Quantcast
Channel: ShaffihDauda
Viewing all articles
Browse latest Browse all 9000

MASTAA WALIOFANYIWA FAULO NYINGI EPL

$
0
0

Andre AyewMchezaji wa West Ham Mark Noble, ndio mchezaji anayeongoza kwa kufanyiwa madhambi katika ligi kuu Uingereza mpaka sasa.

Amefanyiwa madhambi mara 19 katika michezo 6 aliyocheza tangu msimu mpya uanze, ukiwa ni wastani wa rafu 3.2 kwa mechi.

Andre Ayew wa Swansea anamfuatia kwa karibu akiwa amefanyiwa madhambi mara 18, ukiwa ni wastani wa faulo 3 kwa kila mchezo.

Idrissa Gueye wa Aston Villa madhambi mara 12, ukiwa ni wastani wa faulo 3 kwa mechi.

Alexis Sanchez amefanyiwa mara 17 mpaka sasa (uwiano wa 2.8 kwa mechi, Eden Hazard amefanyiwa mara 16 (uwiano wa 2.7 kwa mechi), wakati Ross Barkley na Sadio Mane wakiwa wamefanyiwa faulo mara 15, ukiwa ni uwiano wa 2.5 kwa mechi.

Mwaka jana, Eden Hazard alikuwa ndiye mchezaji aliye fanyiwa faulo nyingi zaidi, mara 113, ukiwa ni uwiano wa 3 kwa mechi.

Raheem Sterling alishika nafasi ya pili akichezewa mara 94, akifuatiwa na Sadio Mane (76), Alexis Sanchez (72), Santi Cazorla (61) na Connor Wickham (61).


Viewing all articles
Browse latest Browse all 9000

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>