$ 0 0 Kocha wa Simba alizungumza mbele ya kipanza cha Dauda TV na kutoa maoni yake juu ya mchezo ambao ulikua mgumu na kushuhudia timu yake ikifungwa kwa magoli 2-o dhidi ya watani wao wa jadi.