TAMBWE: “NIMEFURAHI SANA KUIFUNGA SIMBA”
Amis Tambwe mshambuliaji wa Yanga aliyefunga goli la kwanza wakati wa mchezo kati ya Simba na Yanga, Yanga ilishinda kwa goli 2-0 Mshambuliaji wa Yanga aliyetemwa Simba misimu miwili iliyopita Amis...
View ArticleBUSUNGU AFICHUA ALICHOAMBIWA NA PLUIJM KABLA YA KUCHUKUA NAFASI YA MSUVA
Malimi Busungu mshambuliaji wa Yanga aliyefunga goli la pili wakati timu yake ikicheza na Simba na kutengeneza goli lililofungwa na Amis Tambwe Malimi Busungu ni mchezaji mpya kwenye kikosi cha Yanga...
View ArticlePICHA: MATUKIO MBALIMBALI YALIYOJIRI SIMBA VS YANGA
Mshambuliaji wa Yanga Amis Tambwe akimtoka beki wa Simba Hassan Isihaka Donald Ngoma wa Yanga (kulia) akikimbia na mpira kumuacha beki wa Simba Hassan Isihaka Manahodha wa timu zote mbili Mussa Mgosi...
View ArticleRONALDO ATAKA KUCHEZA TENA NA WAYNE ROONEY
Mchezaji Cristiano Ronaldo wa Real Madrid, amefunguka na kudai kuwa amemiss kucheza na nahodha wa Manchester United Wayne Rooney. Ronaldo ameyasema hayo weekend hii katika documentary yake ambayo...
View ArticleVIDEO: MOURINHO AIPONDA NEWCASTLE
“Nadhani moja ya sababu kwa nini kwa miaka mingi Newcastle huwa hawapati nafasi nzuri katika msimamo wa ligi ni kwa sababu ya mtazamo huu waliojijengea. Ni kwa sababu wanachagua baadhi ya mechi za...
View ArticleTANZIA: KOCHA WA YANGA AFIWA
Uongozi wa Yanga kupitia kwa afisa habari wao Jerry Muro umetoa taarifa za msiba wa mama mkwe wa kocha msaidizi wa klabu ya Yanga Charles Boniface (mama mzazi wa mkewake Betty Mkwasa) na kocha huyo...
View ArticleMURO ‘AMPACHIKA’ JINA JIPYA MWENYEKITI WA USAJILI SIMBA
Jerry Muro afisa habari wa klabu ya Yanga wakati akiongea na waandishi wa habari Baada ya Yanga jana kuibuka na ushindi wa goli 2-0 dhidi ya Simba kwenye uwanja wa Taifa, afisa habari wa klabu ya hiyo...
View ArticleAZAM YAENDELEA KUGAWA DOZI
Mfungaji wa goli la kwanza la Azam FC Mudathir Yahya (kushoto) akishangilia goli lake na mchezaji mwenzake Farid Mussa Kikosi cha Azam kimeendelea kushinda mechi zake mfululizo kwenye ligi kuu Tanzania...
View ArticleMATOKEO MENGINE YA VPL
Hatimaye timu ya African Sports ya jijini Tanga leo imeonja ushindi wa ligi kuu Tanzania bara baada ya kuifunga timu ya Ndanda FC kwa goli 1-0 kwenye mechi iliyochezwa kwenye uwanja wa CCM Mkwakwani...
View ArticleARSENE WENGER AMPOTEZEA MOURINHO
Hatimaye kocha Arsene Wenger wa Arsenal ameamua kuacha kumjibu kocha mwenye maneno mengi Jose Mourinho na badala yake kuitengeneza Arsenal ishinde michezo yake. Jose Mourinho aliongea kabla ya michezo...
View ArticleBENCHI LA UFUNDI LATANGAZA KIKOSI CHA STARS KITAKACHOIVAA STARS, AISHI MANULA...
Kocha msaidizi wa Taifa Stars Hemed Morocco (kushoto) akiwa na mshauri wa benchi la ufundi la timu hiyo Abdallah ‘King’ Kibaden wakati wanatangaza kikosi cha Stars kitakachoingia kambini Kocha msaidizi...
View ArticleIVO MAPUNDA ASHINDWA KUJIZUIA JUU YA NYOSSO, HIKI NDICHO ALICHOKIANDIKA...
Kipa wa zamani wa klabu za Tanzania Prisons, Moro United, Yanga SC, St.George ya Ethiopia, African Lyon, Bandari FC na Gor Mahia FC za Kenya, Simba SC na timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Ivo...
View ArticleKAMA ULIPITWA NA MAGOLI YA SIMBA NA YANGA HAYA HAPA KWA AJILI YAKO
Kama ulipitwa na magoli ya mechi ya Simba na Yanga basi haya hapa kwa ajili yako kupitia Dauda TV.
View ArticleMAONI YA MASHABIKI NA WALIVYOKUA WANASHANGILIA KABLA YA MECHI YA SIMBA VS YANGA
Dauda TV iliwapa nafasi mashabiki kutoa maoni yao mara baada ya mechi na pia camera yake ikaweza kukamata matukio yote yaliyokua yanatokea nje ya uwanja
View ArticleVitu 4 vinavyoiangusha Liverpool chini ya Brendan Rogers
Siku za utawala wa kocha Brendan Rogers ndani ya klabu ya Liverpool zimeanza kuhesabika baada ya mfululizo wa matokeo wanayopata Liverpool katika siku za hivi karibuni . Liverpool mabingwa wa mara 18...
View ArticleMARA BAADA YA MECHI…KOCHA WA SIMBA ALISEMA HAYA
Kocha wa Simba alizungumza mbele ya kipanza cha Dauda TV na kutoa maoni yake juu ya mchezo ambao ulikua mgumu na kushuhudia timu yake ikifungwa kwa magoli 2-o dhidi ya watani wao wa jadi.
View ArticleCHEKI TRAILER YA MOVIE YA CRISTIANO RONALDO INAYOTOKA MWEZI WA 11
Cristiano Ronaldo anatarajia kutoa movie yake ifikapo November 9 akiwa amefanya kazi na Univcrsal studios. Movie hii imeandaliwa kwa musa wa miezi 14 na imeonyesha video mbalimbali ambazo hazijawai...
View ArticleSTURRIDGE JUU ZAIDI YA TORRES NA SUAREZ LIVERPOOL
Mshambuliaji Daniel Sturridge wa Liverpool ameweka rekodi ya kuwa na wastani mzuri wa kufunga katika ligi kuu England ndani ya klabu ya Liverpool baada ya kufunga mara mbili dhidi ya Aston Villa...
View ArticleBarca na tatizo la kodi: Baada ya Neymar, Messi, huyu mchezaji mwingine na...
Klabu bingwa ya soka nchini Hispania na mabingwa wa ulaya, klabu ya FC Barcelona imeendelea kukumbwa na mzuka wa kesi wa ukwepaji kodi kwa mara nyingine tena. Siku mbili baada ya taarifa kusambaa...
View ArticleAZAM YAMSHITAKI RASMI NYOSSO
Uongozi wa club ya Azam FC leo umewasilisha barua ya malalamiko yao kuhusu tukio la udhalilishaji alilofanyiwa mchezaji wao John Bocco na Juma Nyosso wa Mbeya City wakati wa mechi ya ligi kuu ya...
View Article