Quantcast
Channel: ShaffihDauda
Viewing all articles
Browse latest Browse all 9000

MATOKEO MENGINE YA VPL

$
0
0

VPL logo

Hatimaye timu ya African Sports ya jijini Tanga leo imeonja ushindi wa ligi kuu Tanzania bara baada ya kuifunga timu ya Ndanda FC kwa goli 1-0 kwenye mechi iliyochezwa kwenye uwanja wa CCM Mkwakwani Tanga.

Kabla ya ushindi wa leo, African Sports iliyopanda kucheza ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara msimu huu ilikuwa imepoteza mechi tatu mfululizo.

Leo wakiwa kwenye uwanja wao wa nyumbani wamewafunga Ndanda waliosafiri kutoka mkoni Mtwara hadi Tanga na kuandia historia ya kupata ushindi kwa mara ya kwanza kwenye ligi kuu tangu wapande msimu huu.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 9000

Trending Articles