Quantcast
Channel: ShaffihDauda
Viewing all articles
Browse latest Browse all 9000

VPL: MATOKEO YA MECHI NYINGINE ZILIZOCHEZWA JUMATANO HII

$
0
0

KCCA-vs-Azam-4Leo ligi kuu ya soka Tanzania bara imeendelea kwa michezo kadhaa kwenye viwanja kadhaa, ukiachana na mechi za Simba dhidi ya Stand United na ile ya Yanga dhidi ya Mtibwa Sugar haya ni matokeo ya mechi nyingine zilizochezwa siku ya leo.

Azam FC 2-0 Coastal Union

Prisons 0-0 Mwadui FC

Maji maji 1-1 Ndanda FC

African Sports 0-1 Mgambo Shooting

Kagera Sugar 0-0 JKT Ruvu


Viewing all articles
Browse latest Browse all 9000

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>