Quantcast
Channel: ShaffihDauda
Viewing all articles
Browse latest Browse all 9000

Paul Pogba aonyesha style mpya ya nywele kwa ajili ya mechi ya Bayern.

$
0
0

covvv

Kesho kutakua na mechi kali kati ya Bayern Munich Vs Juventus ambapo itaamua club gani kati ya hizi mbili zisonge mbele kwenye hatua inayofuata.

Kama kawaida ya kijana Paul Pogba zaidi ya soka yeye na ma stylist wake huwa wanawaza style ya nywele ambayo ataingia nayo uwanjani.

3]

Kwenye mechi ya kesho style ya nywele ya Paul Pogba ina muonekano wa vikatuni vya Minions. Wapenzi wa movie watakua wanawajua hawa Minions ambao wapo kwenye movie maarufu ya animation.

4

Upande mmoja wa kichwa cha Pogba kina stars ambazo zimechora na kinyozi wake. Sehemu ya pili ndio kuna kikatuni hicho cha Minions.

1

Kesho Pogba anatarajiwa kucheza vizuri ili kusaidia kikosi chake cha Juventus kuendelea na harakati za kutafuta ubingwa wa UEFA baada ya kuukosa mwaka jana.


2


Viewing all articles
Browse latest Browse all 9000

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>