Quantcast
Channel: ShaffihDauda
Viewing all articles
Browse latest Browse all 9000

PICHA:MATUKIO YALIYOJIRI KWENYE MECHI YA COASTAL UNION VS SIMBA

$
0
0
Mashabiki wa Simba waliofurika uwanja wa Mkwakwani wakishangilia goli la kwanza lillilofungwa na Danny Lyanga
Mashabiki wa Simba waliofurika uwanja wa Mkwakwani wakishangilia goli la kwanza lillilofungwa na Danny Lyanga

Kuna matukio mengi yalijiri wakati na baada ya mchezo wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara kati ya Coastal Union dhidi ya Simba uliochezwa kwenye uwanja wa Mkwakwani, Tanga

Inawezekana ulipitwa na matukio muhimu, shaffihauda.co.tz inakupa matukio hayo katika picha ili kukupa ladha halisi ya mchezo wenyewe ndani na nje ya uwanja.

Kikosi cha Simba SC kilichoanza kwenye mchezo dhidi ya Coastal Union kwenye uwanja wa Mkwakwani, Tanga
Kikosi cha Simba SC kilichoanza kwenye mchezo dhidi ya Coastal Union kwenye uwanja wa Mkwakwani, Tanga
Wachezaji wa kikosi cha Coastal Union kilichoanza dhidi ya Simba SC
Wachezaji wa kikosi cha Coastal Union kilichoanza dhidi ya Simba SC
Wachezaji wakisalimiana muda mfupi kabla mchezo kuanza
Wachezaji wakisalimiana muda mfupi kabla mchezo kuanza
Manahodha wa timu zote mbili Ally Shiboli (Coasta) na Jonas Mkude (Simba) katika picha ya pamoja na waamuzi wa mchezo wao
Manahodha wa timu zote mbili Ally Shiboli (Coastal) na Jonas Mkude (Simba) katika picha ya pamoja na waamuzi wa mchezo wao
Wachezaji wa akiba wa kikosi cha Simba wakifatilia mchezo kwa makini
Wachezaji wa akiba wa kikosi cha Simba wakifatilia mchezo kwa makini
Wachezaji wa akiba pamoja na viongozi wa benchi la ufundi la Coastal Union wakifatilia mchezo kwa makini
Wachezaji wa akiba pamoja na viongozi wa benchi la ufundi la Coastal Union wakifatilia mchezo kwa makini
Afisa habari wa Simba Haji Manara akiingia uwanja wa Mkwakwani, Tanga
Afisa habari wa Simba Haji Manara akiingia uwanja wa Mkwakwani, Tanga
Danny Lyanga akipambana na beki wa Simba wakati wa mchezo dhidi ya Coastal Union
Danny Lyanga akipambana na beki wa Coastal kuwania mpira wakati wa mchezo dhidi ya Coastal Union

DSC_0104

DSC_0099

Danny Lyanga akishangilia baada ya kufunga bao la kwanza dhidi ya Coastal Union
Danny Lyanga akishangilia baada ya kufunga bao la kwanza dhidi ya Coastal Union timu ambayo amewahi kuicheza miaka kadhaa iliyopita
Ibrahim Twaha wa Coastal akijaribu kumzuia kiungo wa Simba Said Ndemla
Ibrahim Twaha wa Coastal akijaribu kumzuia kiungo wa Simba Said Ndemla

DSC_0055

Hamisi Kiiza akishuru baada ya kutupia kambani bao dhidi ya Coastal Union na kufikisha jumla ya mabao 19 kwenye ligi
Hamisi Kiiza (jezi namaba 5) akishuru baada ya kutupia kambani bao dhidi ya Coastal Union na kufikisha jumla ya mabao 19 kwenye ligi
Wachezaji wa Simba wakimpongeza mchezaji mwenzao Hamisi Kiiza aliyefunga bao la pili kwenye mchezo dhidi ya Coastal Union
Wachezaji wa Simba wakimpongeza mchezaji mwenzao Hamisi Kiiza aliyefunga bao la pili kwenye mchezo dhidi ya Coastal Union
Mashabiki wa Simba wakionesha bango lenye ujumbe wa kuisifia timu yao
Mashabiki wa Simba wakionesha bango lenye ujumbe wa kuisifia timu yao
Baadhi ya viongozi wa klabu ya Simba wakiwa jukwaani wakifatilia mchezo kati ya Coastal Union dhidi ya Simba kwenye uwanja wa Mkwakwani, Tanga
Baadhi ya viongozi wa klabu ya Simba wakiwa jukwaani wakifatilia mchezo kati ya Coastal Union dhidi ya Simba kwenye uwanja wa Mkwakwani, Tanga
Shabiki wa Simba akijaribu kuruka kutoka jukwaani kuingia uwanjani
Shabiki wa Simba akijaribu kuruka kutoka jukwaani kuingia uwanjani
Mashabiki wa Coastal Union wenye asili ya kigeni walikuwepo uwanjani wakii-support timu yao
Mashabiki wa Coastal Union wenye asili ya kigeni walikuwepo uwanjani wakii-support timu yao wakati ikicheza dhidi ya Simba
Shabiki wa Simba akishukuru baada ya mchezo kati ya Coastal Union dhidi ya Simba na Simba kupata pointi tatu
Shabiki wa Simba akishukuru baada ya mchezo kati ya Coastal Union dhidi ya Simba kumalizika na Simba kupata pointi tatu Mkwakwani

DSC_0130

Mabango yenye ujumbe wa mashabiki wa Coastal Union kwa uongozi wa klabu yao
Mabango yenye ujumbe wa mashabiki wa Coastal Union kwa uongozi wa klabu yao
Afisa habari wa Simba Haji Manara akitoka kuwashukuru mashabiki wa Simba waliosafiri kutoka sehemu mbalimbali hadi Tanga kuishangilia timu yao
Afisa habari wa Simba Haji Manara akitoka kuwashukuru mashabiki wa Simba waliosafiri kutoka sehemu mbalimbali hadi Tanga kuishangilia timu yao

Viewing all articles
Browse latest Browse all 9000

Trending Articles

<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>