Quantcast
Channel: ShaffihDauda
Viewing all articles
Browse latest Browse all 9000

LEICESTER YAENDELEA KUUSOGELEA UBINGWA EPL (Video)

$
0
0

Leiceseter City

Leicester City imeendelea kuongeza wigo wa pointi 5 zaidi kileleni mwa Premier League baada ya kumchapa Rafaele Benitez katika mechi yake ya kwanza akiwa kocha wa Newcastle United.

Shinji Okazaki aliga bao dakika ya 25 kipindi cha kwanza lililowa Foxes ushinda zikiwa zimebaki mechi nane ligi kumalizika, ushindi huo unaendelea kuwasogeza kwenye ndoo ya ligi kwa mara ya kwanza.

Kikosi cha Newcastle kimeanza kuimarika na mara kadhaa kilikaribia kufunga kupitia kwa Ayoze Perez na Moussa Sissoko.

Lakini uimara wa kikosi cha Leicester uliwapa wakati mgumu na kipigo hicho kimeendelea kuwaacha katika nafisi ya pili kutoka mwisho.

Fahamu takwimu muhimu

  • Leicester wamepoteza mechi moja pekee kati ya michezo 18 ya Premier League kwenye uwanja wao wa King Power (W12 D5 L1).
  • Kikosi cha Claudui Ranieri hakijaruhusu nyavu zake kuguswa katika mechi 6 katika mechi 7 za hivi karibuni.
  • Leicester wamefanikiwa kufunga katika mechi 27 za Premier League msimu huu katika kikosi chao cha kwanza msimu huu, zaidi ya timu yeyote.
  • Timu hiyo mefanya mabadiliko kwenye kikosi chake cha kwanza cha msimuu mara 25 mara chache zaidi ya timu nyingine.
  • Leicester imeshinda mchezo wake wa 12 kwa goli moja msimu huu, zaidi ya timu yeyote kwenye ligi ya EPL.

Angalia video ya goli la Shinji Okazaki


Viewing all articles
Browse latest Browse all 9000

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>