SAMATTA AWEKA REKODI MPYA GENK (Video)
Mbwana Samatta ameendelea kufanya yale ambayo watanzania wengi wamekuwa wakisubi kwa hamu kutoka kwa nyota huyo tangu alipojiunga na klabu ya Genk ya Belgium baada ya kufunga bao la kwanza wakati Genk...
View ArticleMAN UTD YATOKEA KWENYE TUNDU LA SINDANO MBELE YA WEST HAM (Video)
Goli la kusawazisha la dakika za lala salama lililofungwa na Anthony Martial kwenye mchezo wa robofainali ya FA Cup limelazimisha mechi ya marudiano baada ya Dimitri Payet kutangulia kuifungia West...
View ArticlePSG YATWAA UBINGWA UFARANSA
Paris St-Germain wametangaza ubingwa wa ligi ya Ufaransa ikiwa imebaki miezi miwili kabla ya ligi kumalizikabaada ya kuisambaratisha Troyes kwa bao 9-0 huku Zlatan Ibrahimovic akiweka bao nne kambani...
View ArticleEdo Kumwembe awaongoza watanzania kumpa support Samatta.
Mchambuzi wa soka Edo Kumwembe pamoja na baadhi ya watanzania jana walikuwepo kwenye dimba la Crystal Arena kumpa support Mbwana Samatta. Edo Kumwembe amaeenda kwa ajili ya kazi zake za ki uandishi wa...
View ArticleSHABIKI WA DORTMUND AFIA UWANJANI AKIISHANGILIA TIMU YAKE
Kulikuwa na hali ya ukimya kwa muda wakati Borussia Dortmund ikipata ushindi wa bao 2-0 mbele ya Mainz kwenye ligi ya Bundesliga siku ya Jumapili. Shabiki mmoja wa Dortmund alipata shambulio la moyo...
View ArticleMayweather mapenzini na mwanamke mwenye miaka 19?
Floyd anaendelea ku-enjoy maisha yake baada ya ku-staff kucheza masubwi na rakodi yake kutopigwa na kuingiza pesa nyingi kuliko boxer yoyote kuwahi kutokea. Sasa hivi Floyd ana husishwa kuwa na...
View ArticleChampions League: Messi, Aguero, Griezmann na Dybala wanaziwinda rekodi hizi...
Usiku wa michuano ya UEFA Champions League unarejea tena leo usiku na kesho jumatano, katika kukamilisha ratiba ya raundi ya 16 bora na kuamua ni timu zipi zitaungana na Real Madrid, Benfica, PSG na...
View ArticleLEICESTER YAENDELEA KUUSOGELEA UBINGWA EPL (Video)
Leicester City imeendelea kuongeza wigo wa pointi 5 zaidi kileleni mwa Premier League baada ya kumchapa Rafaele Benitez katika mechi yake ya kwanza akiwa kocha wa Newcastle United. Shinji Okazaki...
View ArticleSIMBA KUONGOZA LIGI NI SAWA NA MBIO ZA SAKAFUNI?
Wachezaji wa Simba wakimlaki Awadh Juma baada ya kufunga bao na kuihakikishia timu yake kupata pointi tatu kwenye mchezo wa ligi dhidi ya TZ Prisons na kuendelea kubaki kileleni mwa ligi kuu ya Vodacom...
View ArticlePaul Pogba aonyesha style mpya ya nywele kwa ajili ya mechi ya Bayern.
Kesho kutakua na mechi kali kati ya Bayern Munich Vs Juventus ambapo itaamua club gani kati ya hizi mbili zisonge mbele kwenye hatua inayofuata. Kama kawaida ya kijana Paul Pogba zaidi ya soka yeye na...
View ArticleDNA YA MKEMIA MKUU NA BAO LA KELVIN YONDANI
Na Zaka Zakazi Disemba 21 mwaka jana, mkemia mkuu waserikali, Profesa Samwel Manyele, aliistua nchi pale alipotoa ripoti ya matokeo ya uchunguzi wa makosa ya vinasaba (DNA) yaliyowasilishwa katika...
View ArticleShabiki asubiria mkeka wa milioni 150 kama Leicester ikiwa bingwa.
Shabiki anayejiamini kupita kiasi amepiga chini dili la watu ambao wanataka kununua bet ticket yake kwa gharama ya Pound 25,000. Baada ya ushindi wa jana amepata sababu ya ziada ya kujiamini zaidi...
View ArticleIshu ya Diego Costa na Gareth Barry, FA imeamua hivi.
Licha ya Barry kusema kwamba Diego Costa hakumng’ata kwenye mechi ya weekend iliypita, FA imemkuta Costa na makosa na wamempa hadi Alhamisi akatoe maelezo. Diego Costa ameonekana aking’ata Barry...
View ArticleMAMBO 10 AMBAYO YANAWEZA KUTOKEA CHELSEA MSIMU UJAO
Na Athumani Adam Takribani mechi 9 zimesalia, kumalizika kwa msimu wa ligi kuu England 2015/2016. Bingwa mtetezi wa ligi hiyo Chelsea tayari wameutema ubingwa wa ligi pia hawamo kwenye kombe la FA...
View ArticleLIGI YA UBELGIJI DARASA TOSHA KWA WACHEZAJI WA KIBONGO
Mbwana Samatta akiwa mazoezini kwenye klabu yake ya Genk, Ubelgiji Na Jackson Wambura Ligi kuu ya Belgium imeanza kujizolea mashabiki baada ya Watanzania wengi kufatilia kile anachokifanya Mbwana...
View ArticleMERTESACKER AWATOLEA UVIVU WASHAMBULIAJI WA ARSENAL
Beki wa Arsenal Per Mertesacker ameshusha lawama kwa timu yake na kusema kuwa matokeo mabovu yanayowakabili hivi sasa yanatokana na kukosa umakini langoni mwa timu pinzani. Mwishoni mwa wiki, Arsenal...
View ArticleIKIWA LEO NI BIRTHDAY YAKE, NDEMLA YEYE HANA HATA MPANGO…
Kuadhimisha siku ya kuzaliwa ‘birthday’ ni jambo muhimu sana kwa kila mtu, mara nyingi sana tumeona watu wakisherekea umbukumbu za siku zao za kuzaliwa. Weki wamekuwa wakifanya hivyo kwa kufanya part...
View ArticlePicha za Arsenal wakiwa kwenye mazoezi ya mwisho kabla ya kucheza na Barcelona.
Kikosi kizima cha Arsenal kimeshafika Hispania na leo hii wamefanya mazoezi kwa ajili ya kujiandaa na mechi yao ya kesho dhidi ya Barcelona. Mechi ya kwanza Arsenal walifungwa kwa magoli 2-0 kwenye...
View ArticleSAFARI YA DAUDA KUTOKA FIFA HADI GENK KWA SAMATTA (PART II)
Shaffih Dauda na Mbwana Samatta wakiwa kwenye mitaa ya jiji la Genk Belgium wakati Dauda alipomtembelea Samatta hivi karibuni Safari ya Dauda kutoka FIFA hadi Genk kwa Samatta inaendelea, Part I...
View ArticlePhra Prommangkalachan: Kiongozi wa kibudhaa aliye nyuma ya mafanikio ya...
Leicester City kuongoza ligi kuu ya England mpaka kufikia mwezi March ni jambo ambalo limezua gumzo kubwa miongoni mwa wafuatiliaji wa soka duniani. Timu ambayo ilikuwa haipewi nafasi hata ya kubaki...
View Article