GOLI LA COUTINHO DHIDI YA MAN UNITED ALILIFANYIA MAZOEZI KWA MIAKA MINNE (Video)
Inawezekana Guillermo Varela alishawahi kuangalia video ya goli la Philippe Coutinho akiwa kwenye mazoezi wakati akiwa Inter Milan? Beki huyo wa kulia wa Manchester United alifungashwa na Coutinho...
View ArticleAUBAMEYANG AZIDI KUWA TISHIO ULAYA (Video)
Tottenham Hotspur wameshindwa kabisa kufurukuta mbele ya Borussia Dortmund na kujikuta wakichapwa kwenye uwanja wao wa nyumbani na kuwaacha wajerumani hao wakitinga robo fainali ya michuano ya Europa...
View ArticleBENZEMA ANAKABILIWA NA KASHFA NZITO, MIEZI MICHACHE KABLA YA KUANZA KWA...
Gazeti la Ijumaa asubuhi la Ufaransa (Liberation) limetoka na headline nyingine kuhusu striker wa Real Madrid na Ufaransa Karim Benzema kwa mara nyingine mambo yanazidi kumwendea kombo star huyo....
View ArticleAZAM YAENDELEA KUIANDALIA DOZI NYINGINE BIDVEST
Kiungo wa Azam FC Michael Balou akimtoka kiungo mwenzake Mudathir Yahya huku Sure Boy akishuhudia wakati wa mazoezi leo asubuhi Azam FC leo asubuhi imeendelea na maandalizi ya kuikabili Bidvest Wits...
View ArticleRATIBA YA ROBO FAINALI UEFA: MAN CITY YAZIKWEPA BAYERN NA BARCA, VIPI KUHUSU...
Manchester City itaumana na mabingwa wa Ufaransa Paris St-Germain kwenye robo fainali yao ya kwanza ya michuano ya vilabu bingwa Ulaya. City ni klabu pekee kutoka England iliyobaki kwenye michuano...
View ArticleMamodou Sakho ampa kiss Dejan Lovren wakisherekea kuifunga Manchester.
Moja kati ya wachezaji ambao walifurahisha sana mashabiki kwenye mechi ya Liverpool dhidi ya Manchester United ni Mamadou Sakho. Lakini Sakho na yeye pia alivutikwa sana na mchezaji mwenzake Lovren...
View ArticleHatimaye Neymar apigwa faini zaidi ya billioni 11.
Jaji wa mahakama yaa huko Rio de Janeiro leo Ijumaa amekamilisha kesi na Neymar amekutwa na kosa la kukwepa kodi kwenye vitu vitatu ambavyo ni mkataba wake na Barcelona,Nike na Santos. Kwenye hukumu...
View ArticleArsene Wenger : “Hatuna mpango na Zlatan Ibrahimovic”
Kutokana na tetesi za Zlatan kutaka kuhamia kwenye EPL kwa msimu ujao kuzimwa na maneno yake mwenyewe, lakini bado vyombo vya habari vya Uingereza vinaendelea kuchimba hiyo story. Kwa aina ya mchezaji...
View ArticleAS Roma VS Inter Milan…battle ya kucheza UEFA live on Startimes.
Boss wa Inter Milan Roberto Mancini anaamini kwamba mechi yao dhidi ya Roma kwenye uwanja wa Stadio Olimpico inawrza kuleta matumaini mazuri kwa club yao kucheza UEFA msimu ujao. Inter inaweza...
View ArticleBAADA YA KUPEWA KIGINGI CHA DORTMUND, KLOPP ANENA JAMBO.
Klopp Enzi akiwa na klabu ya Dortmund Jurgen Klopp anena ‘ dunia lazima itatulia kutizama ‘ Liverpool ikipambana na Dortmund. Jurgen Klopp ameenda mbali zaidi na kusema mpambano wa Europa League kati...
