Quantcast
Channel: ShaffihDauda
Viewing all articles
Browse latest Browse all 9000

KUTOKA UWANJA WA TAIFA….YANGA WANAONGOZA

$
0
0

Mshambuliaji wa Yanga Amis Tambwe akishangilia moja ya goli lake alilofunga kwenye mchezo dhidi ya JKT Ruvu

Amis Tambwe ameifungia Yanga goli la kuongoza dakika ya 44 na kuifanya timu yake iende mapumziko ikiwa mbele kwa goli 1-0.

Endelea kufatilia mtandao huu kwa matokeo mengine zaidi…


Viewing all articles
Browse latest Browse all 9000

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>