Quantcast
Channel: ShaffihDauda
Browsing all 9000 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TUNZUNGUMZIE BUNDESLIGA KIHIVI

Hata kama si mpenzi wa soka, ni lazima utakuwa umewahi kusikia majina ya vilabu vikubwa barani Ulaya kama vile Bayern Munich na Wolfsburg Germany. Hivi ni vilabu vikubwa vinavyoshiriki ligi kuu ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ORODHA YA MAWAKALA WENYE PESA ZAIDI DUNIANI, MENDES KAMA KAWA…

Wachambuzi wa masuala ya biashara jarida la Forbes wamechapisha utafiti wao wa mawakala matajiri zaidi duniani huku wakiwemo wale ambao wamewahi kufanikisha madili makubwa ya wachezaji wenye majina...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANZANIA MWENYEJI KOZI YA WAAMUZI

Baraka Kizuguto, Afisa habari wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Tanzania itakuwa mwenyeji wa kozi ya waamuzi chipukizi barani Afrika ambao bado hawajapata beji za FIFA, kozi hiyo  itakuwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TFF YAWEKA NGUMU JUU YA JAMBO HILI KUELEKEA MCHEZO WA SIMBA VS YANGA

Ikiwa zimesalia saa kadhaa ili pambano la watani wa jadi kadi ya Simba na Yanga lipigwe kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, Shirikisho la soka Tanzania (TFF) kupitia kwa afisa habari wake...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SIO LEWANDOWSKI PEKEE, TAZAMA WANAUME WENGINE WALIOTUPIA MAGOLI 5 KATIKA...

Na Salym Juma Nikiwa naamini hali yako ni njema, mimi pia ni mzima kiasi ila nasikitika yanayotokea pale Saudia huku nikiwaombea Marehemu wote wawe salama huko waliko. Tukirejea katika soka, naamini...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UNAJUA LUKE SHAW KAMWAMBIA NINI JAMAA ALIYEMVUNJA MGUU?

Hector Moreno ameweka wazi kile ambacho ameambiwa na Luke Show alipokwenda Hospitali ambapo Shaw natibiwa siku ya Ijumaa iliyopita akiwa ameongozana na kocha wake Phillip Cocu. Beki huyo wa kati wa PSV...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PELE ATAJA TIMU AMBAYO ANGECHEZA EPL

Nguli wa soka ulimwenguni, Pele amesema kama angepata fursa ya kucheza ligi kuu nchini Uingereza, basi angekipiga kunako klabu ya Arsenal. Pele amedai kuwa mtindo wanaocheza Barcelona unafafana sana...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAHAMA YA BRAZIL IMEZUIA MALI ZA NEYMAR KWA KESI HII

Mahakama ya Brazil imezuia mali za mchezaji wa Barcelona Neymar ambazo zina thamani ya $48 million. Mahakama ya huko Sao Paulo imetangaza ijumaa hii mali za mchezaji huyu mwenye miaka 23 ana makosa ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UPO TAYARI KUMUANGALIA LEWANDOWSKI AKITUPIA GOLI LA 100

Kwenye mechi ya kesho ambayo ni Bayern Munich Vs Mainz mchezaji wa Bayern ana nafasi ya kuweka rekodi binafsi ya kufunga magoli 100 kwenye ligi ya Bundesliga. Kwenye mechi iliyopita alifunga magoli 5...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

GARRAGHER AMPONDA DIEGO COSTA

Mchezaji wa zamani wa Liverpool ambaye kwa sasa ni mchambuzi wa masuala ya soka Jamie Carragher amemponda mshambuliaji wa Chelsea Diego Costa kwa vitendo vyake vya ukorofi na utovu wa nidhamu awapo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SIMBA VS YANGA VIKOSI VINAVYOANZA MECHI YA LEO…

Mshambuliaji wa Simba SC Hamisi Kiiza akishuka kwenye kari kuelekea uwanjani kabla ya mechi yao Mechi ya watani wa jadi iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu kubwa na wadau wa soka kati Simba na Yanga sasa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KUTOKA UWANJA WA TAIFA….YANGA WANAONGOZA

Amis Tambwe ameifungia Yanga goli la kuongoza dakika ya 44 na kuifanya timu yake iende mapumziko ikiwa mbele kwa goli 1-0. Endelea kufatilia mtandao huu kwa matokeo mengine zaidi…

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

YANGA YAITULIZA SIMBA TAIFA, TAMBWE, BUSUNGU WAFANYA YAO

Mfungaji wa goli la kwanza Amis Tambwe (kushoto) akishangilia na Donald Ngoma baada ya kuifungia Yanga goli la kwanza Baada ya kusota kwa miaka kadhaa hatimaye leo Yanga wamewatuliza watani zao wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MATOKEO YA MECHI NYINGINE ZA VPL ZILIZOPIGWA JUMAMOSI YANASOMEKA HIVI…

Matokeo ya mechi nyingine za ligi kuu Tanzania bara zilizopigwa leo kwenye viwanja vya miji tofauti ukiachilia mbali mchezo wa watani wa jadi Simba na Yanga. Coastal Union 0–0 Mwadui FC Tanzania...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MANCHESTER UNITED YAKWEA KILELENI EPL

Manchester United leo wamekwea kileleni mwa ligi kuu nchini Uingereza baada ya kuining’iniza Sunderland kwa mabao 3-0, mchezo uliopigwa kwenye dimba la Old Trafford maskani kwa mashetani wekundu hao....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

STURRIDGE AIONGOZA LIVERPOOL KUIBUKA NA USHINDI

Vijana wa Brendan Rodgers leo wamemlinda kocha wao baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Aston Villa katika muendelezo wa michezo ya ligi kuu Uingereza. Mabao ya Liverpool yalifungwa na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BAADA YA KIPIGO KUTOKA CHELSEA, ARSENAL YAPATA USHINDI MNONO

Arsenal wameamka kwa mara nyingine tena baada ya kuwafumua vibaya Leicester City kwa mabao 5-2. Mabao ya Arsenal yalifungwa na Alexis Sanchez ambaye alipiga hat-trick mnamo dakika za 33, 58 na 81 huku...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAN CITY WAONJA JOTO YA JIWE, WALAZWA HOI KWA KIPONDO CHA SPURS

Manchester City leo wameionja joto ya jiwe baada ya kupata kipigo kitakatifu toka kwa watoto wa London Tottenham Hotspurs cha goli 4-1, mchezo ulimalipigwa katika dimba la White Hart Lane. Man City...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MASIKINI MESSI…!! AIPA PIGO BARCELONA

Lionel Messi akiugulia maumivu baada ya kugongana ana beki wa Las Palmas Pedro Bigas Mchezaji wa Barcelona Lionel Messi amepata pigo kubwa kwake mwenyewe na timu yake baada ya kuumia kiungo cha ndani...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

LICHA YA USHINDI WA YANGA, CANNAVARO AIPONGEZA SIMBA

Nadir Haroub ‘Cannaro’ nahodha wa timu ya Yanga Nahodha wa timu ya Yanga Nadir Horoub ‘Cannavaro’ amesema licha ya timu yake kuibuka na ushindi wa goli 2-0 dhidi ya mahasimu wao Simba, anawapongeza...

View Article
Browsing all 9000 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>