DAUDA TV: Angalia mabao ya Yanga ilipovunja mwiko Jamuhuri mbele ya Mtibwa...
Hapo jana Yanga iliifunga Mtibwa Sugar mabao 2-0 kwenye mchezo wa Jamhuri mjini Morogoro. haya ndio mabao yaliyofungwa na Malimi Busungu pamoja na Donald Ngoma.
View ArticleMICHAEL OWEN – ANTHONY MARTIAL HAJAFANYA CHOCHOTE CHA AJABU KUNISHANGAZA
Anthony Martial alihama kutoka Monaco hadi Manchester kwa uhamisho ambao umezungumziwa sana. Mchezaji huyu mwenye miaka 19 hadi sasa amefunga magoli akiwa na club yake mpya lakini kiwango...
View ArticleUSAIN BOLT ADAKWA KWENYE CAMERA AKIJIACHIA NA STRIPPER USIKU WA MANANE MIAMI
Huyu jamaa ni mtu mwenye kasi kuliko wote duniani na bila shaka ana kila sababu ya kufurahia maisha. Akiwa Marekani apewa mualiko kwenye birthday party ya Lil Wayne. Mapaparazi wali-shoot video ambayo...
View ArticleHII KALI SASA..ETI HIVI NDIVYO MESSI ALIVYOJIBU BAADA YA KUONA TRAILER YA...
Najua utakua umeshaona movie ya Cristiano Ronaldo ambayo itatoka mweziwa 11. Basi wajanja wa editing wamefanya yao kunganisha clip ya Messi ambapo alikua kama anatoa reaction yake huku akiangalia...
View ArticlePAUL SCHOLES NA RIO FERDINAND WAMETOA SABABU HIZI KWANINI ENGLISH CLUB...
Haujakuwa mwanzo mzuri kwa club za England kwenye UEFA kutokana na matokeo mabovu. Wachezaji wa zamani wa Manchester united wakiwa kwenye uchambuzi wa mechi ya UEFA jana usiku walisema kwanini club za...
View ArticleINGEKUA BONGO VIPI?….BAR YATOA OFA BURE KUNYWA BIA HADI CLUB YAO ISHINDE.
Bar moja huko Marekani inaitwa The Basement imeingia kwenye headline kutokana na mmiliki wa bar hiyo kutoa ofa ya wateja wake kunywa bia za bure siku za mechi ya timu ya University of Central Florida....
View ArticleTFF, NHIF, ZASAINI MKATABA
Katibu Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF), Mwesigwa Selestine leo amesaini mkataba wa mwaka mmoja na mfuko wa huduma ya afya (NHIF) kwa ajili ya kutoa huduma kwa wachezaji wa Ligi Kuu...
View ArticleROY KEANE HAJAACHA MAMBO YAKE…AONGEA SHOMBO KUHUSU ARSENAL
Huyu jamaa alikua ni mtu wa beef sana na nguvu nyingi hasa akiwa kwenye game za Arsenal enzi zake. Sasa, hivi karibuni alivyoambiwa atoe maoni yake kuhusu jinsi Arsenal inavyo-perform kwenye UEFA...
View ArticleTOTO, MBEYA CITY, ZASHINDWA KUTAMBIANA MWANZA
Timu ya Mbeya City ikicheza bila nahodha na beki wake wa kutumainiwa, imelazimishwa sare ya kufungana kwa goli 1-1 na Toto Africans ya Mwanza kwenye mchezo wa ligi kuu Tanzania bara mchezo uliochezwa...
View ArticleHUU NI WAKATI MBOVU KABISA KWENYE CAREER YANGU…NANI KASEMA HIVI?
Usijiulize maswali mengi…jibu ni kocha ambae haishiwi na maneno na bila shaka waandishi wa habari wanampenda sana kwa kuwatengenezea vichwa vya habari. Jose Mourinho amesema maneno hayo akiwa kwenye...
View ArticleBAADA YA KICHAPO KUTOKA KWA CELTA VIGO…BARCELONA IMEJIPANGA KURUDISHA HESHIMA...
Barcelona ipo kwenye kazi kutetea ubingwa wao wakiwa na majeruhi kama Lionel Messi ambae ni mchango mkubwa wa ushindi wa club hiyo. Hivi sasa Barca wanajiandaa kucheza na Sevilla ambayo inacheza...
View ArticleKILIMANJARO STARS YATHIBITISHA KUSHIRIKI CHALENJI NOVEMBA
Timu ya Taifa ya Tanzania bara (Kilimanjaro Stars) imedhibitisha kushiriki michuano ya timu za Taifa Ukanda wa Afrika Mashariki na Kati (CECAFA Chalenjji) itakayofanyika nchini Ethiopia kuanzia Novemba...
View ArticleMALINZI ATUMA SALAMU ZA PONGEZI FECAFOOT, FMF
Jamal Malinzi, Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Jamal Malinzi ametuma salamu za pongezi kwa Alberto Simago Junior wa Shirikisho...
View ArticleSTARS YAANZA KUJIFUA KUIVAA MALAWI
Kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) inayodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro Premium Lager kimeanza mazoezi leo mchana katika uwanja wa Taifa kujiandaa na mchezo dhdi ya Malawi utakaochezwa...
View ArticleACHANA NA CRISTIANO…HAWA NDIO WANAUME 10 WANAAONGOZA KWA KUTUPIA NYAVUNI...
Wiki hii Ronaldo amezungumziwa sana baada ya kufikisha magoli 500, basi hawa hapa ndio baba zake na kwenye kufumania nyavu. Magoli haya ni kutoka kwenye official match tu. 10) James McGrory alicheza...
View ArticleOFFICIAL: MBEYA CITY IMETOA KAULI YAKE JUU YA SUALA LA NYOSSO
Bodi ya klabu ya Mbeya City ilikutana tarehe 29.09.2015 kwa dharula kulijadili suala ambalo hivi sasa linaendelea kujadiliwa katika Umma wa wanamichezo nchini likimuhusisha mchezaji wa timu yetu Juma...
View ArticleSiku za Blatter zahesabika, wadhamini wa Kombe la dunia wamshinikiza kujiuzulu
By Aidan Charlie Utawala ndani wa Sepp Blatter ndani ya shirikisho la soka ulimwenguni unazidi kuandamwa na shinikizo la kumtaka aachie madaraka. Baada ya wadau tofauti na viongozi mbalimbali...
View ArticleMiaka 19 ya Wenger kuiongoza Arsenal, Je bado ni mtu wa sahihi wa kuipa...
By Aidan Charlie Wiki hii kwa mara nyingine tena, Arsenal ilionekana kupata taabu kuhimili mikimikiki ya soka la ulaya. Vipigo viwili mfululizo kwenye michuano hiyo vimewaweka kwenye matatizo makubwa....
View ArticleARSENE WENGER AMEHADITHIA JINSI ALIVYOJARIBU KUMSAJILI MARTIAL NA JIBU...
Arsene Wenger ni kocha ambae amewasajili wachezaji kadhaa kutoka Monaco na wakaja Arsenal kufanya vizuri. Kabla ya Van Gaal, Arsene Wenger alishamuona Martial na kujaribu kumsajili. Wenger anasema...
View Article