Quantcast
Channel: ShaffihDauda
Browsing all 9000 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NYOSSO ATAKUMBWA NA ADHABU HII…

Na Bertha Lumala, Dar es Salaam WAKATI Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) itakaa muda wowote kutoa adhabu dhidi ya beki wa kati Juma Nyosso, nahodha huyo wa Mbeya City yuko...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKEKA WA HUYU JAMAA UMETEMA MILIONI 147 BAADA YA KUWEKA 16,000.

Kwanza kabisa alikataa kuuza mkeka wake kwa kiasi cha millioni 26 ikiwa imebaki timu moja ili ashinde milioni 147. Lakini jamaa huyo ambae ni raia wa uingereza aliendelea kukaza na kusebili hadi mechi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UTANATAKA KUCHEKA?..DAVID BECKHAM AKIWA NA KEVIN HART WAMETENGENEZA TANGAZO...

Mchekeshaji Kevin Hart na David Beckham wametengeneza tangazo la TV la kampuni ya H&M ambalo lazima litakuacha kwenye kicheka ukiliangalia. Kwenye hilo tangazo Kevin Hart anapewa kazi ya ku-act...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

STEWART HALL AMUWASHIA MESSI TAA YA KIJANI

Mchezaji Ramadhani Singano’Messi’ ambaye amekuwa akikaa benchi tangu asajiliwe kwenye kikosi cha Azam FC, kesho anaweza akacheza kwa dakika zote 90 wakati Azam itakapokuwa ikimenyana na Coastal Union...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MBEYA CITY YAMVALIA NJUGA JUMA NYOSSO

Baada ya tukio la udhalilishaji lililofanywa na beki wa Mbeya City Juma Nyosso, uongozi wa Mbeya City kupitia tovuti rasmi ya club yao umetangaza kuwa ulikutana leo kwa dharura kujadili suala hilo,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BOCCO KUANZIA BENCHI AZAM VS COASTAL UNION, STEWART HALL ATOA SABABU…

Kocha mkuu wa Azam FC Stewart Hall amesema wakati kikosi chake kitakapokuwa kinapambana na Coastal Union kesho kwenye uwanja wa Azam Complex Chamazi, nahodha wa kikosi hicho John Bocco ataanzia benchi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RUNGU LA TFF LAMUANGUKIA NYOSSO…ADHABU KALI YAMUANGUKIA

Juma Said Nyosso, beki na nahodha wa kikosi cha Mbeya City amefungiwa miaka miwili kucheza soka kutokana na kitendo cha udhalilishaji alichomfanyia John Boco Kamati ya masaa 72 ya uendeshaji wa Ligi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TIMU LIGI DARAJA LA KWANZA YABADILISHA WACHEZAJI WANNE KWENYE MECHI MOJA

Katika hali isiyokuwa ya kawaida, kumeshuhudiwa tukio la kushangaza kwenye soka la Tanzania baada ya timu ya KMC ya Kinondoni  inayoshiriki ligi daraja la kwanza (FDL) kufanya mabadiliko kwa kuwaingiza...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MATOKEO MECHI ZOTE ZA UEFA ZILIZOCHEZWA JUMAMME YAKO HIVI…

Usiku wa Septemba 30.9.2015 ilipigwa michezo nane ya UEFA Champions League (kombe la vilabu bingwa barani Ulaya) ilichezwa, mechi hizo zilishirikisha makundi manne tofauti kuanzia kundi E, F, G na H...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HIZI NI MECHI 10 ZILIZOWA DISAPPOINT SANA MASHABIKI WA ARSENAL KWENYE UEFA…YA...

