Quantcast
Channel: ShaffihDauda
Viewing all articles
Browse latest Browse all 9000

VIDEO : ALIYEMVUNJA MGUU LUKE SHAW…AMEMCHEZEA RAFU MBAYA MCHEZAJI MWINGINE

$
0
0

2C97B72300000578-0-image-a-23_1442833864108

Ndani ya muda wa siku chache baada ya kucheza rafu ambayo imesababisha Luke Shaw kukaa nje kwa miezi sita, Hector Moreno amehusika tena kwenye rafu nyingine mbaya dhidi ya mchezaji Oussama Tannane kwenye ligi ya Uholanzi.

Baada ya kumchezea rafu Oussama Tannane ilibidi atolewe nje ya uwanja na hakuweza teba kuendelea na mechi. Cheki video yak hapo chini
2C866DA600000578-0-image-a-27_1442834033332


Viewing all articles
Browse latest Browse all 9000

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>