Quantcast
Channel: ShaffihDauda
Browsing all 9000 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BAADA YA KICHAPO, MAKATA AIPONGEZA SIMBA

Mbwana Makata, kocha mkuu wa timu ya Kagera Sugar ya mkoani Kagera Kocha mkuu wa Kagera Sugar Mbwana Makata ameipongeza timu ya Simba kwa ushindi akisema timu hiyo imecheza vizuri huku akisema vijana...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

EXCLUSIVE: KIIZA AFAFANUA MAANA YA STAILI YAKE YA USHANGILIAJI…

Hamisi Kiiza akishangilia goli la na wachezaji wenzake wa Simba alipofunga wakati timu yake inacheza dhidi ya Kagera Sugar Jumapili kwenye uwanja wa Taifa Mshambuliaji wa Simba Hamisi Kiiza jana...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MASHABIKI WA SIMBA WASHINDWA KUJIZUIA KWA KIIZA…

Mashabiki wa timu ya Simba wakizawadia fedha mshambuliaji wa timu hiyo Hamisi Kiiza aliyefunga magoli matatu kwenye mchezo dhidi ya Kagera Sugar Mashabiki wa timu ya Simba ‘Mnyama’ walishindwa kuzuia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

“WAGONGA NYUNDO” NI MWENDO WA VIPARA TU KWA VIGOGO, BADO CHELSEA, MAN U NA SPURS

Na Salym Juma Naamini kiafya mpo safi na kwa sasa mnaendelea vyema na shughuli zenu za hapa na pale. Mimi pia ni mzma kwani kadi nyekundu 3 za Arsenal ndani ya mechi 2 nimeziona vizuri. Kiwango kizuri...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TOTTENHAM VS ARSENAL, ‘THE GUNNERS’ WATAWEZA KUUZUIA MOTO WA HUYU DOGO?

Anaitwa Hueng-Min Son, baada ya kufunga bao 14 msimu uliopita katika Bundesliga Marcio Pocchetino alikubali Spurs itoe paundi milion 22 kumnunua kijana huyu toka Korea kusini akiichezea Bayer...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BAADA YA MECHI ZA JANA, MSIMAMO MPYA WA EPL UKO HIVI…

Michezo ya raundi ya sita ya ligi kuu nchini England maarufu kama EPL imemalizika jana Jumapili (jana) ambapo ilipigwa michezo mitatu. Manchester United wakiwa ugenini wakaibuka na ushindi wa goli 3-2...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MABAO MATATU KWA MPIGO YA KIIZA NI ‘MAJIBU MENGINE MABAYA’ YANGA SC

Mshambuliaji wa Simba SC akishangilia moja ya goli lake alilofunga kwenye mchezo kati ya Simba dhidi ya Kagera Sugar Na Baraka Mbolembole Mfungaji bora wa ligi kuu ya Uganda, Hamis Kiiza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

“DIEGO COSTA ANAPENDA KU-CHEAT UWANJANI”…MCHEZAJI GANI WA CHELSEA KASEMA HIVI

Karibia kila mpenda soka hajafurahishwa na kitendo cha bwana Costa akiwa mchezoni jinsi anavyosabisha hadi wenzake wanapata kadi nyekundu. Japokua wakati mwingine linaweza kuwa kosa la kweli, lakini...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

VIDEO : ALIYEMVUNJA MGUU LUKE SHAW…AMEMCHEZEA RAFU MBAYA MCHEZAJI MWINGINE

Ndani ya muda wa siku chache baada ya kucheza rafu ambayo imesababisha Luke Shaw kukaa nje kwa miezi sita, Hector Moreno amehusika tena kwenye rafu nyingine mbaya dhidi ya mchezaji Oussama Tannane...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NINI KIMEWASIBU WAKALI HAWA WA KUCHEKA NA NYAVU?