Kama wewe ni shabiki wa Arsenal na umekua dissapointed kwenye mechi ya jana basi kuna wenzako walioshudia hizi mechi kumi pia walikua na hali kama yako. Hizi hapa ni mechi 10 ambazo perfomance mbovu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SIMBA VS STAND UNITED, MAJINA YA WACHEZAJI WA TIMU ZOTE WATAKAOCHEZA LEO

Kikosi cha Simba kinachoanza: 26. Hassan Isihaka 35. Peter Manyika Peter 4. Hassan Hamis 15. Mohamed Hussein 6. Juuko Murshid  20. Jonas Mkude 28. Justice Majabvi 13. Said Hamis Juma Ndemla 3. Peter...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KUTOKA UWANJA WA JAMHURI MOROGORO: MTIBWA SUGAR VS YANGA VIKOSI VINAVYOCHUANA...

Mkoani Morogoro unapigwa mchezo mwingine kwenye uwanja wa Jamhuri kati ya Mtibwa Sugar ambao ndio wenyeji wa mchezo huo dhidi ya Yanga kutoka jijini Dar es Salaam. Hivi hapa vikosi vya wachezaji wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

LEWANDOWSKI ANASHEREKEA HIVI BAADA YA USHINDI WA JANA

Mchezaji ambae ameshatupia magoli 10 kwenye mechi zake tatu zilizopita ana kila sababu ya kuwa na furaha kwa wakati huu. Robert akiwa na wachezaji wenzake wa Bayern Munich wamekusanyika pamoja kwenye...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

JUMA NYOSSO AMEWEKA REKODI YA DUNIA….HII HAPA NI TOP 10 ZA WACHEZAJI...

Juma Nyosso ameweka rekodi ya dunia ya mwanasoka kufungiwa kwa muda mrefu zaidi, jana ilitoka taarifa kutoka TFF kwamba Nyosso amefungiwa miaka 2 kujihusisha na soka. Mchezaji aliyekua anaongoa ni...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIMWAGA AING’ARISHA SIMBA

Mshambuliaji wa Simba aliyesajiliwa kwa mkopo toka klabu ya Azam FC Joseph Kimwaga akishangilia baada ya kufunga goli dhidi ya Stand United Mshambuliaji mpya wa Simba aliyesajiliwa kwa mkopo kutoka...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

YANGA MWENDO MDUNDO…

Wachezaji wa Yanga Malimi Busungu (katikati), Amis Tambwe (kushoto) na Haji Mwinyi (kulia) wakishangilia goli lililofungwa na Malimi Busungu wakati Yanga ikicheza dhidi ya Mtibwa Sugar kwenye uwanja wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UTAWALA WA VILABU VYA ENGLAND, CHAMPIONS LEAGUE UMEOTA MBAWA.

Vipigo vitatu vilivyozikumba klabu za Arsenal, Manchester United na Manchester City katika raundi ya kwanza ya makundi ya michuano ya klabu bingwa ulaya, inaleta taswira ya namna timu za England...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

VPL: MATOKEO YA MECHI NYINGINE ZILIZOCHEZWA JUMATANO HII

Leo ligi kuu ya soka Tanzania bara imeendelea kwa michezo kadhaa kwenye viwanja kadhaa, ukiachana na mechi za Simba dhidi ya Stand United na ile ya Yanga dhidi ya Mtibwa Sugar haya ni matokeo ya mechi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS FIFA  AKUMBANA NA KIFUNGO…

Aliyekua makamu mwenyekiti wa shirikisho la mpira wa miguu duniani FIFA, na rais wa CONCACAF ndugu Jack Warner amefungiwa na kamati ya maadili ya soka ya FIFA kutojihusisha na masuala yote yahusuyo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NIMESHANGAA YA JUMA NYOSO ILA SITAKI KUYAONA YA “DAN ALVES”

Patrick Sungura. Tarehe 26/09/2015 ilikuwa ni siku nzuri sana kwangu kama shabiki wa Yanga maana nilitoka mtaani kwangu kuelekea uwanja wa Taifa nikiwa nina uhakika kabisa Yanga inaenda kushinda mechi...

View Article
Browsing all 9000 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>