![Kikosi cha Yanga kilichoanza kwenye mchezo dhidi ya Simba]()
Mkoani Morogoro unapigwa mchezo mwingine kwenye uwanja wa Jamhuri kati ya Mtibwa Sugar ambao ndio wenyeji wa mchezo huo dhidi ya Yanga kutoka jijini Dar es Salaam.
Hivi hapa vikosi vya wachezaji wa timu zote mbili watakaochuana kuwania pointi tatu kwenye mchezo huo.
![IMG-20150930-WA0003]()