Quantcast
Channel: ShaffihDauda
Viewing all articles
Browse latest Browse all 9000

LIVERPOOL WANAFANYA MAZUNGUMZO NA KOCHA HUYU KUCHUKUA NAFASI YA BRENDAN ROGERS

$
0
0

dfghjgjg

Baada ya kufanya usajili Liverpool ilitegemewa kuwa ni club itakayokuja kuleta upinzani mkubwa lakini inaonekana wamiliki wa club hiyo hajalidhika na performance yake.

Daa yake wameona ni kufuta kocha mwingine, habari mpya ni kwamba wamiliki hao wameanzisha mazungumzo nacoach Carlo Ancelloti kwa ajili ya kutaka kuinoa club hiyo.

Carlo Ancelotti ana uzoefu mkubwa wa kufundishaclub mbalimbali barani Ulaya na kuchukua vikombe vingi ikiwemo cha ligi ya Uingereza. Hadi sasa inasemekana ameshapewa hiyo offa ya kuifundisha Liverpool

0B8961E300000578-3245888-The_Italian_lifts_both_the_Premier_League_and_FA_Cup_after_Chels-a-2_1443023510725


Viewing all articles
Browse latest Browse all 9000

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>