Sergio Aguero, Harry Kane, Diego Costa, Alexis Sanchez, Eden Hazard na Wayne Rooney ni wa achezaji sita waliofunga jumla ya magoli 109 kwa pamoja msimu uliopita kwenye ligi kuu ya soka nchini England...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

FERGUSON AFICHUA MBINU ILIYOMFANYA KUWATAWALA WACHEZAJI OLD TRAFFORD

Sir Alex Ferguson ameweka wazi namna alivyokuwa akitawala kwenye klabu ya Manchester United kwa kuhakikisha hakuna mchezaji ambaye analipwa pesa nyingi kuliko yeye kwenye kipindi chake cha mwisho ndani...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HUAWEI Y360, KIKI INAYOPEWA INAFANANA NA UBORA WA SIMU HUSIKA?

Katika siku kadhaa zilizopita kumekuwa na matangazo kadhaa hasa kwenye mitandao ya kijamii juu ya simu mpya inayouzwa kwa ushirikiano wa makampuni mawili nguli ya mawasilino nchini. Huawei ambao ni...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

COUTINHO WA LIVERPOOL ANUKIA BARCELONA

Kiungo nyota wa Liverpool na timu ya taifa ya Brazil, Filipe Coutinho anapigiwa chapuo la kuihama klabu hiyo na kujiunga na miamba ya soka nchini Hispania klabu ya soka ya Barcelona. Hali hiyo imekuja...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

FERGUSON AWATAJA WANNE BORA KUWAHI KUWAFUNDISHA

Kocha mstaafu wa Manchester United Sir Alex Ferguson katika kitabu chake kipya cha hivi sasa, amewataja wachezaji wanne wa kiwango cha dunia kuwahi kuwafundisha. Alex Ferguson amemtaja Cristiano...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MURO: “SIMBA KAMA KISIGINO TU…”

Na Baraka Mbolembole, Dar es Salaam Kama ilivyo kawaida yake, mkuu wa kitengo cha habari wa klabu ya Yanga SC, Jerry Muro amerusha kijembe kwa mahasimu wao Simba SC kuelekea mchezo wa vigogo hao wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

PICHA ZANGU 6 NIKIWA KWENYE WORKSHOP NDANI YA MAKAO MAKUU YA BUNDESLIGA

Namshkuru mungu nimefika salama hapa Ujerumani Frankfurt kwa ajili ya ziara yangu kwenye ligi ya Bundesliga. Baada ya kufika tu ratiba yangu ikanipeleka kwenye workshop ambayo imeandaliwa na chama cha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HATIMAYE LIGI DARAJA LA KWANZA YAPATA MDHAMINI

Mkurugenzi mkuu wa Star Times Liao Lan Fang (kuhoto) na Rais wa TFF Jamal Malinzi wakisaini mkataba wa udhamini wa ligi daraja la kwanza Tanzania bara Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) leo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MALINZI AFUNGA KOZI YA MAKOCHA LESENI C, ATOA ANGALIZO KWA WAHITIMU

  Juma Pondamali ‘Mensah’ akikabidhiwa cheti chake na Jamal Malinzi Rais wa TFF Rais wa Shirikisho la soka nchini (TFF), Jamal Malinzi, amefunga kozi ya wiki mbili ya makocha lesseni C inayotambuliwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

LEGEND WA SERIE A FRANCESCO TOTTI : ONE MAN, ONE CLUB, 300 GOALS

Mwanaume mmoja ndani ya club moja kwa carrer moja ameweza kufunga magoli 300. Huyo sio mwingine bali ni legend wa Serie A Francesco Totti. Tangu tuanze kumjua kama professional player alikua anavaa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TIGO NA HUAWEI WAUNGANA KWENYE KITU HIKI

Katika kile kinachoonyesha ni kujipanga vyema, kampuni nguli za mawasiliano nchini Huawei na Tigo wameungana kukukufikishia huduma kwa gharama nafuu na haraka zaidi. Tigo na Huawei wameungana...

View Article
Browsing all 9000 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>