Quantcast
Channel: ShaffihDauda
Browsing all 9000 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BARCELONA VS CELTA VIGO NI MOJA YA MECHI NGUMU ZA MSIMU ULIPITA…LEO ITAKUAJE?

Moja kati ya mechi ngumu za Barcelona ni ile waliyocheza dhidi ya Celta Vigo. Licha ya kupata ushindi wa goli 1 kwa bila, kwenye hiyo mechi Barcelona ilitengeneza nafasi chache sana za kufunga magoli....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MIAKA 8 MFULULIZO, MECHI 15 MFULULIZO LIGI KUU SIMBA IMECHEZA BILA KUPOTEZA...

Na Baraka Mbolembole, Dar es Salaam Bado tunaendelea kutazama rekodi mbalimbali zilizopita baina ya klabu za Simba SC na Yanga SC. Klabu hizo hasimu Tanzania zitavaana tena Jumamosi hii katika mchezo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WENGER ATANGAZA HATMA YA GIROUD KWENYE KIKOSI CHA KWANZA CHA ARSENAL

Arsene Wenger amemuonya Olivier Giroud na kumwambia kwa sasa, asibweteke tena kwa kuwa sio mshambuliaji chaguo namba moja tena klabuni hapo. Wenger amesema kwa sasa hakuna namna, isipokuwa ni wote kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WACHEZAJI AMBAO DIEGO COSTA AKIKUTANA NAO LAZIMA ASHIKE ADABU…

5. Nigel De Jong – AC Milan Huyu ni Mholanzi ambaye kwa sasa, anakipiga kunako klabu ya AC Milan. De Jong amekuwa na matukio mengi katika kipindi chake chote cha maisha ya soka, moja ya matukio ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ILALA YATWAA KOMBE LA ARS

Rais wa shirikisho la soka nchini (TFF) Jamali Malinzi akimkabidhi kombe la ubingwa wa Airtel Rising Stars 2015 nahodha wa timu ya Ilala Abdulkarim Nasoro katika uwanja wa Kumbukumbu ya Karume jijini...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

LIVERPOOL WANAFANYA MAZUNGUMZO NA KOCHA HUYU KUCHUKUA NAFASI YA BRENDAN ROGERS

Baada ya kufanya usajili Liverpool ilitegemewa kuwa ni club itakayokuja kuleta upinzani mkubwa lakini inaonekana wamiliki wa club hiyo hajalidhika na performance yake. Daa yake wameona ni kufuta kocha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AIRTEL YAZINDUA KIFURUSHI CHA ‘YATOSHA NYTS’ BILA KIKOMO

Afisa Uhusiano wa Airtel, Jane Matinde (kulia) na Afisa Uhusiano na Matukio wa Airtel, Dangio Kaniki wakionyesha bango kwa waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana kama ishara ya kuzindua huduma...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TFF YATANGAZA VIINGILIO MECHI YA SIMBA VS YANGA JUMAMOSI

Baraka Kizuguto, Afisa habari wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Viingilio vya mchezo wa watani wa jadi katika Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania utakaochezwa Jumamosi katika Uwanja wa Taifa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TWIGA STARS KUJIPIMA NGUVU DHIDI YA MALAWI

Timu ya Taifa ya wanawake ya Tanzania (Twiga Stars) inatarajiwa kucheza mchezo wa kirafiki na timu ya Taifa ya wanawake ya Malawi tarehe 24 Oktoba, mwaka huu nchini Malawi. Mechi hiyo kati ya Twiga...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BARCA YATULIZWA LA LIGA, YAPOKEA KIPIGO CHA MBWA MWIZI

Barcelona wamechpwa bao 4-1 na Celta Vigo kwa mara ya kwanza msimu huu kwenye mechi za ligi ya Hispania marufu kama La Liga mchezo uliochezwa Jumatano usiku. Nalito alianza kuifunga timu yake ya zamani...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BENZEMA AIPELEKA MADRID KILELENI LA LIGA, RONALDO AKWAMA KUVUNJA REKODI

