidi ya JKT Ruvu Mabingwa watetezi wa ligi kuu Tanzania bara timu ya Yanga, imeendelea kufanya kweli kwenye...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

PLUIJM: “HATUWAOGOPI SIMBA…”

Hans van der Pluijm, kocha mkuu wa klabu ya Yanga” Kocha mkuu wa timu ya Yanga mholanzi Hans van der Pluijm amesema, timu yake imepata ushindi kwenye mchezo dhidi ya JKT Ruvu kutokana na yeye kumfahamu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WENGER, FERDINAND, WAMSHAMBULIA DIEGO COSTA

Kocha wa Arsenal, Arsene Wenger amechukizwa na tabia za mshambuliaji wa Chelsea, Diego Costa ambaye aliwachezea rafu walinzi wa Arsenal huku akimuingiza beki Gabriel Paulista wa Arsenal katika mtego wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAYNE ROONEY NDANI LEO MAN UTD IKIWAVAA SOUTHAMPTON

Nahodha wa England na klabu ya Manchester United Wayne Rooney leo anatarajiwa kurudi tena dimbani baada ya kukosa michezo miwili ya timu yake kati ya Liverpool na PSV wiki iliyopita kutokana na kuwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAAMUZI WANALIPWA VILEVILE, JE, TF F INAJENGA KITU GANI….?

 Na Shaffih Dauda, Dar es Salaam  LIGI Kuu Bara Jumamosi hii imeingia katika wiki yake ya pili kwa michezo minne kuchezwa katika viwanja tofauti. Jana kwenye Uwanja wa Sokoine, Mbeya, Tanzania Prisons...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

QUEEN MWAKA: TUMENUFAIKA KUDHAMINI MICHUANO YA NDONDO CUP

Mke wa Dr. Mwaka, Queen Mwaka akizungumza wakati wa ugawaji wa zawadi kwa washindi wa Dr. Mwaka Sports Xtra Ndondo Cup jana kwenye ofisi za Clouds Media jijini Dar es Salaam Mdhamini mkuu wa michuano...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWAMUZI BORA NDONDO CUP AELEZEA MECHI NGUMU KUWAHI KUKUTANA NAYO KWENYE...

Jackson Msilombo akizungumza mara baada ya kukabidhiwa zawadi ya shilingi laki tano kama mwamuzi bora wa michuano ya Dr. Mwaka Sports Xtra Ndondo Cup 2015 Jackson Msilombo ameibuka kuwa mwamuzi bora wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

FARU JEURI WAFICHUA SIRI YA KUTWAA UBINGWA WA NDONDO CUP 2015

Gombela Athuman Katibu mkuu wa Faru Jeuri akielezea jinsi walivyofikia mafanikio kwenye mchuano ya Ndondo Cup msimu huu Naye katibu mkuu wa mabingwa wa michuano hiyo timu Faru Jeuri Bw. Gombela Athuman...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

OSTADH: “MWAKANI TUNAKUJA KIVINGINE…”

Kiongozi wa kikundi cha ushangiliaji cha Kauzu FC  Juma Ally ‘Ostadh’ akizungumza mara baada ya kupokea zawadi ya kikundi bora cha ushangiliaji Kiongozi wa kikundi cha ushangiliaji cha timu ya Kauzu FC...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SIMBA INAONGOZA DHIDI YA KAGERA SUGAR, KIIZA ATAKATA…

Hamisi Kiiza (kushoto) akishangilia goli lake na mganda mwenzake Simon Sserunkuma pamoja na Ibrahim Ajib mara baada ya kuifungia Simba goli la kuongoza dhidi ya Kagera Sugar Simba wako mbele kwa goli...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIIZA AITUMIA SALAMU YANGA…

Hamisi Kiiza (katikati) akishangilia goli la kwanza na wachezaji wenzake wa Simba kwenye mchezo wa ligi kuu Tanzania bara dhidi ya Kagera Sugar mchezo ulipogwa kwenye uwanja wa Taifa Hamis Kiiza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KERR ATOA SABABU ZA SIMBA KUCHEZA CHINI YA KIWANGO LICHA YA USHINDI DHIDI YA...

Dylan Kerr kocha mkuu wa Simba SC Licha ya ushindi wa goli 3-1 walioupata Simba dhidi ya Kagera Sugar kwenye mchezo wa raundi ya tatu, kocha mkuu wa timu hiyo Dylan Kerr amesema timu yake haikucheza...

View Article
Browsing all 9000 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>