View ArticleWAKALI WATANO WA AMERIKA YA KUSINI WANAOONGOZA KUTIKISA NYAVU EPL
Mchezo wa soka umekuwa ni kama utamaduni na kazi kwa nchini nyingi za Amerika ya Kusini hasa Brazil, Argentina, Uruguay, Chile, Peru, Mexico, Paraguay na nyingine nyingi. Amerika ya Kusini imewahi...
View ArticleMTAZAMO WANGU: ‘MSN’ KUUSAMBARATISHA MZIMU WA CHAMPIONS LEAGUE…
Na Aidan Mlimila Kwa mara ya kwanza vilabu vya Ulaya vilianza kushiriki mashindano ya klabu bingwa Ulaya mwaka 1955 wakati huo yakijulikana kama ‘European Cup’. Yalikuwa ni mashindano ambayo...
View ArticleKAMUSOKO-TWITE, TELELA NDANI YA MTU MMOJA
Na David Wambura Kwa kawaida timu inapokuwa bingwa ni ngumu sana kuifanya ikaendeleza makali yake kwa msimu unaofuata achilia mbali ugumu wa kuifanya ikaongeza makali, tumewahi shuhudia kwa Man City...
View ArticleEVERTON VS ARSENAL: MATCH PREVIEW, TAKWIMU NA REKODI MUHIMU
Leo kunako majira ya saa 9:45 katika dimba la Goodson Park miamba miwili ya Everton na ‘Washika Bunduki’ wa London Arsenal watatupa karata zao kupigania pointi tatu muhimu. Kuelekea katika mchezo huu,...
View ArticleMAYANJA ATANGAZA KIKOSI KINACHOPAMBANA NA COASTAL, AJIB NJE
Wakati leo ligi kuu ya soka Tanzania bara inaendelea kwa michezo mitatu, mchezo unaopewa uzito wa juu ni kati ya Coastal Union wanaoburuza mkia kwenye ligi dhidi ya Simba vinara wa ligi hiyo. Mchezo...
View ArticleSIMBA YAUTAFUNA MFUPA WA TANGA ULIOWASHINDA AZAM NA YANGA
Wachezaji wa Simba wakimpongeza Hamisi Kiiza baada ya kufunga baon la pili na la ushindi dhidi ya Coastal Union kwenye uwanja wa Mkwakwani Magoli mawili kutoka kwa Danny Lyanga na Hamisi Kiiza yameipa...
View ArticlePICHA:MATUKIO YALIYOJIRI KWENYE MECHI YA COASTAL UNION VS SIMBA
Mashabiki wa Simba waliofurika uwanja wa Mkwakwani wakishangilia goli la kwanza lillilofungwa na Danny Lyanga Kuna matukio mengi yalijiri wakati na baada ya mchezo wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara...
View ArticleSABABU 5 SIMBA KUSHINDA DHIDI YA COASTAL UNION KWENYE UWANJAWA WA MKWAKWANI
Wachezaji wa Simba wakimpongeza mchezaji mwenzao Hamisi Kiiza aliyefunga bao la pili kwenye mchezo dhidi ya Coastal Union Klabu ya Simba SC iliendelea kufanya vyema kwenye mechi zake za ligi baada ya...
View ArticleMANCHESTER CITY VS MANCHESTER UNITED: MATCH PREVIEW
Huu ni moja ya michezo migumu katika Ligi Kuu England ukiwakutanisha mahasimu wawili wa jiji la Manchester, yaani Manchester City na Manchester United, huku timu zote mbili zikihitaji ushindi kwa hali...
View ArticleMAMBO KUMI NILIYOJIFUNZA BAADA YA HATUA YA 16 UEFA CHAMPIONS LEAGUE
Kuna tabia moja ambayo Barcelona na Bayern Munich wanafanana kwa kiasi kikubwa sana, nayo ni udhaifu katika eneo lao la ulinzi. Inawezekana kabisa kwa upande wa Bayern limechangiwa na majeruhi ya...
View Article