Karim Benzema amefunga magoli mawili yaliyoipeleka Real Madrid kileleni mwa La Liga baada ya kuibuka na ushindi wa goli 2-1 dhidi ya Athletic Bilbao. Benzema sasa amefikisha jumla ya magoli matano...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JULIO ATAHADHARISHWA UWANJA WA MKWAKWANI…

Kocha mkuu wa Mwadui FC Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ Kikosi cha wachimba madini cha Mwadui FC leo kinasafiri kuelekea jijini Tanga kwa ajili ya kuwakabili ‘wagosi wa kaya’ Coastal Union siku ya Juamamosi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

STAND UNITED YAFAFANUA HATMA YA KOCHA WAO

Kocha mkuu wa Stand United Patrick Liewig Baada ya taarifa kuzagaa kuwa benchi la ufundi la timu ya Stand United ‘Chama la wana’ limevunjwa ambalo lipo chini ya mfaransa Patrick Liewig, afisa habari wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RATIBA YA RAUNDI YA NNE CAPITAL ONE CUP HADHARANI, ANGALIA TIMU YAKO...

Jana usiku ilipigwa michezo ya kombe la Capital One ambapo timu za Arsenal, Liverpool, Chelsea, Southampton, Crystal Palace, Sheffield United, Norwich Cioty, na Manchester United zilifanikiwa kusonga...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SUALA LA YULE DAKTARI WA CHELSEA, MOURINHO PRESHA INAPANDA NA KUSHUKA

Presha imezidi kuwa kubwa kwa kocha Jose Mourinho wa Chelsea mara baada ya daktari Eva Carneiro kutoweka klabuni na sasa anawasiliana na wanasheria wakubwa kumsaidia kudai haki zake. Eva na Mourinho...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

 JE, NI KWELI LIGI KUU ENGLAND BORA ZAIDI BARANI ULAYA?

Na Simon Chimbo Kumekua na ubishani usio na mwisho wa kuhusu ipi ni ligi bora barani Ulaya. Kila mmoja amekua akiongea kufuatana na anachokiamini, lakini hebu leo tuanzie hapa nilipojaribu kuchambua...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

LICHA YA KUTUPIA NYAVUNI LAKINI MSIMAMO KWA MATHIEU FLAMINI BADO UPO HIVI

Flamini mara ya mwisho ananza kwenye kikosi cha Arsenal ilikua ni February 15 kwenye mechi ya FA Cup dhidi ya ya Middlesbrough. Pia hajaanza kwenye kikosi cha kwanza kwenye mechi ya EPL tangu December...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAMBO SIO MAGUMU KWA BARCELONA TU…KOCHA WA JUVENTUS AWA MBOGO BAADA YA MECHI HII

Massimiliano Allegri kocha wa mabingwa watetezi wa Serie A Juventus amekasirishwa na kitendo cha kikosi chake kutoka draw ya goli 1-1 dhidi ya Frosinone na kuendelea kuwapa nafasi Inter Milan kuongoza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KOCHA WA SIMBA AKATAA MECHI YA KIRAFIKI…ATOA SABABU ZAKE ZA KUFANYA HIVYO

Dylan Kerr kocha mkuu wa Simba SC Wakati homa ya pambano la watani wa jadi kati ya Simba na Yanga ikiwa inazidi kupamba moto mechi itakayopigwa kwenye uwanja wa taifa siku ya Jumamosi. Kiongozi wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MASTAA WALIOFANYIWA FAULO NYINGI EPL

Mchezaji wa West Ham Mark Noble, ndio mchezaji anayeongoza kwa kufanyiwa madhambi katika ligi kuu Uingereza mpaka sasa. Amefanyiwa madhambi mara 19 katika michezo 6 aliyocheza tangu msimu mpya uanze,...

View Article
Browsing all 9000 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>